Mdogo Mdogo Hadi kwa Binamu.....🍷

Kwa hicho kinywaji hapakuchi salama hapo utakula mauno ya shetan mpaka morning
 
Binamu nyama ya hamu [emoji3]
 
Yaani, nimepambana nayo usiku kucha.

Nashukuru kumekucha salama, nimerejea kwangu salama [emoji846]
Ohoho.... Kipochi kimeungua huko...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kasie matata
 
Kwa hicho kinywaji hapakuchi salama hapo utakula mauno ya shetan mpaka morning

Aahahahahhaha jamaniii...

Usalama ulikuwepo Mia ya Mia na nilirejea nyumbani salama.
 
Hajanifukuza nimemuaga japo alitaka niendelee kukaa kwake...

Usingizi umenizidia, hapa najiandaa kulala.

Maana sijalala usiku mzima, niliogopa kumchekea nyani..[emoji1] asubuhi hii ningejikuta nakula mabua.
Sio kwamba ulikua tabibu kwa binamu ukauacha usingizi wako...ila binamu yako nae wa kwetu Avae?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aisee binamu Hana huruma huyo..umekesha anataka ushinde Tena?

Yaani alitaka nishinde alijua ntalala/ ntasinzia ili afanye yake..
Maana usiku kucha tulikuwa macho kodo tunakunywa na kuongea huku akiinsist nikisikia usingizi anioneshe pa kulala...

Nikamkimbia asubuhi asubuhi.
 
Ukirudi..mwambie binamu nina hanson choice yake kubwa...kilo mbili rost...na ndizi mbili....Ya hongera...!

Unamfahamu binamu?
Sio kwa mizawadi hiyo.... hiyo K moto ntakula chupa ndo ntamfikishia 😅.
 
Yaani alitaka nishinde alijua ntalala/ ntasinzia ili afanye yake..
Maana usiku kucha tulikuwa macho kodo tunakunywa na kuongea huku akiinsist nikisikia usingizi anioneshe pa kulala...

Nikamkimbia asubuhi asubuhi.
🤣🤣🤣🤣Binamu shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…