Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa Kila mtu apambane na Hali yakeMimi msimamo wangu:NIKIOA SITAKI KUONA NDUGU WA MKE AU NDUGU YANGU KWANGU,KILA MTU AKAE KWAKE.
[emoji23] kweli hapo ni kuwa kichaa tuu, hakuna namnaUtakua unaishi kwenye nyumba yao ww sio bure.
Wanaanzaje kukufharau kiasi hicho. waambie wakatafute mteja muuze mgawane alaf ona reaction yao.
Cha kufanya, hilo duka uza vitu tunza hela, hiyo nyumba kachujue mkopo benki alafu ije ipigwe mnada. Kua kichaa vitu uza alafu wote fujuza. Wakishaondoka kafungue duka upya, jenga nyumba upya na usioe tena.
Hii kenge vipi? Mbona umepaniki? Acheni kuishi kwa shemeji zenu ona sasa umeguswaMpuuzi tu wewe. Hakuna mkurya wa hivyo. Kwenye hii biased story yako ni vile tu hujasema your crookness.
Hakuna baba wa kikurya anaemtembelea mtoto wake aliye olewa au kuoa akaingia kwenye nyumba yao hata kama ni bonge la mansion na wana idependet houses apo kwa same compound, baba wa kikurya hatumii Ni marufuku. asa wewe unasema eti anakuja kukaa kabisa... Ukweli ni kwamba una UTAPIA MLO.
BE AS IT MAY if its true baba anakuja basi kuna pressing issue kabisa... Kiini cha mgogoro eti ni mambo yenu ya chumbani ambayo sio bearable kabisa ofcourse... What to do you just deal with the consequences... Na sio kuchafua wazee wanaokuza watu potential kabisa wa hii country.
Chagga people like yourself lack substances. They need to be controlled. E.g Mengi, kimei, mrema to name a few design
Keep your bad blood to yourself. Tatizo lenu ni UTAPIA-MLO ambao ni terminal illness hakuna namna ya kuwasaidia... Dada hapo ana mtunza ndugu yako. Tutakuja tu. kaka yako ndo ameolewa hapo. Own up to your failures. swallow some pills. Spineless dogHii kenge vipi? Mbona umepaniki? Acheni kuishi kwa shemeji zenu ona sasa umeguswa
Kwa kweli.Yaani angepigika yet na dada yakeIngekuwa mimi huyo binti angepata maumivu makali halafu yeye na dada yake wangelala stendi kwa safari mapema asubuhi.
Acha uboya na umariooo...hiyo jeuri ni kwamba mwanamke ndiye mwenye nyumba siyo wewe..tafuta helaWakuu naomba ushauri.
Mimi ni mkazi wa Morogoro ninaishi kwenye nyumba yangu niliyotafuta pamoja na mke wangu. Baada ya wahitimu kumaliza chuo mwaka huu mke wangu aliniomba mdogo wake aje kuishi nasi pamoja.
Sasa baada ya kipindi kupita mke wangu ameonesha ukaribu sana na mdogo wake ikafika mpaka kumueleza mengi juu ya maisha yetu ndani.
Kisa
Jana nilienda dukan kwetu na mke wangu (duka la vipodozi), lengo kumfuata shemeji na kupiga hesabu na kufunga duka. Dakika chache mke wangu alipokea simu kutoka kwa baba yake mazazi akimuomba aje aishi nyumbani kwangu.
Walikubaliana wao yeye na baba yake mzazi akiwa na mdogo wake na hata akaamua kumtumia nauli bila ya mimi kuhusishwa chochote. Ikumbukwe yote haya yanafanyika dukani tukiwa wote watatu namaanisha mimi, mke wangu na shemeji. Baada ya hili zoezi kuisha ndipo mke wangu ananieleza kuwa "Baba atakuja kesho na nimeshamtumia na nauli"
Mi nikamjibu kwa njia ya ujumbe wa simu, "Unaniambia ama unanipa taarifa?" Baada ya hii kauli alinuna na kukasirika sana na kuamua kuongea Kikurya yeye na mdogo wake (mimi mchaga). Mimi hapo sielewi kitu ila nyuso zao ni kama wamefura kwa hasira.
Dada mtu aliamua kurudi nyumbani kwa pikipiki, mdogo mtu (shemeji) alibaki dukani na kufunga hesabu. Baada ya muda kidogo niliwasha gari na kuelekea nyumbani. Nilipofika nyumbani sasa nikamuuliza mke wangu kwanini umekasirika kwa ujumbe kama ule angali sijaandika tusi?
Ailinijibu we niache kwanza, ushamzika baba yako hivyo huna cha kupoteza. Mimi nikamwambia taswira kama hiyo unanijengea picha mbaya kwa mdogo wako, maana yanayoongeleka ni mengi sana hasa juu ya mimi na wewe.
Maana unayomueleza nduguyo huwaeleza hata watu wa karibu. Dah, baada ya kusema hivyo akampigia simu mdogo wake na kumwambia shemeji yako anasema wewe huwa una muongelea vibaya hapo dukani kwa watu wake wakaribu.
Alifunga duka na akarudi nyumbani spidi ya jeti na kunikuta sebulen nimekaa naperuzi JF. Kwanza alipofika tuu nyumbani aligonga mlango kwa nguvu sana kana kwamba kuna mtu ana tuvamia. Alipotimba sebulen akaanza kwa kusema ilikuwaje mkanizungumzia mimi na hao marafiki (majirani wa dukani) zako?
"Halafu shemeji unajua wewe ni mnafiki sana? Unadhani matendo yako kwa dada siyaoni humu ndani? Ujue shemeji wewe una roho mbaya sana, naishi na wewe kwa kukuvumilia sana?Nlisha kudharau sana.
He he..he! Nlibaki nashangaa sana, kwanza ni mtoto mdogo sana kwangu, ni wa mwaka 98. Mwisho akasema bhana eeh kama vipi andika talaka kwa mkeo mgawane mlivyo chuma kila mtu asepe zake (shemeji huyo)! Hata dada yake hakuwahi kutamka maneno kama haya asee.
Wakuu, mimi nimeamua asepe kwao ifikapo Jumatatu ya tarehe 17, October. Japo mke anakuwa kama anajiuliza sana haya maamuzi yangu.
Pia msaada tafadhali maana nina mawazo sana kuhusu huyu dogo mwenye Degree ya Biashara, halafu pia ndugu lakini sina namna.
Nawasilisha.
Acha uboya na umariooo...hiyo jeuri ni kwamba mwanamke ndiye mwenye nyumba siyo wewe..tafuta hela
Hii kenge vipi? Mbona umepaniki? Acheni kuishi kwa shemeji zenu ona sasa umeguswa
Mpaka jtatu anasubiria Nini? safirisha mdogo mtu hata sa hv asepe, afu kaa na mkeo mkanye! Nikuambie tu Hakuna kitu kigumu kama kuishi na ndugu siyo upande wa mke Wala wa mume!Wakuu naomba ushauri.
Mimi ni mkazi wa Morogoro ninaishi kwenye nyumba yangu niliyotafuta pamoja na mke wangu. Baada ya wahitimu kumaliza chuo mwaka huu mke wangu aliniomba mdogo wake aje kuishi nasi pamoja.
Sasa baada ya kipindi kupita mke wangu ameonesha ukaribu sana na mdogo wake ikafika mpaka kumueleza mengi juu ya maisha yetu ndani.
Kisa
Jana nilienda dukan kwetu na mke wangu (duka la vipodozi), lengo kumfuata shemeji na kupiga hesabu na kufunga duka. Dakika chache mke wangu alipokea simu kutoka kwa baba yake mazazi akimuomba aje aishi nyumbani kwangu.
Walikubaliana wao yeye na baba yake mzazi akiwa na mdogo wake na hata akaamua kumtumia nauli bila ya mimi kuhusishwa chochote. Ikumbukwe yote haya yanafanyika dukani tukiwa wote watatu namaanisha mimi, mke wangu na shemeji. Baada ya hili zoezi kuisha ndipo mke wangu ananieleza kuwa "Baba atakuja kesho na nimeshamtumia na nauli"
Mi nikamjibu kwa njia ya ujumbe wa simu, "Unaniambia ama unanipa taarifa?" Baada ya hii kauli alinuna na kukasirika sana na kuamua kuongea Kikurya yeye na mdogo wake (mimi mchaga). Mimi hapo sielewi kitu ila nyuso zao ni kama wamefura kwa hasira.
Dada mtu aliamua kurudi nyumbani kwa pikipiki, mdogo mtu (shemeji) alibaki dukani na kufunga hesabu. Baada ya muda kidogo niliwasha gari na kuelekea nyumbani. Nilipofika nyumbani sasa nikamuuliza mke wangu kwanini umekasirika kwa ujumbe kama ule angali sijaandika tusi?
Ailinijibu we niache kwanza, ushamzika baba yako hivyo huna cha kupoteza. Mimi nikamwambia taswira kama hiyo unanijengea picha mbaya kwa mdogo wako, maana yanayoongeleka ni mengi sana hasa juu ya mimi na wewe.
Maana unayomueleza nduguyo huwaeleza hata watu wa karibu. Dah, baada ya kusema hivyo akampigia simu mdogo wake na kumwambia shemeji yako anasema wewe huwa una muongelea vibaya hapo dukani kwa watu wake wakaribu.
Alifunga duka na akarudi nyumbani spidi ya jeti na kunikuta sebulen nimekaa naperuzi JF. Kwanza alipofika tuu nyumbani aligonga mlango kwa nguvu sana kana kwamba kuna mtu ana tuvamia. Alipotimba sebulen akaanza kwa kusema ilikuwaje mkanizungumzia mimi na hao marafiki (majirani wa dukani) zako?
"Halafu shemeji unajua wewe ni mnafiki sana? Unadhani matendo yako kwa dada siyaoni humu ndani? Ujue shemeji wewe una roho mbaya sana, naishi na wewe kwa kukuvumilia sana?Nlisha kudharau sana.
He he..he! Nlibaki nashangaa sana, kwanza ni mtoto mdogo sana kwangu, ni wa mwaka 98. Mwisho akasema bhana eeh kama vipi andika talaka kwa mkeo mgawane mlivyo chuma kila mtu asepe zake (shemeji huyo)! Hata dada yake hakuwahi kutamka maneno kama haya asee.
Wakuu, mimi nimeamua asepe kwao ifikapo Jumatatu ya tarehe 17, October. Japo mke anakuwa kama anajiuliza sana haya maamuzi yangu.
Pia msaada tafadhali maana nina mawazo sana kuhusu huyu dogo mwenye Degree ya Biashara, halafu pia ndugu lakini sina namna.
Nawasilisha.
Shida moja ya kabila lenu hamjawahai kutumia akili hata kidogo ndio maana hata wewe hapa unatumia nguvu sana kumdhoofisha mtoa maada Ila sisi tulioishi na nyinyi tunawajua.Bora umesema wewe tukisema sisi yanajibu mashoga wenzake kama hili
[emoji116]
HiiIngekuwa mimi huyo binti angepata maumivu makali halafu yeye na dada yake wangelala stendi kwa safari mapema asubuhi.
😂😂😂ONE MAN DOWN I REPEAT ONE MAN DOWN OVER WE NEED BACK UP OVER .
Shida moja ya kabila lenu hamjawahai kutumia akili hata kidogo ndio maana hata wewe hapa unatumia nguvu sana kumdhoofisha mtoa maada Ila sisi tulioishi na nyinyi tunawajua.
Ujuaji mwingi lakn kichwani zero. Mulisya muraa
Unahitaji kujitafakariWakuu naomba ushauri.