Mdogo mdogo utabiri unatimia. UFUNUO 13:11-18

Kuna ubaya gani kama linalofanyika ni jambo jema la kuzuia uhalifu...???

Kinachofurahisha stori kama hizi huwa uanzikia kwa watu duni ambao hata akili ya kukabiliana na mazingira yake ya kila siku hana..
Wewe mwenye akili nyingi, uliwahi kuona kwamba wiki lijalo utapata ajali? Uliwahi kuona kwamba siku mbili zijazo utafukuzwa kazi? Uliwahi kujua kwamba baada ya siku kadhaa kitu fulani kitakuwa na vikawa?

Hao unaowaita watu duni, waliyasema hayo miaka 2,000 iliyopita leo yanatokea. Walieleza na madhara yake lakini mipumbavu miabudu mishetani kama wewe, inajidai inaakili hata haijui nini kinafanyika, na hata ikisoma madhara yake haielewi.

Wewe lifyoto, uwe unafikiri kabla ya kutapanya uharo. pyuuuuuuuuuuuuuuuuut.
 
Ilikua 2016 hadi leo 2021 kwenda 22 dunia haionekani ata kuisha. Sasa siku hizo za mwisho zinaanza lini?.

Mwisho wa dunia ni kifo cha mtu
 
Actually mambo yote yaliyotabiriwa kabla ya RAPTURE yameshatokea for that matter RAPTURE is anytime most likely in less than five years from now.
Mwisho wa Dunia hakuna ajuae, hayo yote yaliyoandikwa kila kizazi kinasema yameshatimia! Kila karne kulikuwa na vita, upendo kupungua, magonjwa yasiyo na tiba, technology isiyo kifani nk na bado ule mwisho haujatimia wewe unaishangaa hiyo micro chip wakati imeanza zaidi ya karne nyuma?
In short mwisho wa Dunia is the day your life ends nothing else.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…