Mdhamini wa Jezi za Simba alitoa ahadi ya kusajili mchezaji yeyote Klabu ikimtaka, Je imekuwa hivyo?

yeye hakutamka hayo. Huo utapeli wenyewe sasa, unaweka maneno ya kuleta tafsiri isiyo halisi.
Pamoja na kwamba sikubaliani na hizi siasa za mzabuni kusajili mchezaji au kutangaza hadharani motisha za wachezaji wakimfunga Yanga, ila alisema awamu ya kwanza ya kusajili huyo mchezaji itakuwa dirisha dogo, baada ya msimu huu ndiyo atakuwa anasajili mwanzoni mwa msimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…