Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Mkuu kama unfanyiwa hivi nyumban kwako vip ukiwa nje na hapo.
Jitahidi uoneshe uanaume wako usiruhusu mtu akutawale kwako
 
Wakuu naomba ushauri.

Mimi ni mkazi wa Morogoro ninaishi kwenye nyumba yangu niliyotafuta pamoja na mke wangu. Baada ya wahitimu kumaliza chuo mwaka huu mke wangu aliniomba mdogo wake aje kuishi nasi pamoja.

Sasa baada ya kipindi kupita mke wangu ameonesha ukaribu sana na mdogo wake ikafika mpaka kumueleza mengi juu ya maisha yetu ndani.

Kisa
Jana nilienda dukan kwetu na mke wangu (duka la vipodozi), lengo kumfuata shemeji na kupiga hesabu na kufunga duka. Dakika chache mke wangu alipokea simu kutoka kwa baba yake mazazi akimuomba aje aishi nyumbani kwangu.

Walikubaliana wao yeye na baba yake mzazi akiwa na mdogo wake na hata akaamua kumtumia nauli bila ya mimi kuhusishwa chochote. Ikumbukwe yote haya yanafanyika dukani tukiwa wote watatu namaanisha mimi, mke wangu na shemeji. Baada ya hili zoezi kuisha ndipo mke wangu ananieleza kuwa "Baba atakuja kesho na nimeshamtumia na nauli"

Mi nikamjibu kwa njia ya ujumbe wa simu, "Unaniambia ama unanipa taarifa?" Baada ya hii kauli alinuna na kukasirika sana na kuamua kuongea Kikurya yeye na mdogo wake (mimi mchaga). Mimi hapo sielewi kitu ila nyuso zao ni kama wamefura kwa hasira.

Dada mtu aliamua kurudi nyumbani kwa pikipiki, mdogo mtu (shemeji) alibaki dukani na kufunga hesabu. Baada ya muda kidogo niliwasha gari na kuelekea nyumbani. Nilipofika nyumbani sasa nikamuuliza mke wangu kwanini umekasirika kwa ujumbe kama ule angali sijaandika tusi?

Ailinijibu we niache kwanza, ushamzika baba yako hivyo huna cha kupoteza. Mimi nikamwambia taswira kama hiyo unanijengea picha mbaya kwa mdogo wako, maana yanayoongeleka ni mengi sana hasa juu ya mimi na wewe.

Maana unayomueleza nduguyo huwaeleza hata watu wa karibu. Dah, baada ya kusema hivyo akampigia simu mdogo wake na kumwambia shemeji yako anasema wewe huwa una muongelea vibaya hapo dukani kwa watu wake wakaribu.

Alifunga duka na akarudi nyumbani spidi ya jeti na kunikuta sebulen nimekaa naperuzi JF. Kwanza alipofika tuu nyumbani aligonga mlango kwa nguvu sana kana kwamba kuna mtu ana tuvamia. Alipotimba sebulen akaanza kwa kusema ilikuwaje mkanizungumzia mimi na hao marafiki (majirani wa dukani) zako?

"Halafu shemeji unajua wewe ni mnafiki sana? Unadhani matendo yako kwa dada siyaoni humu ndani? Ujue shemeji wewe una roho mbaya sana, naishi na wewe kwa kukuvumilia sana?Nlisha kudharau sana.

He he..he! Nlibaki nashangaa sana, kwanza ni mtoto mdogo sana kwangu, ni wa mwaka 98. Mwisho akasema bhana eeh kama vipi andika talaka kwa mkeo mgawane mlivyo chuma kila mtu asepe zake (shemeji huyo)! Hata dada yake hakuwahi kutamka maneno kama haya asee.

Wakuu, mimi nimeamua asepe kwao ifikapo Jumatatu ya tarehe 17, October. Japo mke anakuwa kama anajiuliza sana haya maamuzi yangu.

Pia msaada tafadhali maana nina mawazo sana kuhusu huyu dogo mwenye Degree ya Biashara, halafu pia ndugu lakini sina namna.

Nawasilisha.
mkuu japo umefanya maamuz sahihi lakin ni ya haraka sana kama ungesubiri ungepata majibu yote kuwa hawa watu hivyo vitu na vituko ni mipango yao yote maana apigaye mruzi baadae ataimba tu nyimbo yenye kueleweka mda huu utaambiwa tu unamfukuza mke kwa maneno ya mdogo wake tena alisema kwa hasira tu
 
Nahisi wanaume wengi tunafeli kwenye ndoa Kwa kuleta Democrasia Sana . Mwanamke anakusoma mwanzoni mnapoanza mahusiano au mnapoingia kwenye ndoa .. akifanya jambo la kutokukuheshimu ukalinyamazia ukasema ni Mara ya kwanza basi anaanzia hapo kukuchukulia poa, anaporudia alfu ukamkalipiq anahisi kama ameonewa.

Kwahyo inabidi uwe mkali Kwa Kila kitendo ambacho utaona kinataka au kinakaribia kukushushia heshima Kama mwanaume.! Mwanamke hapendi Bali anaheshimu Sasa akikosa heshima hakuna ndoa yenye usitawi.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Nilafikiri unaomba mwana Jf aje kukuwekea dhamana mahakamani kwa kuvunja mtu ugoko
Kumbe hivi unakuwaga na ufala gani mekuu
 
Hahahah naona yalipita ni kama hukumuoa
Mimi sishauri hata kwa asilimia ndogo ndugu kuja kuishi kwa ndugu mwingine bila ulazima wowote.
Mke wako hiyo hali ya vyumba viwili aliridhika nayo sana ndo maana alikuwa comfortable kumleta mdogo wake na angejifungua na mama mkwe angekuja.
Hivi kuna ulazima gani mimba ya miez ?
Eeeh
Mi nipo tofauti watu wengine huwa nawashangaa sana aisee.
Una mdogo wako hana kazi huko kijinini anakuja tu kukaa kwako hamna plan yoyote ya kazi,haumwi wala hana ishu yaani just kukaa tu.
Mi hapana.
Nina wadogo zangu na nimewafundisha kupambana ya ela yote.
Sijawahi ishi kwa ndugu japo hatukua matajiri ni ile hali ya kujengewa kujitegemea.
Mambo mengine tuwafundishe pia watoto wetu.
Mara likizo kwa mjomba.mara kafeli anaambiwa nenda dar kwa shemeji yako

Yaani mtoto wa form 6 anakuja kukaa kwa dada ake anaelala na shemej yake.
Mimi hapana.LABDA KUWE KUNA ULAZIMA usiokuwa na soln.
Pia hizo hali za kujaza watu ili hali ndo unatafuta maisha panazidisha umasikini
😁 Kweli kabsa hio haifai, kengne kimemaliza six ati kaje kakae Hadi muda wa chuo mwezi wa kumi huu Toka kipindi ile, anatoka mkoani mikono mitupu anakuja daslam kukaa miezi


Wazazi wengine vijana hawafai..mmama nilikuwa namuona mdogo kumbe Ana mtoto wa 20yrs

Na kutwa anazunguka kwa ndugu mtoto wake wa kike anakaa nae sa ngap? Ikiwa anamuacha huko mwenyewe si siku atarudi akute mtoto Ana mimba

Nakumbuka Kuna kipindi alimcheki bi mkubwa et Niko stand mjini nakuja kwako ,, akamuuliza umetokea wapi Hadi unipe taarifa sa hizi kuwa unakuja ulikuwa wapi yani ? Ooh marq simu ilizima akamuuliza kwamba ilizima tangu juzi ,haya unakuja fanyaje? Akajibu kulala tu Leo kesho naondoka akamuuliza Tena kwamba umepanda gari masaa kumi kuja kulala kwangu na kuondoka, akamwambia safari kaanzie ulipolala maana mjini hujaja leo hata ulikuepo mm sipo na nyumbani hakuna mtu
 
Kwamba umeshindwa kutumia mamlaka uliopewa embu watimue haraka sio kwa dharau hio
 
Unafikiri kuna mrejesho wowote toka kwa huyu aliyekuziwa mbege huko kwao Machame kishimundu...

The girls were right to treat this imbecile and impotent bastard just like he deserves.

Wala nisingeshauri wala kusoma thread ya mgonjwa wa utapia mlo kama huyu ila niliona tu anawadisi wazee wetu eti wakakae kwake... Ha ha ha toka lini? Na hajaoa mkurya wala nini ni chuki na husda tu ambazo ni consequences za matumizi ya mbege hadi damu inabadilika kuwa good for nothing.

Nimekataa go kick rocks while at that find fellow stupid girl to go mess with... Achana na hao mtu na dada yake their pride just runs deep... Only big gentlemen put on with their game.

Sio kidudu mtu dhaifu like you unachoweza ni kunywa mbege tu so the next time ukishakunywa mbeke zako tafuta mtaro ulale like you do back home na sio kuwaletea these super models maujinga wala kupandisha threat kwa great thinkers. PUMBAV*U

Mbona umepaniki sana mkuu, shida nini?
 
Back
Top Bottom