raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Eeeeh mfano nikikuoa na ukamleta mdogo wako nae chumaa 🔥🔥🔥 lazima kiumane 😄Hahaa kwahiyo wewe ni weka mbali na ndugu? Acha hizo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeeh mfano nikikuoa na ukamleta mdogo wako nae chumaa 🔥🔥🔥 lazima kiumane 😄Hahaa kwahiyo wewe ni weka mbali na ndugu? Acha hizo mkuu
Shemeji una tabia mbaya , sikutaki hata😀Eeeeh mfano nikikuoa na ukamleta mdogo wako nae chumaa 🔥🔥🔥 lazima kiumane 😄
Hahahahahaaaaa nakutania bhana sitafanya hivyo 🤗Shemeji una tabia mbaya , sikutaki hata😀
Sikutaki 😀😀 wadogo wenyewe walivyo visu kuliko dada usije ukahamia kwao kabisa😀Hahahahahaaaaa nakutania bhana sitafanya hivyo 🤗
Nitoboe macho hamna shida 😄Sikutaki 😀😀 wadogo wenyewe walivyo visu kuliko dada usije ukahamia kwao kabisa😀
Wewe hata kwa kupapasa tu na mikono bila macho unaweza😀Nitoboe macho hamna shida 😄
Kwahio unataka kukata na mikono basi sawa 🤗Wewe hata kwa kupapasa tu na mikono bila macho unaweza😀
Bado utapapasa hata kwa mkuyenge, maana nyie ni noma hamshindwi mbinu😀😀Kwahio unataka kukata na mikono basi sawa 🤗
Duuuh 🤣😂🤣👐Bado utapapasa hata kwa mkuyenge, maana nyie ni noma hamshindwi mbinu😀😀
Mara ya mwisho kumpiga huyo mwanamke ilikua lini?Leo nimekumbuka hiki kisa na pia kuna visa vingine vingi viliendelea.Acha nimalizie ninayo takika kufanya nitarudi tena.
Yani uwe katili haswa haswa otherwise utachezewa kama mdoli.pole sana ila kuna wakati ilibidi usimame kama mwanaume,
Yanii mwanamke Ukimchekea aisee utafanywaa mdoliii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siku mlambe kofi 2 tatu akili zimrudieee hata next time akitaka kuleta ujinga anakumbukaa kichapo anatuliaaYani uwe katili haswa haswa otherwise utachezewa kama mdoli.
AiseeWakuu naomba ushauri.
Mimi ni mkazi wa Morogoro ninaishi kwenye nyumba yangu niliyotafuta pamoja na mke wangu. Baada ya wahitimu kumaliza chuo mwaka huu mke wangu aliniomba mdogo wake aje kuishi nasi pamoja.
Sasa baada ya kipindi kupita mke wangu ameonesha ukaribu sana na mdogo wake ikafika mpaka kumueleza mengi juu ya maisha yetu ndani.
Kisa
Jana nilienda dukan kwetu na mke wangu (duka la vipodozi), lengo kumfuata shemeji na kupiga hesabu na kufunga duka. Dakika chache mke wangu alipokea simu kutoka kwa baba yake mazazi akimuomba aje aishi nyumbani kwangu.
Walikubaliana wao yeye na baba yake mzazi akiwa na mdogo wake na hata akaamua kumtumia nauli bila ya mimi kuhusishwa chochote. Ikumbukwe yote haya yanafanyika dukani tukiwa wote watatu namaanisha mimi, mke wangu na shemeji. Baada ya hili zoezi kuisha ndipo mke wangu ananieleza kuwa "Baba atakuja kesho na nimeshamtumia na nauli"
Mi nikamjibu kwa njia ya ujumbe wa simu, "Unaniambia ama unanipa taarifa?" Baada ya hii kauli alinuna na kukasirika sana na kuamua kuongea Kikurya yeye na mdogo wake (mimi mchaga). Mimi hapo sielewi kitu ila nyuso zao ni kama wamefura kwa hasira.
Dada mtu aliamua kurudi nyumbani kwa pikipiki, mdogo mtu (shemeji) alibaki dukani na kufunga hesabu. Baada ya muda kidogo niliwasha gari na kuelekea nyumbani. Nilipofika nyumbani sasa nikamuuliza mke wangu kwanini umekasirika kwa ujumbe kama ule angali sijaandika tusi?
Ailinijibu we niache kwanza, ushamzika baba yako hivyo huna cha kupoteza. Mimi nikamwambia taswira kama hiyo unanijengea picha mbaya kwa mdogo wako, maana yanayoongeleka ni mengi sana hasa juu ya mimi na wewe.
Maana unayomueleza nduguyo huwaeleza hata watu wa karibu. Dah, baada ya kusema hivyo akampigia simu mdogo wake na kumwambia shemeji yako anasema wewe huwa una muongelea vibaya hapo dukani kwa watu wake wakaribu.
Alifunga duka na akarudi nyumbani spidi ya jeti na kunikuta sebulen nimekaa naperuzi JF. Kwanza alipofika tuu nyumbani aligonga mlango kwa nguvu sana kana kwamba kuna mtu ana tuvamia. Alipotimba sebulen akaanza kwa kusema ilikuwaje mkanizungumzia mimi na hao marafiki (majirani wa dukani) zako?
"Halafu shemeji unajua wewe ni mnafiki sana? Unadhani matendo yako kwa dada siyaoni humu ndani? Ujue shemeji wewe una roho mbaya sana, naishi na wewe kwa kukuvumilia sana?Nlisha kudharau sana.
He he..he! Nlibaki nashangaa sana, kwanza ni mtoto mdogo sana kwangu, ni wa mwaka 98. Mwisho akasema bhana eeh kama vipi andika talaka kwa mkeo mgawane mlivyo chuma kila mtu asepe zake (shemeji huyo)! Hata dada yake hakuwahi kutamka maneno kama haya asee.
Wakuu, mimi nimeamua asepe kwao ifikapo Jumatatu ya tarehe 17, October. Japo mke anakuwa kama anajiuliza sana haya maamuzi yangu.
Pia msaada tafadhali maana nina mawazo sana kuhusu huyu dogo mwenye Degree ya Biashara, halafu pia ndugu lakini sina namna.
Nawasilisha.
Yaani nyumba yako,pesa yako, alafu bado unapangiwa Na Shemeji yako matusi juu hata keleb hupigi unakuja JF kwa melo kulalamika umakolo wako,ndugu yangu huyo mkeo alishakuweza Na huna maamuz yeyote hapo.Wakuu naomba ushauri.

Je, umewahi mpitia huyo shemeji yako? Kwanini amekosa adabu kiasi hicho? Isije ikawa umewahi mpitia au umefanya jambo lililokushushia heshima mbele yake!
Ni shidaaAisee