Pamoja na kwamba sikubaliani na hizi siasa za mzabuni kusajili mchezaji au kutangaza hadharani motisha za wachezaji wakimfunga Yanga, ila alisema awamu ya kwanza ya kusajili huyo mchezaji itakuwa dirisha dogo, baada ya msimu huu ndiyo atakuwa anasajili mwanzoni mwa msimu.yeye hakutamka hayo. Huo utapeli wenyewe sasa, unaweka maneno ya kuleta tafsiri isiyo halisi.