Mdogo wa mke wangu amenasa ujauzito wangu. Nifanye nini?

Wakati unarudi mayenu na soukussu ndumbwisa kumwaga ubongo kwa starehe zako ulikua mwenyewe, kwenye kunasa mimba unatusumbua ma great thinkers bure tuu! Kwa taarifa yako unaliwa timing ya kupigwa hela kwan kipimo cha mimba umekiona?? dem hana mimba wala nn acha akunyooshe kidogo kiboro dinda we, usione kichaka gogo limebana.
 
Haya yote ulitakiwa ujiulize kabla ya hiko kitendo sasa, yaani ukaamua utembelee rim kabisa? Hatari sana.

Pambana kiume mkuu, kwa maana always huwa kuna plan B ya jambo.
Kutembelea rim'nini! 🤣🤣🤣.
Ila hapa hamjampatia ushauri wowote!
 
[emoji16][emoji16]
Hivi hakuna plan ya kutunga uongo wa kuficha mhusika wa hiyo mimba mpaka iwe ni kuitoa tu?

Kwani huyo shemeji kawa mwanafunzi hadi uchanganyikiwe kwamba atalazimishwa kukiri mbele ya mikwaju?

Hatuwezi kushauri mauaji ya kutoa mimba kama unavyofikiria wewe.

Kutoa mimba huwa kuna pata potea ujue!

Utoaji wa mimba waweza hatarisha maisha ya mzazi si kwa kiumbe kilichopo tumboni pekee!

Wewe jipange kulea mimba na kumtunza shemeji yako kwa mahitaji yake yote sasa, maana hakuna namna.

Tena akapange ama umpangie nyumba akae mbali na nyie ili umhudumie kwa nafasi.

Ukiwarundika nyumba moja mtu na dadake kubumburuka itakuwa ni rahisi sana.

Umefanya jambo la aibu ndiyo lakini sasa amka na kuwekeza akili zako zote kulibeba jambo hilo kiutu uzima na tahadhali zote kubwa kubwa.

Kosa lako moja linaweza kukufanya ukampoteza mkeo na shemeji yako pia.
Kaa ujifikiri vizuri.
 
Wakati unarudi mayenu na soukussu ndumbwisa kumwaga ubongo kwa starehe zako ulikua mwenyewe, kwenye kunasa mimba unatusumbua ma great thinkers bure tuu! Kwa taarifa yako unaliwa timing ya kupigwa hela kwan kipimo cha mimba umekiona?? dem hana mimba wala nn acha akunyooshe kidogo kiboro dinda we, usione kichaka gogo limebana.
[emoji1787][emoji1][emoji1]
 
Ndugu zangu, naomba ushauri huku nikiwa naona Aibu kwa niliyoyafanya lakini yashatokea [emoji116]

Naomba msaada wenu kwa jambo zito ambalo nalipitia. Nina mwanamke ambaye nimezaa naye mtoto mmoja na yeye ana mdogo wake wa kike ambaye tulikuwa tunamazoea sana, mpaka ikafika mahali dada ake alipoona nikiongea naye, anakosa amani kabisa. Kwa bahati mbaya, baada ya mwaka kupita, mdgo wake aliondoka lakini amerudi tena mwaka huu.

Baada ya kurudi tukajikuta tunchat na tunatumiana video vya hovyo hivyo . Mwezi uliopita siku moja tukatoka kwa siri na tukazini lakini sasa baada ya wiki tatu, akaniambia kuwa siku zake hazioni. nikamwmbia asubiri wiki 2 tuone, lakini juzi akajaribu kupima na akapata majibu kwamba kitu kimenasa. daaaaah nimemshauri hpa aote (aatoe mimba) lakini anasema anaogopa.

Naomba ushauli wenu japo nimefanya makosa hata naandika haya huku nikiona aibu sijui nifanye nini kwenye hali.

Sasa mimi nitaonekanaje kwenye familia yangu na yao nitaonekana mtu nisiefaa kabisa kwa maana hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kufanya haya mambo, kwakuwa hakuna nikimwmbia asitoe hakutokuwa na siri tena hapo .
Unataka kugombanisha ndugu wewe 😂 😂 😂 😂
 
Muue mkuu. Mtafutie vibaka wanyonge.

Pumbavu
 
Back
Top Bottom