Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Shida ni kwamba umekosa control ya hiyo familia yako kwa hiyo jiandae kugawana mali na mkeo kama mdogo wake tuu anakubabaisha hivyo wewe ni dhaifu unashindwa kumchapa vibao huyo au kumfukuza hapo?
 
Yani uwe katili haswa haswa otherwise utachezewa kama mdoli.
Yanii mwanamke Ukimchekea aisee utafanywaa mdoliii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siku mlambe kofi 2 tatu akili zimrudieee hata next time akitaka kuleta ujinga anakumbukaa kichapo anatuliaa
 
Wakuu naomba ushauri.

Mimi ni mkazi wa Morogoro ninaishi kwenye nyumba yangu niliyotafuta pamoja na mke wangu. Baada ya wahitimu kumaliza chuo mwaka huu mke wangu aliniomba mdogo wake aje kuishi nasi pamoja.

Sasa baada ya kipindi kupita mke wangu ameonesha ukaribu sana na mdogo wake ikafika mpaka kumueleza mengi juu ya maisha yetu ndani.

Kisa
Jana nilienda dukan kwetu na mke wangu (duka la vipodozi), lengo kumfuata shemeji na kupiga hesabu na kufunga duka. Dakika chache mke wangu alipokea simu kutoka kwa baba yake mazazi akimuomba aje aishi nyumbani kwangu.

Walikubaliana wao yeye na baba yake mzazi akiwa na mdogo wake na hata akaamua kumtumia nauli bila ya mimi kuhusishwa chochote. Ikumbukwe yote haya yanafanyika dukani tukiwa wote watatu namaanisha mimi, mke wangu na shemeji. Baada ya hili zoezi kuisha ndipo mke wangu ananieleza kuwa "Baba atakuja kesho na nimeshamtumia na nauli"

Mi nikamjibu kwa njia ya ujumbe wa simu, "Unaniambia ama unanipa taarifa?" Baada ya hii kauli alinuna na kukasirika sana na kuamua kuongea Kikurya yeye na mdogo wake (mimi mchaga). Mimi hapo sielewi kitu ila nyuso zao ni kama wamefura kwa hasira.

Dada mtu aliamua kurudi nyumbani kwa pikipiki, mdogo mtu (shemeji) alibaki dukani na kufunga hesabu. Baada ya muda kidogo niliwasha gari na kuelekea nyumbani. Nilipofika nyumbani sasa nikamuuliza mke wangu kwanini umekasirika kwa ujumbe kama ule angali sijaandika tusi?

Ailinijibu we niache kwanza, ushamzika baba yako hivyo huna cha kupoteza. Mimi nikamwambia taswira kama hiyo unanijengea picha mbaya kwa mdogo wako, maana yanayoongeleka ni mengi sana hasa juu ya mimi na wewe.

Maana unayomueleza nduguyo huwaeleza hata watu wa karibu. Dah, baada ya kusema hivyo akampigia simu mdogo wake na kumwambia shemeji yako anasema wewe huwa una muongelea vibaya hapo dukani kwa watu wake wakaribu.

Alifunga duka na akarudi nyumbani spidi ya jeti na kunikuta sebulen nimekaa naperuzi JF. Kwanza alipofika tuu nyumbani aligonga mlango kwa nguvu sana kana kwamba kuna mtu ana tuvamia. Alipotimba sebulen akaanza kwa kusema ilikuwaje mkanizungumzia mimi na hao marafiki (majirani wa dukani) zako?

"Halafu shemeji unajua wewe ni mnafiki sana? Unadhani matendo yako kwa dada siyaoni humu ndani? Ujue shemeji wewe una roho mbaya sana, naishi na wewe kwa kukuvumilia sana?Nlisha kudharau sana.

He he..he! Nlibaki nashangaa sana, kwanza ni mtoto mdogo sana kwangu, ni wa mwaka 98. Mwisho akasema bhana eeh kama vipi andika talaka kwa mkeo mgawane mlivyo chuma kila mtu asepe zake (shemeji huyo)! Hata dada yake hakuwahi kutamka maneno kama haya asee.

Wakuu, mimi nimeamua asepe kwao ifikapo Jumatatu ya tarehe 17, October. Japo mke anakuwa kama anajiuliza sana haya maamuzi yangu.

Pia msaada tafadhali maana nina mawazo sana kuhusu huyu dogo mwenye Degree ya Biashara, halafu pia ndugu lakini sina namna.

Nawasilisha.
Aisee
 
Ulimuacha mpaka akamaliza kutukatana tusi la mwisho aiseeh ulitakiwa uzaliwe miaka ya manabii ile
mim angekua ameshakimbia mbio kama usain bolt au kipchoge.
 
Yaani nyumba yako,pesa yako, alafu bado unapangiwa Na Shemeji yako matusi juu hata keleb hupigi unakuja JF kwa melo kulalamika umakolo wako,ndugu yangu huyo mkeo alishakuweza Na huna maamuz yeyote hapo.

Kuna maamuzi ukiona mkeo anafanya alafu anakupa taarifa tu Na sio kuleta ombi tu jua keshakuweza.mwanamke afanyi kitu ambacho wewe mwanaume ndio MTU Wa mwisho kutoa maamuz bila kuwa sehemu kakuweza.Na hata akifanya huna chakusema Na huyo baba yako MKWE akija ndio kwisha habar yako angalia tu sumu itakuhusu unaliwa timing alamu Shemeji yako keshakupa teyar."KAMA VIPI TOA TALAKA MGAWANE VITU KILA MTU ASEPE"kinachotafutwa ni MALI HAPO
 
Back
Top Bottom