Bull Striker
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 456
- 1,003
- Thread starter
-
- #381
Heheheheheheh...Nilikuwa na mpango wa kujenga jumba kubwa ili mimi na familia yangu tujiachie.
Ile nimeona, kujenga jumba kubwa ni kualika watu wasio takiwa waje kuishi kwako na kukuletea kadhia.
Sasa mwakani naanza kujenga nyumba yenye vyumba viwili tu. Ndugu watakao kuja kuhamia, watalala sebuleni au jikoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole. Na yeye 'mshughulikie' kulinda heshima ya mji wako. Baba mkwe mwache aje ila mtafutie shughuli ya kufanya akuzalishie mali. He is your cheap labor...
Lugha enyewe haieleweki.Mpuuzi tu wewe. Hakuna mkurya wa hivyo. Kwenye hii biased story yako ni vile tu hujasema your crookness.
Hakuna baba wa kikurya anaemtembelea mtoto wake aliye olewa au kuoa akaingia kwenye nyumba yao hata kama ni bonge la mansion na wana idependet houses apo kwa same compound, baba wa kikurya hatumii Ni marufuku. asa wewe unasema eti anakuja kukaa kabisa... Ukweli ni kwamba una UTAPIA MLO.
BE AS IT MAY if its true baba anakuja basi kuna pressing issue kabisa... Kiini cha mgogoro eti ni mambo yenu ya chumbani ambayo sio bearable kabisa ofcourse... What to do you just deal with the consequences... Na sio kuchafua wazee wanaokuza watu potential kabisa wa hii country.
Chagga people like yourself lack substances. They need to be controlled. E.g Mengi, kimei, mrema to name a few design
Ni wa kike au wa kiume?Wakuu, mimi nimeamua asepe kwao ifikapo Jumatatu ya tarehe 17, October. Japo mke anakuwa kama anajiuliza
Acha maneno mengi, tunataka tujue mrejesho.Lugha enyewe haieleweki.
Andika basi kingereza tujue umesoma eeh...?
Ulicho andika kama mkorogo wa malaya wa Chuo.
Huwa napenda Sana comments zako,Kila kitu mshirikishe Mungu maana ndio atakusaidia nakumbuka familia yeti tuliamini Mungu nalituwezesha sana akatusaidia kwa jambo hili mshirikishe Mungu.
Jingine mke wako hakuolewa kwao atakuja kujuta sana pale huyo mdogo wake akimdhihaki pale ambapo ameshatia dosari ndoa yake.
Ukioa au kuolewa umehakikisha kuwa unamuweza basi alishindwa nini kukuambia ukweli??
Jingine hatuna uwakika kama hauna shida tunamdis mke wako tu so ndio hayo basi nadhani unajua mwenyewe.
Na yule dada mdogo wa mkeo kata fimbo tandika peleka kwa mwenye kiti mpandishe kwa basi arudi home kwa ndoa ni ya watu wawili sio watatu.
Kingine mkeo anakitu kachukia kamwambia dogo basi
UmeniziriaHuwa napenda Sana comments zako,
Unajua sana kushauri, kongole kwako[emoji106]
Ukishindwa kusimamia maamuzi yako wewe ndio utakuwa umeolewa humo ndani na inaonekana wewe ni dhaifu.Wakuu naomba ushauri.
Mimi ni mkazi wa Morogoro ninaishi kwenye nyumba yangu niliyotafuta pamoja na mke wangu. Baada ya wahitimu kumaliza chuo mwaka huu mke wangu aliniomba mdogo wake aje kuishi nasi pamoja.
Sasa baada ya kipindi kupita mke wangu ameonesha ukaribu sana na mdogo wake ikafika mpaka kumueleza mengi juu ya maisha yetu ndani.
Kisa
Jana nilienda dukan kwetu na mke wangu (duka la vipodozi), lengo kumfuata shemeji na kupiga hesabu na kufunga duka. Dakika chache mke wangu alipokea simu kutoka kwa baba yake mazazi akimuomba aje aishi nyumbani kwangu.
Walikubaliana wao yeye na baba yake mzazi akiwa na mdogo wake na hata akaamua kumtumia nauli bila ya mimi kuhusishwa chochote. Ikumbukwe yote haya yanafanyika dukani tukiwa wote watatu namaanisha mimi, mke wangu na shemeji. Baada ya hili zoezi kuisha ndipo mke wangu ananieleza kuwa "Baba atakuja kesho na nimeshamtumia na nauli"
Mi nikamjibu kwa njia ya ujumbe wa simu, "Unaniambia ama unanipa taarifa?" Baada ya hii kauli alinuna na kukasirika sana na kuamua kuongea Kikurya yeye na mdogo wake (mimi mchaga). Mimi hapo sielewi kitu ila nyuso zao ni kama wamefura kwa hasira.
Dada mtu aliamua kurudi nyumbani kwa pikipiki, mdogo mtu (shemeji) alibaki dukani na kufunga hesabu. Baada ya muda kidogo niliwasha gari na kuelekea nyumbani. Nilipofika nyumbani sasa nikamuuliza mke wangu kwanini umekasirika kwa ujumbe kama ule angali sijaandika tusi?
Ailinijibu we niache kwanza, ushamzika baba yako hivyo huna cha kupoteza. Mimi nikamwambia taswira kama hiyo unanijengea picha mbaya kwa mdogo wako, maana yanayoongeleka ni mengi sana hasa juu ya mimi na wewe.
Maana unayomueleza nduguyo huwaeleza hata watu wa karibu. Dah, baada ya kusema hivyo akampigia simu mdogo wake na kumwambia shemeji yako anasema wewe huwa una muongelea vibaya hapo dukani kwa watu wake wakaribu.
Alifunga duka na akarudi nyumbani spidi ya jeti na kunikuta sebulen nimekaa naperuzi JF. Kwanza alipofika tuu nyumbani aligonga mlango kwa nguvu sana kana kwamba kuna mtu ana tuvamia. Alipotimba sebulen akaanza kwa kusema ilikuwaje mkanizungumzia mimi na hao marafiki (majirani wa dukani) zako?
"Halafu shemeji unajua wewe ni mnafiki sana? Unadhani matendo yako kwa dada siyaoni humu ndani? Ujue shemeji wewe una roho mbaya sana, naishi na wewe kwa kukuvumilia sana?Nlisha kudharau sana.
He he..he! Nlibaki nashangaa sana, kwanza ni mtoto mdogo sana kwangu, ni wa mwaka 98. Mwisho akasema bhana eeh kama vipi andika talaka kwa mkeo mgawane mlivyo chuma kila mtu asepe zake (shemeji huyo)! Hata dada yake hakuwahi kutamka maneno kama haya asee.
Wakuu, mimi nimeamua asepe kwao ifikapo Jumatatu ya tarehe 17, October. Japo mke anakuwa kama anajiuliza sana haya maamuzi yangu.
Pia msaada tafadhali maana nina mawazo sana kuhusu huyu dogo mwenye Degree ya Biashara, halafu pia ndugu lakini sina namna.
Nawasilisha.
True 😁😁Waondoe wote
Hata huyo Baba yake akome kuja hovyo alipoolewa binti yake
Nmekuziria kipi Tena uniqueUmeniziria
Lugha enyewe haieleweki.
Andika basi kingereza tujue umesoma eeh...?
Ulicho andika kama mkorogo wa malaya wa Chuo.
Unisalimii wala hunitext tenaNmekuziria kipi Tena unique
Huyo mtoa kuna vitu anaficha wazee wakikurya hawezi kwenda kuishi kwa mtoto wao wakike inamaana wawe shini ya mtu ikokitu ni kigumu sana maana wazee wakikurya hawana njaa huyu kajificha kwa mzazi wa mke wake wazee wakikurya hawezi kwenda kuishi chini ya utawala wa mtu baki na hawana njaa kufikia wakakimbia kwenye mji wake yaani aondoke kijijini aache ng'ombe na mashamba.Watu wajue jamani dada yako/mtoto wako akiolewa waache waishi kwa amani,et baba mtu unataka ukaishi kwa mkwe hivi waswahili tupoje??
Kila mtu akae kwake jamani ndugu huwa wanavuja miji za watoto wao