Mdogo wa mke wangu amenasa ujauzito wangu. Nifanye nini?

Wewe ni mpumbavu
 
Na mwezi mtukufu wote huu na swaum ilivyokali wewe bwana huna hata haya??
 
Cha kufanya Tafuta Mwanaume Na Wewe Akutie Mimba Ili kiwe Kielelezo Cha Kujitetea Kwa Mkeo.
Au Sijakuelewa?
 
Kipindi unafanya nae ulitaka ushauri??
 
Kwanini hamkutumia kinga?.
 
Kama ni kweli kuna baadhi ya wanaume akili zenu huwa mnazijua wenyewe.

Uliendekeza kichwa cha chin* wacha yakukute japo kwa hiyo familia yao kama ni ya wanaojielewa umewapa aibu kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…