yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 1,228
- 2,234
Sio mpole,zobaMpaka Shemeji yake anaongea Kwa kujiamini Kwa kiwango hicho ni wazi jamaa ni mpole.
Ubaba ni ubabe
My take; kwanza nimesahau sioi ng'oo
Marriage is a scam
Nitumie number yako PM best yangu.Halafu sikupati best
Naleta MekuMarejesho vp mpk leo kiongozi?
Ningeivunjavunja yote chiniKuna yule mwana alileta story ya kaka yake kuachana na mkewe. Walikuwa wanaishi kwenye nyumba yao ila tatizo mwanaume ambaye ndo kk yake alijenga ile nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke ambaye ndo mke wake baada ya miaka mke akawa anataka taraka na anamwambia mwanaume aondoke kwake au abebe tofali zake asepe embu kautafute ule uzi mkuu utakusaidi kufanya maamuzi mazuriii yatakayo kupa amani ya moyo
Hao labda ni wajita siyo wakurya kama ni wakurya basi umekuwa mpole mno hawa huhitaji mkong'oto akili inarudi sawa.Hao wakurya wa wapi wapuuzi kiasi hicho?hao sio wakurya labda wajita au makabila mengine jirani...!anyway.rudisha woye makwao wakajifumze adabu kwa wazazi wao.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Sasa akisema we unaogopa nn? Be a manHapo mkuu umesema kweli. Watoto wa kike hawana dogo. Tena kama huyo anaweza kusema hata alitaka kumbaka na akimtimua anaweza kumchafua kua amemtongoza akakataa ndio maana
Siyo kweli, ni zile tuu mtakazochuma katika ndoa yenu, maana yake ukijenga nyumba baada ya kumwoa mwanamke hiyo ni yenu hata kama hakuchanga pesa. Mahakamani wanauliza katika maisha yenu mmechuma nini?Ukioa tu izo mali ni zenu na sio zako mkuu!!! Omba mungu akupe mke mwema.... ila issue ya mnama hapa inaonekana mpole shemeji anatoa wapi mamlaka yakuzungumza na mimi???