Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Kuna jamaa yangu yalimkuta kama hayo yako ila yeye alifukuza mke na shemeji yake ambae alikuwa anamsomesha na sasa ana mke mwingine.

huyo mwanamke sasa ivi anauza bar huku akijuta kuleta ndugu nyumbani kwake.
 
Mbona kama wewe ndo usiku unaambiwa kavae bed dress tuje tulala mke wangu?yaan nyumban kwangu shemej ajiongeleshe tu kiboya ivo???inaonekana unaendeshwa sanaa na huyo mkeo...na washapanga wanataka mgawane mali kila mtu apite zake...nna mashaka kwa kujiita mchaga...sijui utakuwa toleo la ngap due hamn mchaga boya ivo
 
Kwanza Fukuza hiyo Mbusi.
Pili mchape vibao mkeo maana hana akili hakupaswa kumpigia simu mdogo wake na kumwambia huo ujinga.
Tatu jijenge kiuchumi bro huna mke hapo.

Mwisho kuonesha una msimamo na unapaswa kuheshimiwa mshua wake either asije au akija usiwe na mpango naye.


N.B hizi kesi ndogo ndogo uwe unazimaliza papo kwa papo yaani titifotati kabla hasira hazijakuisha.Magufuli aliwahi sema ni bora ufanye maamuzi ukakosea kuliko kuchelewa.
 
Acha maneno mengi, tunataka tujue mrejesho.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Nawaletea kakaa.Huwa sikurupuki kila nacho fanya. Pia mpaka sasa uzi wangu umewafikia walengwa kwa Asilimia kubwa.Wapo hata walio nishauri kwa njia ya simu.

Nacho shukuru JF menipa ushirikiano kwa Comments zenu maana zimesomwa na walengwa vizuri na wameona Jinsi hasira za sisi wanaume zilivyo. Na hata sasa amesha ondoka kwangu.

Punde ntaarudi kuelezea mkasa ulio bakia na kufunga uzi.

Asanteni sana Jf.
 
Kuna yule mwana alileta story ya kaka yake kuachana na mkewe. Walikuwa wanaishi kwenye nyumba yao ila tatizo mwanaume ambaye ndo kk yake alijenga ile nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke ambaye ndo mke wake baada ya miaka mke akawa anataka taraka na anamwambia mwanaume aondoke kwake au abebe tofali zake asepe embu kautafute ule uzi mkuu utakusaidi kufanya maamuzi mazuriii yatakayo kupa amani ya moyo
Ningeivunjavunja yote chini
 
Kuna Uzi humu JF jamaa alicomment kwamba yeye kwenye documents zote za mali zake atamuandika dada yake.
Kwa upande wangu nili uelewa sana.
Unaweza kua unaishi na mke mna hela na kufurahia, lakini kichwani kwake anatarget zake, kutaka muachane mgawane mali au la mali zote zibaki kwake. Lakini pia inawezekana una watoto watatu wenye furaha kabisa kumbe sio wako.

Kuna mtu pia aliwahi kuandika humu, usimuonee huruma mwanamke.

Kuna mengi mke wako anaongea na ndugu zake kuhusu wewe. Na mengi ni mabaya, hata kama nyie mnaishi vizuri
 
Hao wakurya wa wapi wapuuzi kiasi hicho?hao sio wakurya labda wajita au makabila mengine jirani...!anyway.rudisha woye makwao wakajifumze adabu kwa wazazi wao.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hao labda ni wajita siyo wakurya kama ni wakurya basi umekuwa mpole mno hawa huhitaji mkong'oto akili inarudi sawa.
 
Hapo mkuu umesema kweli. Watoto wa kike hawana dogo. Tena kama huyo anaweza kusema hata alitaka kumbaka na akimtimua anaweza kumchafua kua amemtongoza akakataa ndio maana
Sasa akisema we unaogopa nn? Be a man
 
Ukioa tu izo mali ni zenu na sio zako mkuu!!! Omba mungu akupe mke mwema.... ila issue ya mnama hapa inaonekana mpole shemeji anatoa wapi mamlaka yakuzungumza na mimi???
Siyo kweli, ni zile tuu mtakazochuma katika ndoa yenu, maana yake ukijenga nyumba baada ya kumwoa mwanamke hiyo ni yenu hata kama hakuchanga pesa. Mahakamani wanauliza katika maisha yenu mmechuma nini?
 
Back
Top Bottom