Unabisha? Nitakusemelea kwa mama Jabulani🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unabisha? Nitakusemelea kwa mama Jabulani🤣🤣
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaaaaa! Nimecheka kisengeee sanaaaaaJitahidi uwe na kipato chako tofauti na hivyo vipodozi vya mkeo
Kuna wakurya wanawake wa 2 nawafahamu, ni wababe na viburi hatari. Wametengana na waume zao. Wana miili halafu jeuri hatari.Pole kaka, naona unasema unajuta kuoa Mkurya. Mimi ni Mkurya hatuko hivyo, tuna mapenzi ya kweli na kuheshimu waume. Huyo uliyemuoa na mdogo ake, ni jinsi walivyolelewa tu kwao.
Pia punguza upole, simama kama mwanaume, kama baba, kama mume katika ndoa na nyumba yako. Hao ndugu zangu vimeo, peleka wote kwao wakashike adabu kwanza.
Ukikosa sauti ndani ya Nyumbaa mwanamke atakupandaa Kichwanii mpaja utajua hujuii.. Na huwa hawaanzi haraka ya anaanza taratibu tuu wew unajua ndo mapenzi kumbe ndo unaanza kuburuzwaa hivyoooo...!Nadhani kuwe na kitchen party ya wanaume serious
Acha kaka Rik wakuria sio watu ni MachiziUkikosa sauti ndani ya Nyumbaa mwanamke atakupandaa Kichwanii mpaja utajua hujuii.. Na huwa hawaanzi haraka ya anaanza taratibu tuu wew unajua ndo mapenzi kumbe ndo unaanza kuburuzwaa hivyoooo...!
Utafanyaje sasa utakataa ama ndiyo utapita naye?😀😀Ndio madhara ya kukaa na ukoo mzima nyumba moja
Mke aniletee mdg wake atajua hajui
Kwann nisiruke nae sasa 😄Utafanyaje sasa utakataa ama ndiyo utapita naye?😀😀
Mpaka leo hujaleta mrejeshoNaleta Meku
Kweli sijaleta Mrejesho ila ni Kubwa na Makubwa.Mpaka leo hujaleta mrejesho
Pole mkuuKweli sijaleta Mrejesho ila ni Kubwa na Makubwa.
Nasubiria nifikie hatma,maana tangu huu uzi unyanyuke hakukuwepo na maelewano mpak kipind flan.So acha nyundo ya mwisho ilie basi ntakuja na Mkanda woteee alafu muone mwenzenu maisha ya ndoa yangu nilio ishi na kupitia.Alafu tujiulize sote kwa pamoja.
Kisa cha kumuacha huyo shemeji yako hadi October 17 ni nini? Ingekuwa mimi angeondoka siku hiyo hiyo mara tu baada ya kumaliza maneno yake ya shombo.Wakuu naomba ushauri.
Mimi ni mkazi wa Morogoro ninaishi kwenye nyumba yangu niliyotafuta pamoja na mke wangu. Baada ya wahitimu kumaliza chuo mwaka huu mke wangu aliniomba mdogo wake aje kuishi nasi pamoja.
Sasa baada ya kipindi kupita mke wangu ameonesha ukaribu sana na mdogo wake ikafika mpaka kumueleza mengi juu ya maisha yetu ndani.
Kisa
Jana nilienda dukan kwetu na mke wangu (duka la vipodozi), lengo kumfuata shemeji na kupiga hesabu na kufunga duka. Dakika chache mke wangu alipokea simu kutoka kwa baba yake mazazi akimuomba aje aishi nyumbani kwangu.
Walikubaliana wao yeye na baba yake mzazi akiwa na mdogo wake na hata akaamua kumtumia nauli bila ya mimi kuhusishwa chochote. Ikumbukwe yote haya yanafanyika dukani tukiwa wote watatu namaanisha mimi, mke wangu na shemeji. Baada ya hili zoezi kuisha ndipo mke wangu ananieleza kuwa "Baba atakuja kesho na nimeshamtumia na nauli"
Mi nikamjibu kwa njia ya ujumbe wa simu, "Unaniambia ama unanipa taarifa?" Baada ya hii kauli alinuna na kukasirika sana na kuamua kuongea Kikurya yeye na mdogo wake (mimi mchaga). Mimi hapo sielewi kitu ila nyuso zao ni kama wamefura kwa hasira.
Dada mtu aliamua kurudi nyumbani kwa pikipiki, mdogo mtu (shemeji) alibaki dukani na kufunga hesabu. Baada ya muda kidogo niliwasha gari na kuelekea nyumbani. Nilipofika nyumbani sasa nikamuuliza mke wangu kwanini umekasirika kwa ujumbe kama ule angali sijaandika tusi?
Ailinijibu we niache kwanza, ushamzika baba yako hivyo huna cha kupoteza. Mimi nikamwambia taswira kama hiyo unanijengea picha mbaya kwa mdogo wako, maana yanayoongeleka ni mengi sana hasa juu ya mimi na wewe.
Maana unayomueleza nduguyo huwaeleza hata watu wa karibu. Dah, baada ya kusema hivyo akampigia simu mdogo wake na kumwambia shemeji yako anasema wewe huwa una muongelea vibaya hapo dukani kwa watu wake wakaribu.
Alifunga duka na akarudi nyumbani spidi ya jeti na kunikuta sebulen nimekaa naperuzi JF. Kwanza alipofika tuu nyumbani aligonga mlango kwa nguvu sana kana kwamba kuna mtu ana tuvamia. Alipotimba sebulen akaanza kwa kusema ilikuwaje mkanizungumzia mimi na hao marafiki (majirani wa dukani) zako?
"Halafu shemeji unajua wewe ni mnafiki sana? Unadhani matendo yako kwa dada siyaoni humu ndani? Ujue shemeji wewe una roho mbaya sana, naishi na wewe kwa kukuvumilia sana?Nlisha kudharau sana.
He he..he! Nlibaki nashangaa sana, kwanza ni mtoto mdogo sana kwangu, ni wa mwaka 98. Mwisho akasema bhana eeh kama vipi andika talaka kwa mkeo mgawane mlivyo chuma kila mtu asepe zake (shemeji huyo)! Hata dada yake hakuwahi kutamka maneno kama haya asee.
Wakuu, mimi nimeamua asepe kwao ifikapo Jumatatu ya tarehe 17, October. Japo mke anakuwa kama anajiuliza sana haya maamuzi yangu.
Pia msaada tafadhali maana nina mawazo sana kuhusu huyu dogo mwenye Degree ya Biashara, halafu pia ndugu lakini sina namna.
Nawasilisha.
Je, umewahi mpitia huyo shemeji yako? Kwanini amekosa adabu kiasi hicho? Isije ikawa umewahi mpitia au umefanya jambo lililokushushia heshima mbele yake!Wakuu naomba ushauri.

Mrejesho uko njianiiiii...Mpaka leo hujaleta mrejesho
Pole mkuu
Siko nae ila utaelewa tuuKisa cha kumuacha huyo shemeji yako hadi October 17 ni nini? Ingekuwa mimi angeondoka siku hiyo hiyo mara tu baada ya kumaliza maneno yake ya shombo.
Mchaga inaonekana huna kauli kwa mkeo, pole!
Hahaa kwahiyo wewe ni weka mbali na ndugu? Acha hizo mkuuKwann nisiruke nae sasa 😄