Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Unakwama sana bwana mdogo.

Ila hongera.Umemaliza chuo mwaka huu na umejenga na umefungua na biashara..hongera kama sio CHAI 😂
 
Mi ndo maana sitaki ndugu kbs nyumbani si wangu Wala wa mwenza, ndugu aje wa kusalimia asepe zake! Au aje na shida zake akamilishe asepe! Mtu kama huyo mngekuwa mmefanya kama mmemuajiri mnamlipa atafute chumba chake aanze maisha yake! Jitu zima hivo mnalilea la nn? Watoto wa 98 anakuchanganyaje akili asee
 
Utakua unaishi kwenye nyumba yao ww sio bure.
Wanaanzaje kukufharau kiasi hicho. waambie wakatafute mteja muuze mgawane alaf ona reaction yao.

Cha kufanya, hilo duka uza vitu tunza hela, hiyo nyumba kachujue mkopo benki alafu ije ipigwe mnada. Kua kichaa vitu uza alafu wote fujuza. Wakishaondoka kafungue duka upya, jenga nyumba upya na usioe tena.
[emoji23] kweli hapo ni kuwa kichaa tuu, hakuna namna
 
Msiwe mnaanzisha mada kama hizi za kiboya za kutuharibia siku, maana najikuta napata hamaki utadhani imetendeka kwangu, wewe hapo kwako ni boya kabisa, mwanaume haupaswi kulalamika vitu vya hovyo, chukua maamuzi na kuwa mkali, guruma nani ya hiyo nyumba, hakikisha umechora mpaka ambao hairuhusiwi kupitwa na yeyote.
 
Mpuuzi tu wewe. Hakuna mkurya wa hivyo. Kwenye hii biased story yako ni vile tu hujasema your crookness.

Hakuna baba wa kikurya anaemtembelea mtoto wake aliye olewa au kuoa akaingia kwenye nyumba yao hata kama ni bonge la mansion na wana idependet houses apo kwa same compound, baba wa kikurya hatumii Ni marufuku. asa wewe unasema eti anakuja kukaa kabisa... Ukweli ni kwamba una UTAPIA MLO.

BE AS IT MAY if its true baba anakuja basi kuna pressing issue kabisa... Kiini cha mgogoro eti ni mambo yenu ya chumbani ambayo sio bearable kabisa ofcourse... What to do you just deal with the consequences... Na sio kuchafua wazee wanaokuza watu potential kabisa wa hii country.

Chagga people like yourself lack substances. They need to be controlled. E.g Mengi, kimei, mrema to name a few design
Hii kenge vipi? Mbona umepaniki? Acheni kuishi kwa shemeji zenu ona sasa umeguswa
 
Keep your bad blood to yourself. Tatizo lenu ni UTAPIA-MLO ambao ni terminal illness hakuna namna ya kuwasaidia... Dada hapo ana mtunza ndugu yako. Tutakuja tu. kaka yako ndo ameolewa hapo. Own up to your failures. swallow some pills. Spineless dog
 
Wakuu naomba ushauri.

Mimi ni mkazi wa Morogoro ninaishi kwenye nyumba yangu niliyotafuta pamoja na mke wangu. Baada ya wahitimu kumaliza chuo mwaka huu mke wangu aliniomba mdogo wake aje kuishi nasi pamoja.

Sasa baada ya kipindi kupita mke wangu ameonesha ukaribu sana na mdogo wake ikafika mpaka kumueleza mengi juu ya maisha yetu ndani.

Kisa
Jana nilienda dukan kwetu na mke wangu (duka la vipodozi), lengo kumfuata shemeji na kupiga hesabu na kufunga duka. Dakika chache mke wangu alipokea simu kutoka kwa baba yake mazazi akimuomba aje aishi nyumbani kwangu.

Walikubaliana wao yeye na baba yake mzazi akiwa na mdogo wake na hata akaamua kumtumia nauli bila ya mimi kuhusishwa chochote. Ikumbukwe yote haya yanafanyika dukani tukiwa wote watatu namaanisha mimi, mke wangu na shemeji. Baada ya hili zoezi kuisha ndipo mke wangu ananieleza kuwa "Baba atakuja kesho na nimeshamtumia na nauli"

Mi nikamjibu kwa njia ya ujumbe wa simu, "Unaniambia ama unanipa taarifa?" Baada ya hii kauli alinuna na kukasirika sana na kuamua kuongea Kikurya yeye na mdogo wake (mimi mchaga). Mimi hapo sielewi kitu ila nyuso zao ni kama wamefura kwa hasira.

Dada mtu aliamua kurudi nyumbani kwa pikipiki, mdogo mtu (shemeji) alibaki dukani na kufunga hesabu. Baada ya muda kidogo niliwasha gari na kuelekea nyumbani. Nilipofika nyumbani sasa nikamuuliza mke wangu kwanini umekasirika kwa ujumbe kama ule angali sijaandika tusi?

Ailinijibu we niache kwanza, ushamzika baba yako hivyo huna cha kupoteza. Mimi nikamwambia taswira kama hiyo unanijengea picha mbaya kwa mdogo wako, maana yanayoongeleka ni mengi sana hasa juu ya mimi na wewe.

Maana unayomueleza nduguyo huwaeleza hata watu wa karibu. Dah, baada ya kusema hivyo akampigia simu mdogo wake na kumwambia shemeji yako anasema wewe huwa una muongelea vibaya hapo dukani kwa watu wake wakaribu.

Alifunga duka na akarudi nyumbani spidi ya jeti na kunikuta sebulen nimekaa naperuzi JF. Kwanza alipofika tuu nyumbani aligonga mlango kwa nguvu sana kana kwamba kuna mtu ana tuvamia. Alipotimba sebulen akaanza kwa kusema ilikuwaje mkanizungumzia mimi na hao marafiki (majirani wa dukani) zako?

"Halafu shemeji unajua wewe ni mnafiki sana? Unadhani matendo yako kwa dada siyaoni humu ndani? Ujue shemeji wewe una roho mbaya sana, naishi na wewe kwa kukuvumilia sana?Nlisha kudharau sana.

He he..he! Nlibaki nashangaa sana, kwanza ni mtoto mdogo sana kwangu, ni wa mwaka 98. Mwisho akasema bhana eeh kama vipi andika talaka kwa mkeo mgawane mlivyo chuma kila mtu asepe zake (shemeji huyo)! Hata dada yake hakuwahi kutamka maneno kama haya asee.

Wakuu, mimi nimeamua asepe kwao ifikapo Jumatatu ya tarehe 17, October. Japo mke anakuwa kama anajiuliza sana haya maamuzi yangu.

Pia msaada tafadhali maana nina mawazo sana kuhusu huyu dogo mwenye Degree ya Biashara, halafu pia ndugu lakini sina namna.

Nawasilisha.
Acha uboya na umariooo...hiyo jeuri ni kwamba mwanamke ndiye mwenye nyumba siyo wewe..tafuta hela
 
Mpaka jtatu anasubiria Nini? safirisha mdogo mtu hata sa hv asepe, afu kaa na mkeo mkanye! Nikuambie tu Hakuna kitu kigumu kama kuishi na ndugu siyo upande wa mke Wala wa mume!
 
Bora umesema wewe tukisema sisi yanajibu mashoga wenzake kama hili
[emoji116]
Shida moja ya kabila lenu hamjawahai kutumia akili hata kidogo ndio maana hata wewe hapa unatumia nguvu sana kumdhoofisha mtoa maada Ila sisi tulioishi na nyinyi tunawajua.

Ujuaji mwingi lakn kichwani zero. Mulisya muraa
 
Nenda pale ikulu ukawaambie ivi wazee wa vetting... IGP sequentials, CAG, TRA Kidata, Warioba, CDF, chief justice, etc etc.

the next time ukiwa una ji-pity angalia kabila lenu jinsi ambavyo ni outcasted... again compare na wakurya jinsi walivyo trusted. this country literally rest in our shoulders kuryas... Therefore safety is guaranteed.

Nyie apo mnaojifanya smart kumbe ni wajaa mavi, utapiamlo, selfish to the core... absolutely treacherous ndo maana hata mkiwa huko private sector mnakua monitored e.g kimeA
 
Wakuu naomba ushauri.

Mimi ni mkazi wa Morogoro ninaishi kwenye nyumba yangu niliyotafuta pamoja na mke wangu. Baada ya wahitimu kumaliza chuo mwaka huu mke wangu aliniomba mdogo wake aje kuishi nasi pamoja.

Sasa baada ya kipindi kupita mke wangu ameonesha ukaribu sana na mdogo wake ikafika mpaka kumueleza mengi juu ya maisha yetu ndani.

Kisa
Jana nilienda dukan kwetu na mke wangu (duka la vipodozi), lengo kumfuata shemeji na kupiga hesabu na kufunga duka. Dakika chache mke wangu alipokea simu kutoka kwa baba yake mazazi akimuomba aje aishi nyumbani kwangu.

Walikubaliana wao yeye na baba yake mzazi akiwa na mdogo wake na hata akaamua kumtumia nauli bila ya mimi kuhusishwa chochote. Ikumbukwe yote haya yanafanyika dukani tukiwa wote watatu namaanisha mimi, mke wangu na shemeji. Baada ya hili zoezi kuisha ndipo mke wangu ananieleza kuwa "Baba atakuja kesho na nimeshamtumia na nauli"

Mi nikamjibu kwa njia ya ujumbe wa simu, "Unaniambia ama unanipa taarifa?" Baada ya hii kauli alinuna na kukasirika sana na kuamua kuongea Kikurya yeye na mdogo wake (mimi mchaga). Mimi hapo sielewi kitu ila nyuso zao ni kama wamefura kwa hasira.

Dada mtu aliamua kurudi nyumbani kwa pikipiki, mdogo mtu (shemeji) alibaki dukani na kufunga hesabu. Baada ya muda kidogo niliwasha gari na kuelekea nyumbani. Nilipofika nyumbani sasa nikamuuliza mke wangu kwanini umekasirika kwa ujumbe kama ule angali sijaandika tusi?

Ailinijibu we niache kwanza, ushamzika baba yako hivyo huna cha kupoteza. Mimi nikamwambia taswira kama hiyo unanijengea picha mbaya kwa mdogo wako, maana yanayoongeleka ni mengi sana hasa juu ya mimi na wewe.

Maana unayomueleza nduguyo huwaeleza hata watu wa karibu. Dah, baada ya kusema hivyo akampigia simu mdogo wake na kumwambia shemeji yako anasema wewe huwa una muongelea vibaya hapo dukani kwa watu wake wakaribu.

Alifunga duka na akarudi nyumbani spidi ya jeti na kunikuta sebulen nimekaa naperuzi JF. Kwanza alipofika tuu nyumbani aligonga mlango kwa nguvu sana kana kwamba kuna mtu ana tuvamia. Alipotimba sebulen akaanza kwa kusema ilikuwaje mkanizungumzia mimi na hao marafiki (majirani wa dukani) zako?

"Halafu shemeji unajua wewe ni mnafiki sana? Unadhani matendo yako kwa dada siyaoni humu ndani? Ujue shemeji wewe una roho mbaya sana, naishi na wewe kwa kukuvumilia sana?Nlisha kudharau sana.

He he..he! Nlibaki nashangaa sana, kwanza ni mtoto mdogo sana kwangu, ni wa mwaka 98. Mwisho akasema bhana eeh kama vipi andika talaka kwa mkeo mgawane mlivyo chuma kila mtu asepe zake (shemeji huyo)! Hata dada yake hakuwahi kutamka maneno kama haya asee.

Wakuu, mimi nimeamua asepe kwao ifikapo Jumatatu ya tarehe 17, October. Japo mke anakuwa kama anajiuliza sana haya maamuzi yangu.

Pia msaada tafadhali maana nina mawazo sana kuhusu huyu dogo mwenye Degree ya Biashara, halafu pia ndugu lakini sina namna.

Nawasilisha.
Unahitaji kujitafakari
1. Haijalishi mke anakuzidi kipato, tumia sauti yako ya kukoroma uliyopewa na Mungu.
2.Na kama umenielewa, mtimue huyo binti kesho na siyo jumatatu. Angalau wanaume tutaanzaa kukuelewa.
3.Mwambie mkeo asitishe hiyo safari ya baba mkwe. Atajua mwenyewe atamwambiaje.
4.Akikushinda nishtue, nitakuja kwa nauli yangu mwenyewe..
 
Back
Top Bottom