Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Nilikuwa na mpango wa kujenga jumba kubwa ili mimi na familia yangu tujiachie.
Ile nimeona, kujenga jumba kubwa ni kualika watu wasio takiwa waje kuishi kwako na kukuletea kadhia.
Sasa mwakani naanza kujenga nyumba yenye vyumba viwili tu. Ndugu watakao kuja kuhamia, watalala sebuleni au jikoni.
Heheheheheheh...
Broo umetisha sanaa
 
Pole. Na yeye 'mshughulikie' kulinda heshima ya mji wako. Baba mkwe mwache aje ila mtafutie shughuli ya kufanya akuzalishie mali. He is your cheap labor...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpuuzi tu wewe. Hakuna mkurya wa hivyo. Kwenye hii biased story yako ni vile tu hujasema your crookness.

Hakuna baba wa kikurya anaemtembelea mtoto wake aliye olewa au kuoa akaingia kwenye nyumba yao hata kama ni bonge la mansion na wana idependet houses apo kwa same compound, baba wa kikurya hatumii Ni marufuku. asa wewe unasema eti anakuja kukaa kabisa... Ukweli ni kwamba una UTAPIA MLO.

BE AS IT MAY if its true baba anakuja basi kuna pressing issue kabisa... Kiini cha mgogoro eti ni mambo yenu ya chumbani ambayo sio bearable kabisa ofcourse... What to do you just deal with the consequences... Na sio kuchafua wazee wanaokuza watu potential kabisa wa hii country.

Chagga people like yourself lack substances. They need to be controlled. E.g Mengi, kimei, mrema to name a few design
Lugha enyewe haieleweki.
Andika basi kingereza tujue umesoma eeh...?
Ulicho andika kama mkorogo wa malaya wa Chuo.
 
Mpumbavu Sana uyo shemej yako,
Ukizembea atakuharibia Ndoa yako[emoji4]
 
Kila kitu mshirikishe Mungu maana ndio atakusaidia nakumbuka familia yeti tuliamini Mungu nalituwezesha sana akatusaidia kwa jambo hili mshirikishe Mungu.

Jingine mke wako hakuolewa kwao atakuja kujuta sana pale huyo mdogo wake akimdhihaki pale ambapo ameshatia dosari ndoa yake.
Ukioa au kuolewa umehakikisha kuwa unamuweza basi alishindwa nini kukuambia ukweli??

Jingine hatuna uwakika kama hauna shida tunamdis mke wako tu so ndio hayo basi nadhani unajua mwenyewe.

Na yule dada mdogo wa mkeo kata fimbo tandika peleka kwa mwenye kiti mpandishe kwa basi arudi home kwa ndoa ni ya watu wawili sio watatu.

Kingine mkeo anakitu kachukia kamwambia dogo basi
Huwa napenda Sana comments zako,
Unajua sana kushauri, kongole kwako[emoji106]
 
Wakuu naomba ushauri.

Mimi ni mkazi wa Morogoro ninaishi kwenye nyumba yangu niliyotafuta pamoja na mke wangu. Baada ya wahitimu kumaliza chuo mwaka huu mke wangu aliniomba mdogo wake aje kuishi nasi pamoja.

Sasa baada ya kipindi kupita mke wangu ameonesha ukaribu sana na mdogo wake ikafika mpaka kumueleza mengi juu ya maisha yetu ndani.

Kisa
Jana nilienda dukan kwetu na mke wangu (duka la vipodozi), lengo kumfuata shemeji na kupiga hesabu na kufunga duka. Dakika chache mke wangu alipokea simu kutoka kwa baba yake mazazi akimuomba aje aishi nyumbani kwangu.

Walikubaliana wao yeye na baba yake mzazi akiwa na mdogo wake na hata akaamua kumtumia nauli bila ya mimi kuhusishwa chochote. Ikumbukwe yote haya yanafanyika dukani tukiwa wote watatu namaanisha mimi, mke wangu na shemeji. Baada ya hili zoezi kuisha ndipo mke wangu ananieleza kuwa "Baba atakuja kesho na nimeshamtumia na nauli"

Mi nikamjibu kwa njia ya ujumbe wa simu, "Unaniambia ama unanipa taarifa?" Baada ya hii kauli alinuna na kukasirika sana na kuamua kuongea Kikurya yeye na mdogo wake (mimi mchaga). Mimi hapo sielewi kitu ila nyuso zao ni kama wamefura kwa hasira.

Dada mtu aliamua kurudi nyumbani kwa pikipiki, mdogo mtu (shemeji) alibaki dukani na kufunga hesabu. Baada ya muda kidogo niliwasha gari na kuelekea nyumbani. Nilipofika nyumbani sasa nikamuuliza mke wangu kwanini umekasirika kwa ujumbe kama ule angali sijaandika tusi?

Ailinijibu we niache kwanza, ushamzika baba yako hivyo huna cha kupoteza. Mimi nikamwambia taswira kama hiyo unanijengea picha mbaya kwa mdogo wako, maana yanayoongeleka ni mengi sana hasa juu ya mimi na wewe.

Maana unayomueleza nduguyo huwaeleza hata watu wa karibu. Dah, baada ya kusema hivyo akampigia simu mdogo wake na kumwambia shemeji yako anasema wewe huwa una muongelea vibaya hapo dukani kwa watu wake wakaribu.

Alifunga duka na akarudi nyumbani spidi ya jeti na kunikuta sebulen nimekaa naperuzi JF. Kwanza alipofika tuu nyumbani aligonga mlango kwa nguvu sana kana kwamba kuna mtu ana tuvamia. Alipotimba sebulen akaanza kwa kusema ilikuwaje mkanizungumzia mimi na hao marafiki (majirani wa dukani) zako?

"Halafu shemeji unajua wewe ni mnafiki sana? Unadhani matendo yako kwa dada siyaoni humu ndani? Ujue shemeji wewe una roho mbaya sana, naishi na wewe kwa kukuvumilia sana?Nlisha kudharau sana.

He he..he! Nlibaki nashangaa sana, kwanza ni mtoto mdogo sana kwangu, ni wa mwaka 98. Mwisho akasema bhana eeh kama vipi andika talaka kwa mkeo mgawane mlivyo chuma kila mtu asepe zake (shemeji huyo)! Hata dada yake hakuwahi kutamka maneno kama haya asee.

Wakuu, mimi nimeamua asepe kwao ifikapo Jumatatu ya tarehe 17, October. Japo mke anakuwa kama anajiuliza sana haya maamuzi yangu.

Pia msaada tafadhali maana nina mawazo sana kuhusu huyu dogo mwenye Degree ya Biashara, halafu pia ndugu lakini sina namna.

Nawasilisha.
Ukishindwa kusimamia maamuzi yako wewe ndio utakuwa umeolewa humo ndani na inaonekana wewe ni dhaifu.
 
Acha maneno mengi, tunataka tujue mrejesho.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Lugha enyewe haieleweki.
Andika basi kingereza tujue umesoma eeh...?
Ulicho andika kama mkorogo wa malaya wa Chuo.

Unafikiri kuna mrejesho wowote toka kwa huyu aliyekuziwa mbege huko kwao Machame kishimundu...

The girls were right to treat this imbecile and impotent bastard just like he deserves.

Wala nisingeshauri wala kusoma thread ya mgonjwa wa utapia mlo kama huyu ila niliona tu anawadisi wazee wetu eti wakakae kwake... Ha ha ha toka lini? Na hajaoa mkurya wala nini ni chuki na husda tu ambazo ni consequences za matumizi ya mbege hadi damu inabadilika kuwa good for nothing.

Nimekataa go kick rocks while at that find fellow stupid girl to go mess with... Achana na hao mtu na dada yake their pride just runs deep... Only big gentlemen put on with their game.

Sio kidudu mtu dhaifu like you unachoweza ni kunywa mbege tu so the next time ukishakunywa mbeke zako tafuta mtaro ulale like you do back home na sio kuwaletea these super models maujinga wala kupandisha threat kwa great thinkers. PUMBAV*U
 
Watu wajue jamani dada yako/mtoto wako akiolewa waache waishi kwa amani, et baba mtu unataka ukaishi kwa mkwe hivi waswahili tupoje?
Kila mtu akae kwake jamani ndugu huwa wanavuja miji za watoto wao
 
Yaaaaaanu nimesoma kwa hasira and im still shaking[emoji32], au unaudhaifu flani ambao haujausema hapa? au kuna tatizo lingine linakusibu mkuu na hujaeleza hapa? au ni nini hasa[emoji34]

Jesus christ!! ningemng'oa meno huyo dem unaemwita shemeji, yani takataka yoyote inayoishi kwangu na inaspend jasho langu hawezi kunipandishia kimdomo chake, hata kue na jambo gani unless unalelewa mkuu.

Ningempa kereb za kutosha yani angeona rangi yangu harisi[emoji36], then mda huo huo wangesepa kwanza wao mizigo yao ingewafata nyuma, unachekaje na nyani? Huyo mkeo ni stupid a*ss bit*ch na wewe pua naomva nikutukane kidogo ili akili ikukae sawa, wewe pia ni mpumbavu, hata iweje usiruhusu kudharauliwa na nyani yoyoye tena nyumbani kwako, unaweza usiwe unaweza kupigana au unaogopa issue za kuwatoa meno basi tumia njia za kidipromasia basi, akishakuongelesha hivyo wala usitie neno, ingia ndani chukua vilago vyao watupie nnje alafu anzisha mtiti wa kuwatisha na vimba waondoke na usitoe hata cent moja.

Ghaaaaaaiiii yani if possible mkuu nipe number ya huyo shemeji yako inbox nijifanye ndugu yako nimtetemeshe vilivyo, kesho tu ataaga mwenyewe na akijifanya nunda natimba[emoji36]

We ni mwanaume kweli mkuu? mbona unanitisha? unaruhusuje kitu kama hicho mbwa mmoja tena puppy anakukoromea tena inside your house na mmemfuga[emoji36] akhi tungegawana majengo ya serikali, huyu hospital au motuary na mwingine gerezani, acha use*ge kua mwanaume mbwa we.
 
Watu wajue jamani dada yako/mtoto wako akiolewa waache waishi kwa amani,et baba mtu unataka ukaishi kwa mkwe hivi waswahili tupoje??
Kila mtu akae kwake jamani ndugu huwa wanavuja miji za watoto wao
Huyo mtoa kuna vitu anaficha wazee wakikurya hawezi kwenda kuishi kwa mtoto wao wakike inamaana wawe shini ya mtu ikokitu ni kigumu sana maana wazee wakikurya hawana njaa huyu kajificha kwa mzazi wa mke wake wazee wakikurya hawezi kwenda kuishi chini ya utawala wa mtu baki na hawana njaa kufikia wakakimbia kwenye mji wake yaani aondoke kijijini aache ng'ombe na mashamba.
 
Kuna kesi nyingine kabla hujaleta katika platform kama hii, uwe tayari umemtandika mtu vitasa vya kutosha, yaani unakaa unamsubiria akutamkie maneno yote hayo unamwangalia tuu, bahati nzuri wamekutana na wewe.
 
Mkuu kuna nafasi umeiacha, hujasimama kama mwanaume kwenye nyumba yako

Kifupi mkeo anatakiwa afahamu mipaka yake kuhusu nyumba yenu, ukikosea hili utadharaulika sana, huyo shemeji mtimue, piga marufuku mtu yeyote kufika nyumbani kwako bila ridhaa yako.

Simama kiume urudishe heshima yako kama baba.
 
madhara ya kujivika demokrasia ya ushamba KWENYE mahusiano

ulitakiwa kuwa na sura ya mbuzi baada tu ya kumaliza fungate lenu kifuatacho hakuna mbuzi anaweza kukutolea pua mbele sio mkeo sio huyo shemeji ambaye pia ulitakiwa uwe ushamvua nguo tangu afike kwako.
 
Back
Top Bottom