Hao wanaweza kukuua ..baba mzazi ,, mara shemeji kwako wanafata nn maana ya kuoa mwanamke ataachana na wazazi wake nae ataambatana na mumewe ,,, sasa iweje wazazi wanataka kuja tena,
Huyo nahisi mpe talaka nusu sijui inaitwaje ile eda sijui akampumzike kwao maana hao watataka gawana mali mpumzishe kwanza
Yalishanikuta dada mtu na mdogo mtu kunisema kwa lugha yangu et nisielewe natoa jina la mtoto wanaongea ki lugha face impression inaonesha dada anakataa jina wamekuja na jina lao
Nilimtupilia mbali
Haya mambo huwa nakataa kila siku,, nishawahi onabaadhi ya makabila watoto kwenda kwa ndugu zao wakat wa likizo ,au kujiamulia tu, nashukuru nililelewa kwenye mazingira ya kawaida na sikwenda kwa ndugu nilipambana na wazazi wangu maisha hayo hayo hadi tukafanikiwa kuwa na maisha mazuri , hivo huwa nasema nikikuoa ukae ukijua kama ulivokuwa unaishi kwa ndugu mara unaenda mwezi huu kwa mjomba, mwezi huu kwa ma mdogo me sintataka , nakuoa ili tuishi na watoto wetu kama hatujapata tutaishi wawili tu,maswala ya wadogo zako wa kike wa kiume wakubwa hawafanyi kazi me naenda kazini wanashinda kwenye tv miguu juu nyumbani kwangu sitaki waende huko walipozaliwa
Ndugu wakishaona kuna chumba kiko wazi basi wanakuja bila taarifa unafungua geti mtu yuko na ma bag et nimefunga chuo sasa sitaki kwenda kijijin kwa mama sasa si ndo kwenu huko unakaa mjini kwa jasho la watu shenzi kabisa ,
Nililelewa kwenye ile hali kwamba mgeni yoyote atoe taarifa siku kadhaa kwanza na lengo lake la safari ni lipi sio unakuja ghafla et kesho nakuja , inabd uulize kufanyaje? Et kusalimia 😁 si huwa unanisalimia kwenye simu inatosha