Mdogo mdogo, Diamond atabwia unga

Kufikia hatua ya kubwia unga ni stage ya mbali sana...nazan tungoje kwanza aanze kunywa pombe.
 
ni uchovu wa shoo!kubwia labda mlikuwa wote chimbo

Jigo
 
Pale mtu anavyo mjua mhusika kuliko mhusika anavyo jijua....
 
It's just a matter of time. UK iona msanii hawezi kujicontrol na mwili wake ujue nyuma ya pazia no mengi. Diamond kaanzia viheleni, kaanza kuchora mwili, kakaanga meno. Unga uko njiani
 
Where do you people get these answers !!!!
...mkuu mi nna aleji na kidhungu bhana!..nimebaki kutoa mimacho tu kwenye hiyo avatar!
....(ila kama matusi,mwenyewe lakini nsije nikasahau!)
 
Kufikia hatua ya kubwia unga ni stage ya mbali sana...nazan tungoje kwanza aanze kunywa pombe.
Kwa taarifa yako wabwia unga wengi huwa wana skip hiyo stage ya pombe wanarukia unga moja kwa moja,kwa hiyo haitakuwa jambo la kushangaza kusikia kuwa Diamond Platinumz ni teja.
 
Huu ushauri ungemfikia vizuri kama ungeenda kuandika kwenye page yake ya FB au IG
 
Haswaaa. Huyu jamaa Luqman Maloto aliwahi kuandika makala kumuonya Ngwear R.I.P na TID kuhusu ngada ila wakasema wanasingiziwa,but mwisho wake ulionekana.huyo jamaa ni muhariri mkongwe na yupo makini sana na kazi yake ndio maana hai
 
Vitu vya kifahari ni for social satisfaction wakati anasa ni for personal satisfaction! Na generally, starehe ni chanzo cha matatizo mengi lakini ufahari hauna matatizo yoyote yale unless uwe unataka ufahari wakati uwezo huna!

simpendi huyu mwandishi,huwa anafikiri anajua kuliko kila mtu na sijui nani kampa fursa ya kua 'askari wa kujitolea' wa wasanii!??
kama hajakuelewa mpaka hapa,basi kichwa yake imejaa upupu tu.
 
Kufikia hatua ya kubwia unga ni stage ya mbali sana...nazan tungoje kwanza aanze kunywa pombe.
Mdau usisahau kua hata Kanumba RIP hakua anakunywa pombe kilichomkuta????malizia mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wasanii wengi wanatumia ngada kisirisiri wakiwemo Recho THT,Wolper,Young D,Blue, Daz Baba
 
1. Sasa ni kipi alianza? Alianza kutumia ngada au kutoboa na kuweka gold tooth?

2. Soma ulichokiandika, rudisha akili kwa Diamond tangia 2009 wakati anaanza kisha rudi kwako mwenyewe! Na baada ya hapo rudi tena kwenye hoja yako #2; rudi tena kwako mwenyewe kisha tafakari!!
 
simpendi huyu mwandishi,huwa anafikiri anajua kuliko kila mtu na sijui nani kampa fursa ya kua 'askari wa kujitolea' wa wasanii!??
kama hajakuelewa mpaka hapa,basi kichwa yake imejaa upupu tu.
Mwenyewe anajiita Mchambuzi lakini anashindwa hata kutofautisha vitu vidogo vidogo!!
 
sure....Pesa hulewesha.
Sio kila kitu cha kuiga.
Wewe Pulatinam baba Tiffah Grillz waachie akina Plies.
Kutokuwa na alama pia ni alama.
 
Ufahari pia una matatizo....kwa mtu anayeamini katika dini.
Ikiwa unayo imani ya dini basi utaelewa dhana mbaya kujifaharisha.
 
Ufahari pia una matatizo....kwa mtu anayeamini katika dini.
Ikiwa unayo imani ya dini basi utaelewa dhana mbaya kujifaharisha.
Kwa muktadha huu suala la dini hapo halipewi nafasi but tunaangalia kidunia kwa sababu mchezo wenyewe wote umekaa kidunia dunia!
 
Kwa muktadha huu suala la dini hapo halipewi nafasi but tunaangalia kidunia kwa sababu mchezo wenyewe wote umekaa kidunia dunia!
Ndo mana nikasema kwa mtu anayeamini katika dini, maana mtu yeyote mwenye kuamini katika dini basi hawezi kuiacha dini akaitazama dunia tu peke yake.
Basi sawa mkuu wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…