Mdogo wa mke wangu amenasa ujauzito wangu. Nifanye nini?

Jipige kifua mara mara 32 huku ukisema ni jinga ila ni kidume!

Kisha tafuta nafasi nzuri toka nae out mfanye afurahie kuhsu yeye kisha usiku ule wa out hukohuko hotel ama lodge peleka moto haswa kisha mwambie unampenda na umefurahi kusikia ana mimba yako.sasa ili kuwa epusha ugomvi yeye na dada yake pia na familia yake hakikisha mnamsingizia jamaa mwingine ambae hatamtaja kamwee ashikilie hapohapo.

Ksha wewe na wife wako mimba ikishakuwa kubwa jifanye kumshrikisha muone namna gani mtamsaidia shemeji yako ukiona reaction ya mkeo sio nzuri usilazimishe but mpangishie nyumba kisiri mpe mtaji aishi huko hakikisha hata no ya simu iko kichwani mwako tu usisave kwenye simu. mwambie akitaka kuongea nawewe basi apitie kwa dada yake na maongezi yenu yawe mafupi tu. akizaa maisha mengine yaendeleee
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Ndugu zangu, naomba ushauri huku nikiwa naona Aibu kwa niliyoyafanya lakini yashatokea [emoji116]

Naomba msaada wenu kwa jambo zito ambalo nalipitia. Nina mwanamke ambaye nimezaa naye mtoto mmoja na yeye ana mdogo wake wa kike ambaye tulikuwa tunamazoea sana, mpaka ikafika mahali dada ake alipoona nikiongea naye, anakosa amani kabisa. Kwa bahati mbaya, baada ya mwaka kupita, mdgo wake aliondoka lakini amerudi tena mwaka huu.

Baada ya kurudi tukajikuta tunchat na tunatumiana video vya hovyo hivyo . Mwezi uliopita siku moja tukatoka kwa siri na tukazini lakini sasa baada ya wiki tatu, akaniambia kuwa siku zake hazioni. nikamwmbia asubiri wiki 2 tuone, lakini juzi akajaribu kupima na akapata majibu kwamba kitu kimenasa. daaaaah nimemshauri hpa aote (aatoe mimba) lakini anasema anaogopa.

Naomba ushauli wenu japo nimefanya makosa hata naandika haya huku nikiona aibu sijui nifanye nini kwenye hali.

Sasa mimi nitaonekanaje kwenye familia yangu na yao nitaonekana mtu nisiefaa kabisa kwa maana hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kufanya haya mambo, kwakuwa hakuna nikimwmbia asitoe hakutokuwa na siri tena hapo .
Eh haya
 
Hamna jambo zito hapo kikubwa taarifa zikijulikana we endelea kulea mimba akizaa tunza damu yako usikuze mambo mkuu
 
Ndugu zangu, naomba ushauri huku nikiwa naona Aibu kwa niliyoyafanya lakini yashatokea [emoji116]

Naomba msaada wenu kwa jambo zito ambalo nalipitia. Nina mwanamke ambaye nimezaa naye mtoto mmoja na yeye ana mdogo wake wa kike ambaye tulikuwa tunamazoea sana, mpaka ikafika mahali dada ake alipoona nikiongea naye, anakosa amani kabisa. Kwa bahati mbaya, baada ya mwaka kupita, mdgo wake aliondoka lakini amerudi tena mwaka huu.

Baada ya kurudi tukajikuta tunchat na tunatumiana video vya hovyo hivyo . Mwezi uliopita siku moja tukatoka kwa siri na tukazini lakini sasa baada ya wiki tatu, akaniambia kuwa siku zake hazioni. nikamwmbia asubiri wiki 2 tuone, lakini juzi akajaribu kupima na akapata majibu kwamba kitu kimenasa. daaaaah nimemshauri hpa aote (aatoe mimba) lakini anasema anaogopa.

Naomba ushauli wenu japo nimefanya makosa hata naandika haya huku nikiona aibu sijui nifanye nini kwenye hali.

Sasa mimi nitaonekanaje kwenye familia yangu na yao nitaonekana mtu nisiefaa kabisa kwa maana hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kufanya haya mambo, kwakuwa hakuna nikimwmbia asitoe hakutokuwa na siri tena hapo .
Wewe kabla hata ya ushauri wewe unahitaji bakora.Kwani ni utovu wakimaadili uliovyuka mipaka.Ushauri wangu wewe sii wa kwanza kujikuta kwenye huo ujinga kwenye ama familia yako ama ukweni kwako.Hivyo wewe katubu hiyo dhambi na ukubaliane na adhabu zinazotolewa kwa kosa hilo kwenye jamii yako.
 
Ndugu zangu, naomba ushauri huku nikiwa naona Aibu kwa niliyoyafanya lakini yashatokea [emoji116]

Naomba msaada wenu kwa jambo zito ambalo nalipitia. Nina mwanamke ambaye nimezaa naye mtoto mmoja na yeye ana mdogo wake wa kike ambaye tulikuwa tunamazoea sana, mpaka ikafika mahali dada ake alipoona nikiongea naye, anakosa amani kabisa. Kwa bahati mbaya, baada ya mwaka kupita, mdgo wake aliondoka lakini amerudi tena mwaka huu.

Baada ya kurudi tukajikuta tunchat na tunatumiana video vya hovyo hivyo . Mwezi uliopita siku moja tukatoka kwa siri na tukazini lakini sasa baada ya wiki tatu, akaniambia kuwa siku zake hazioni. nikamwmbia asubiri wiki 2 tuone, lakini juzi akajaribu kupima na akapata majibu kwamba kitu kimenasa. daaaaah nimemshauri hpa aote (aatoe mimba) lakini anasema anaogopa.

Naomba ushauli wenu japo nimefanya makosa hata naandika haya huku nikiona aibu sijui nifanye nini kwenye hali.

Sasa mimi nitaonekanaje kwenye familia yangu na yao nitaonekana mtu nisiefaa kabisa kwa maana hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kufanya haya mambo, kwakuwa hakuna nikimwmbia asitoe hakutokuwa na siri tena hapo .
Fanya kama Yakobo kwa Leah na Rachel.

Mtafute baba yao uongeze mahali ya mdogo.
 
Yajayo yanafurahisha

Tunapenda nyama kwa nyama bira kuangalia risk unazoweza kutana nazo sasa ulijua kbsa ni shemeji ila bado unakula bira kondomu na kibaya zaidi unamwagia ndani, kwel ww ni kenge
Ila sio mbaya oa wote dada mke mkubwa mdogo wake mke mdogo
 
Back
Top Bottom