Mdogo mdogo utabiri unatimia. UFUNUO 13:11-18

Mdogo mdogo utabiri unatimia. UFUNUO 13:11-18

hamna kitu hapo, usihusishe teknologia na utabiri. Teknolojia haiwezi kubaki ilipo ni lazma ikue na kuimarika.

Hayo mambo yenu ya utabiri wa mwisho wa dunia mtangoja sana. Hakuna jipya chini ya jua hata hao mitume wa yesu waliungoja sana huo mwisho wa dunia.
Kwani mtabiri ni Yesu tu? Nostradamus unamjua?
 
Unaijua NEW WORLD ORDER?.
Nia yao dunia nzima watu wabaki bilioni 1.ili waweze kuitawala dunia kiurahisi.
hahahahaha Aiseee Sasa lengo ili watawale watu halafu wanawapunguza wawe billion Moja Sasa watamtawala nani Kwa idadi hiyo ambayo ni Sawa na idadi ya watu wa Nchi Moja kama china na hii Dunia ilivyokubwa watawezaje kuiendesha Ili Hali Nchi nyingi zitakua hazina wakazi?
 
Ewaaa!.ndo maana wanataka dunia iwe na watu wachache.
Wanaamini watu wengi ni MZIGO na Wana maliza rasilimali za dunia.
Sasa Basi itafika kipindi ukitaka kuzaa utapangiwa uzae au usizae.
hahahahaha Aiseee Sasa lengo ili watawale watu halafu wanawapunguza wawe billion Moja Sasa watamtawala nani Kwa idadi hiyo ambayo ni Sawa na idadi ya watu wa Nchi Moja kama china na hii Dunia ilivyokubwa watawezaje kuiendesha Ili Hali Nchi nyingi zitakua hazina wakazi?
Screenshot_20211224-171158.jpg
 
Unaijua NEW WORLD ORDER?.
Nia yao dunia nzima watu wabaki bilioni 1.ili waweze kuitawala dunia kiurahisi.
kabla ya kuwaua watu wataanza kwanza kufa wao mi.ku.ndu juu. Wasijaribu kucheza na mali ya muumba, (dunia ya muumba). Lasivyo watakunya mdomoni na kula ma.ta.ko.ni na watakufa vibaya mno.
 
kabla ya kuwaua watu wataanza kwanza kufa wao mi.ku.ndu juu. Wasijaribu kucheza na mali ya muumba, (dunia ya muumba). Lasivyo watakunya mdomoni na kula ma.ta.ko.ni na watakufa vibaya mno.
Ndo wameshaanza mipango.
Yaani itafika kipindi mtu amekaa kwenye computer Ana search tu jina.taarifa zako zote anazipata.
 
Wadau mada ni nzuri nataka nitoe mchango wangu ,mimi kutokea kwenye bible navyotambua kutokea kitabu cha ufunuo , kuna mwisho wa ulimwengu huu lazima ufikie na binadamu naye ana mwisho pia wa kuishi hapa dunia ,twende kwenye mwisho wa ulimwengu hapo lazima nielezee kiufupi ili watu waelewe,kuna vitu ambavyo vimeandikwa kwenye biblia lazima vitokee ndipo ulimwengu huu ndo utakuwa unaelekea mwisho mfano kuna jambo linaitwa kukua kwa maarifa kwa binadamu ,ndo kwanza yapata miaka 2000 iliyopita toka yesu kristo azaliwe ,tukisema maarifa ni uwezo wa akili wa binadamu ambao utakua mkubwa sana binadamu atakuwa na uwezo wa kubuni vitu mbalimbali mfano wajukuu zetu na Watoto wetu watakuja kuona magari yanayoendeshwa na kopyuta bila mtu kuwa ndani kwa ajili ya kusafirisha malighafi,kuna mwanasaikolojia mmoja alisema huenda ulimwengu ukafikia miaka bilioni 1.5 ndo itakuwa inafikia ukingoni ,mimi kwa namna flani ninaweza kuamini hebu fikiria wanasayansi wa marekani na china wamefanya utafiti na kupeleka kifaa cha kuchukua sample ya udongo sayari ya mars kujua mama binadamu anaweza kuishi ,inamaana dunia itajaa na sayari mars itajaa ,na hapo tukienda kwenye vitabu vitakatifu kuna mambo yatakuwa yanatokea kama yalivyotabiliwa kuhusu mwisho wa ulimwengu mfano vita ,kwenye vita hapo hizi silaha za maangamizi Yaani nyuklia kipindi hicho litakuwa jambo la kawaida sana kutumiwa pata picha huo ulimwengu utakuaje ,sasa hivi jumuia za kimataifa zinavyopiga kelele kuhusu utengenezaji wa silaha za nyuklia wanajua madhara yake,hivyo hayo ni machache kuhusu mwisho wa ulimwengu huu "hivyo tambua ulimwengu lazima ufikie mwisho "
 
Ni ujinga kutafsiri bibilia kizembe namna hii. Yani haya majitu yanatabirigi tuuu, mara Hellen G white, James Smith, hakuna waliloweza ata moja. Technology ni zawadi ya Muumba, tunafurahi inavotumika kurahisisha maisha kila siku. kudos tu inventors and innovators. Nyie kalieni 666 , akili mgando.
 
Back
Top Bottom