Agogwe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 2,742
- 3,000
Kwa hicho kinywaji hapakuchi salama hapo utakula mauno ya shetan mpaka morningBasi bwana,
Nimetoka zangu bustanini kung'olea majani na kumwagilia mboogambooga. Naingia ndani nakuta missed call 8 kuangalia ni binamu.....
Nampigia binamu vipii, anaitika binamu njoo nimezidiwa....
Wangu wangu hadi kwa binamu, nafika ananikaribisha mezani....
View attachment 2116512
Ngumu sana kukwepa mitego ya binamu.....😬.
Naomba Mungu pakuche salama nirejee kwangu 🙄.
Kawaida ni ileile, Haba ni la Baba.
Kasinde.