Wanapita kama hawaoni vile walivyopigwa kamba. Ahadi ya mchezaji tu imeota mbawa sijui hilo bus na mengineyoMbumbumbu wapo busy na kujua thamani ya Yanga
Mchezaji gani Simba wameshindwa kufika dau?Hij ahadi aliyeutia Boss wa kampuni siku anatambulishwa rasmi kuwa mdhamjnj mpya wa Jezi, Je wanaSimba tunaikumbuka vizuri?
Kuna wachezaji kadhaa Simba imewakosa kwa kushindwa kufika Dau au wengine kuzidiwa Dau na timu nyingine.
Jeuruti kashindwa au alitoa ahadi ya uongo? Huu ni kama utapeli
Lakini baadhi hawashangazwi henu tujikumbushe nyuzi hizi
Mdhamini mpya wa Jezi wa Klabu ya Simba aliwahi kutuhumiwa kwa makosa haya
Kwanza nimpongeze Mtanzania mwenzangu Joseph Rwegasira Samson kwa kushinda tenda ya kuzalisha jezi za mnyama. Pili niwapongeze SIMBA SC Kwa Mkataba mnono WA jezi wenye thamani ya BILLION 38.6 Kwa Miaka mitano. Ukiwa pamoja na Extra bonuses kama vile Ujenzi wa uwanja...Media production...www.jamiiforums.com
Boss wa Kampuni mpya ya kutengeneza Jezi za Simba aliwahi kukamatwa na TAKUKURU na kushtakiwa kwa Utakatishaji fedha haramu na ukwepaji kodi
Mwaka 2020, Taasisi ya kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU ilimkamata JOSEPH RWEGASIRA SAMSON aliyekuwa amejificha mkoani simiyu na kumshtaki kwa makoaa ya RUSHWA, UTAKATISHAJO FEDHA HARAMU, UBADHIRIFU NA UKWEPAJI KODI YA SERIKALI. Kwa sasa ndio mmiliki wa Jayttu Investiment iliyotangwaza leo...www.jamiiforums.com
Ndio Utapeli, Ujanjaujanja na wizi ni tabia ambayo mtu akiwa nayo ikiwa inamlipa haachi kamwe. Tumeshasikia wezi wanafikia kuiba vitu vya nyumbani kwao ikiwa nje watakosa.
Nichomekee kidogo,
Nani alivujisha jezi mpya za Simba?
Je zilisambazwa kwa wafanyabiashara na mwenye mamlaka ya utengenezani jezi kabla ya uzinduzi rasmi?
Iliwezekanaje wakati Uzinduzi unaendelea tayari jezi zilikuwa zinauzwa mitaani?
yeye hakutamka hayo. Huo utapeli wenyewe sasa, unaweka maneno ya kuleta tafsiri isiyo halisi.Msipende kuropoka msiyoyajua makubaliano kati ya jayrutty na simba, ni kwamba atakuwa anasajili mchezaji kwenye dirisha dogo tu, baada ya kuwa ameshapata faida ya mauzo ya jezi
Yaaa,,ni kweli tumpe muda japokua nahisi zilikua ni siasa tu zile.Tumpe muda
Mfano akichagua Kati ya waliosajiliwa akasema ndo Huyo mtasemaje?Hij ahadi aliyeutia Boss wa kampuni siku anatambulishwa rasmi kuwa mdhamjnj mpya wa Jezi, Je wanaSimba tunaikumbuka vizuri?
Kuna wachezaji kadhaa Simba imewakosa kwa kushindwa kufika Dau au wengine kuzidiwa Dau na timu nyingine.
Jeuruti kashindwa au alitoa ahadi ya uongo? Huu ni kama utapeli
Lakini baadhi hawashangazwi henu tujikumbushe nyuzi hizi
Mdhamini mpya wa Jezi wa Klabu ya Simba aliwahi kutuhumiwa kwa makosa haya
Kwanza nimpongeze Mtanzania mwenzangu Joseph Rwegasira Samson kwa kushinda tenda ya kuzalisha jezi za mnyama. Pili niwapongeze SIMBA SC Kwa Mkataba mnono WA jezi wenye thamani ya BILLION 38.6 Kwa Miaka mitano. Ukiwa pamoja na Extra bonuses kama vile Ujenzi wa uwanja...Media production...www.jamiiforums.com
Boss wa Kampuni mpya ya kutengeneza Jezi za Simba aliwahi kukamatwa na TAKUKURU na kushtakiwa kwa Utakatishaji fedha haramu na ukwepaji kodi
Mwaka 2020, Taasisi ya kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU ilimkamata JOSEPH RWEGASIRA SAMSON aliyekuwa amejificha mkoani simiyu na kumshtaki kwa makoaa ya RUSHWA, UTAKATISHAJO FEDHA HARAMU, UBADHIRIFU NA UKWEPAJI KODI YA SERIKALI. Kwa sasa ndio mmiliki wa Jayttu Investiment iliyotangwaza leo...www.jamiiforums.com
Ndio Utapeli, Ujanjaujanja na wizi ni tabia ambayo mtu akiwa nayo ikiwa inamlipa haachi kamwe. Tumeshasikia wezi wanafikia kuiba vitu vya nyumbani kwao ikiwa nje watakosa.
Nichomekee kidogo,
Nani alivujisha jezi mpya za Simba?
Je zilisambazwa kwa wafanyabiashara na mwenye mamlaka ya utengenezani jezi kabla ya uzinduzi rasmi?
Iliwezekanaje wakati Uzinduzi unaendelea tayari jezi zilikuwa zinauzwa mitaani?
Sema wewe ndio hukuona hiyo clip aliyosema hivyo, haya wewe unayejua kutafsiri tuambie alitamkaje, waacheni simba hangaikeni na timu lenu lenye wadhamini wasioelewekayeye hakutamka hayo. Huo utapeli wenyewe sasa, unaweka maneno ya kuleta tafsiri isiyo halisi.