valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,852
- 873
Onyo lishatolewa, asiposkia bhasiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni uchovu wa shoo!kubwia labda mlikuwa wote chimbosifahamu sana tabia za diamond,ila hivi karibuni kuna siku alitembelea ofisi fulani hivi ambayo nami pia nilikuwa mgeni kama yeye.
hapo ndio nilimuona diamond kwa ukaribu zaidi. kwa hakika alonekana mchovu sana kwa maana ya kuchoka.na macho yake yalikuwa yanaonyesha kama mtu mwenye uzingizi.
nilijiuliza maswali mengi sana kuanzia uchovu wa kazi mpaka matumizi ya "bwimbwi".
Where do you people get these answers !!!!Unapangia matumizi pesa za mwanaume mwenzio?....
...mkuu mi nna aleji na kidhungu bhana!..nimebaki kutoa mimacho tu kwenye hiyo avatar!Where do you people get these answers !!!!
Kwa taarifa yako wabwia unga wengi huwa wana skip hiyo stage ya pombe wanarukia unga moja kwa moja,kwa hiyo haitakuwa jambo la kushangaza kusikia kuwa Diamond Platinumz ni teja.Kufikia hatua ya kubwia unga ni stage ya mbali sana...nazan tungoje kwanza aanze kunywa pombe.
Vitu vya kifahari ni for social satisfaction wakati anasa ni for personal satisfaction! Na generally, starehe ni chanzo cha matatizo mengi lakini ufahari hauna matatizo yoyote yale unless uwe unataka ufahari wakati uwezo huna!
Mdau usisahau kua hata Kanumba RIP hakua anakunywa pombe kilichomkuta????malizia mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kufikia hatua ya kubwia unga ni stage ya mbali sana...nazan tungoje kwanza aanze kunywa pombe.
Jack DanielMdau usisahau kua hata Kanumba RIP hakua anakunywa pombe kilichomkuta????malizia mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
My take;
1.kwa kua muandishi amebobea kwenye habari za udaku inawezekana tayar amepata tetesi kua msanii pendwa anagonga unga hivyo ameleta JF kua mtu wa kwanza kutujuza.
2. Kuishi maisha bila misingi ni tatizo kubwa sana , msanii pendwa Hana misingi maisha yake yanaongozwa na mihemko anapelekwa tu mawimbi yanapotaka aende.
Andiko hili lina mashiko sana, ni suala la muda
Mwenyewe anajiita Mchambuzi lakini anashindwa hata kutofautisha vitu vidogo vidogo!!simpendi huyu mwandishi,huwa anafikiri anajua kuliko kila mtu na sijui nani kampa fursa ya kua 'askari wa kujitolea' wa wasanii!??
kama hajakuelewa mpaka hapa,basi kichwa yake imejaa upupu tu.
Ufahari pia una matatizo....kwa mtu anayeamini katika dini.Mbona unalinganisha angle mbili tofauti? Kwanini usifikirie ataanza kuvaa chupi mitaani na ufikirie unga wakati trend yake haiyoneshi hivyo? Kwanini usifikirie ataanza kunyoa kipara au kuwa na rasta kichwani kama trend inavyoonesha?
Hivi dressing na starehe ni kitu kile kile? Manake ninachoona; mvuta sigara, bangi, unga, shoga, basha n.k hawa wanatafuta STAREHE! Kwahiyo anayetupia gold kila possible angle, anayependa pamba, viatu vya gharama, gari zuri... hivi huyu nae anatafuta starehe?!
Ukipata muda, jiongezee maarifa kati ya dhana mbili tofauti: STAREHE vs UFAHARI! Intro tu ni kwamba, majority ya wapenda starehe wanapenda pia kufanya ufahari ingawaje sio wote wana uwezo huo! Hata hivyo, kupenda ufahari si lazima kuendane na starehe ingawaje wenye kufanya ufahari wote wana uwezo wa kiuchumi wa kufanya na starehe!
Hawa ndo pale unakuta mtu ana bonge la mjumba wakati hana familia ; ana magari zaidi ya 7 wakati yupo peke yake, ana Smart tv ya Sh. 100M, nyumba ina gold accessories everywhere; yeye mwenyewe anavaa magram kwa grams ya germ stones accessories lakini usije kushangaa ukiambiwa hata ukianza kuvuta sigara mbele yake anaondoka!
Na ukitaka kugundua mahaba ya Diamond sio vitu vya kutafuta starehe bali vitu vya ufahari, anza jinsi alivyoirembaremba nyumba yake; rudi jinsi anavyoiota Rolls Royce, angalia hata ofisi yake tu!
Vitu vya kifahari ni for social satisfaction wakati anasa ni for personal satisfaction! Na generally, starehe ni chanzo cha matatizo mengi lakini ufahari hauna matatizo yoyote yale unless uwe unataka ufahari wakati uwezo huna!
Kwa muktadha huu suala la dini hapo halipewi nafasi but tunaangalia kidunia kwa sababu mchezo wenyewe wote umekaa kidunia dunia!Ufahari pia una matatizo....kwa mtu anayeamini katika dini.
Ikiwa unayo imani ya dini basi utaelewa dhana mbaya kujifaharisha.
Ndo mana nikasema kwa mtu anayeamini katika dini, maana mtu yeyote mwenye kuamini katika dini basi hawezi kuiacha dini akaitazama dunia tu peke yake.Kwa muktadha huu suala la dini hapo halipewi nafasi but tunaangalia kidunia kwa sababu mchezo wenyewe wote umekaa kidunia dunia!