Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

Vyeti si hoja, hoja iliopo mezani ni madawa ya kulevya-tuelekeze akili zetu kwenye madawa.
Hapa vyeti tu, madawa ya kulevya mwenye jukumu ni Sianga na waziri mkuu na siyo huyu kibaka Bashite.

Acha porojo weka vyeti.
 
CCM kwa stunt baada ya kutuletea vyeti, mnamnunulia mtu suti mpya, na hela ya press conference dah, kweli mmeishiwa
 
Kosa la Bashite ni kutumia vyeti ambavyo si vya kwake na kuwadanganya marais na watanzania kwa ujumla na kujipatia mshahara kwa uongo wake huo. Hata kama angelisema kichaa kama ni kweli lazima tuamini.NI LAZIMA APELEKWE Mahakamani
 
Mwambieni vita vya madawa ya kulevya ni vita inayojitegemea, na vita ya kufoji vyeti ni vit inayojitegemea. Yote ni makosa ambayo yanakuwa dealt with separately!!!! Asituchanganye. Ile vita mbona tulimsifia sana. Hili nalo ni vita lazima lijibiwe. Au kama yeye anajua ukweli si atuambie!!! Kama kaka yake ni muongo si atuthibitishie!!! Tatizo anachanganya vita viwili ambavyo havichanganyiki.
 
Wote tunajua kuwa hajawahi kumfufua hata panya, lakini ukweli unabaki kuwa HAYO HAYATUHUSU. Movie inayotuhusu ni hii ya kutaka kumfufua David Alubeto Tarantini Bashkoooooolite.

Huyo anatafuta umaarufu tu, hana lolote.
Ha ha ha!! Umenichekesha kweli. Hajawahi kufufua hata panya!!!! Ila hapa vyeti tu!!!! Mpaka kieleweke.
 
Kama kweli yeye ni mdogo wa Gwajima bila shaka nae ni mkazi na mzaliwa wa Kolomije, naomba kujua je hilo jina la Daudi Albert Bashite ni la kweli au LAA!?
 
Kwan bashiwizo amefanya lip la maana kwny vita ya dawa za kulevya zaid ya kusaidia watuhumiwa kupoteza ushahid na kusababisha kesi zao kukosa ushawish kisheria...
He is the dumb ass failure
... Hyo vita inapiganwa vyema na kamishna roja huyo unaejitahid kumtetea alete tu vyeti tutanyamaza tuuliii
 
Wewe mleta mada wacha uchochezi!! Huyo mdogo wa Gwajima ana kifua cha kukabili mambo? Askofu akinyanyuka huko mimi sitakuwapo!! Shauri yake. Lakini huyu inaweza ni kuwa wivu wa maendeleo tu ndo unamsumbua, madogo siku zote huwa wanatamani waendelee kula vya bure sasa inawezekana Askofu hapendagi ujinga ndo maana jamaa anakuja kujiharishia hapa!!
 
Alichozungumza ni sahihi kabisa na mimi namsifu kwa ujasiri alionao, ishu ya vyeti ni suala la yeye na mwajiri wake na kwakuwa nafasi aliyopewa sio ya kupigiwa kura sidhani kama kunahajaya watu kushikia bango kiasi hicho ati aonyeshe vyeti ili kiwe nini? na kwavyovyote vile ingekuwa ya ni nafasi ya kushindaniwa yawezekana asingetia mguu. Hatahivyo shida kubwa watu wameamua kujitoa ufaham kwenye jambo la msingi la madawa ya kulevya kwa sarakasi za gwajima. Yaani watu na elimu zao kila siku wamekalia vyetivyeti mdaini vyeti akigombea ubunge au udiwani hii aliyoteuliwa na Rais atajuana na bosi wake. Tuwe serious jamana watanzania please for the seck of our country
 
Duh...jamaa kammaliza Gwajima vibaya sana. Hahahaa hata panya hajawahi kumfufua.

Halafu Kanisa lake linaitwa UFUFUO NA UZIMA

Majitu hapa eti yako nyuma yake....kweli wacha Seeikali isitishe viroba.
 
Kama kweli una vyeti kwa nini usiviweke hadharani ili kumuaibisha shetani?

Tuwekeeni mezani vyeti vya mkuu wetu wa mkoa, au kama wauza unga wameviiba mtuambie
Akuwekee atakutoa wapi sasa??? Weka namba ako ya simu hapa akupigie???

Hahaaa mnataka vyeti mnajificha nyuma ya keyboard nyambafuuyu
 
wakae nyumbani wamalize ugomvi wao wa kifamilia au na yeye afungue kanisa lake afufue hadi kware.
Ha ha ha!!! Naona anamonea wivu ndugu yake!!! La kujiuliza ni ndugu yake kweli? Hebu tusubiri Bishop Gwajima atakavyomjibu jpili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…