Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Ukimpeleka kwao akirudi anakuua, atakua kashasuka mipango swafi na Idea kama zote, Familia ishampa sumu za Kutosha akirudi huchukui raundi tunamuimbia muhuni
 
Hayo unayo yaongea ni endapo huyo mke akaamua yaishe kidini lakini akihitaji sheria inayo mlinda yeye itumike hata akangekuwa ana lala msikitini sheria ya ndoa itatumika kama inavyo tumika kwa yeyote yule
Kiufupi ni wachache mnoo wanaofuata izo sheria za ndoa ila % kubwa hawafuati izo sheria ndio maana unamuona Bugatti kila leo anafunga ndoa
 
Hahahahahah
Omba yasikukute broo
Huenda hii chai??, mbona una furaha Jambo kukuvua uanaume wako??, pili unaonekana mdhaifu kwa mkeo kwa sababu umekomaa kumrudisha shemejio Ila mke unakwepakwepa, kama kweli ipo siku utalia machozi na hata hutawahi pata nguvu ya kuomba ushauri humu, coz utajijua kumbe uanaume wako una mapungufu, hongera mkuu endelea kumpenda mkeo
 
Pole mnama
Uyo binti afungashe virago na mkeo mweke chini atambue nini maana ya familia
Kuna namna anakuchukulia poa punguza kumdekeza kuwa mtu wakutoa mamlaka
Ukumbuke kusali pia
Mungu ana mambo mengi ya kufanya! Hilo suala ni dogo tu anaweza kulimaliza mwenyewe akisimama kama mwanaume aliyeenda Jandoni.
 
Ungewapa likizobwote na mkeo.
Huna mke una debe tupu mkuu.

Mke asiyetunza siri za mumewe ni muuaji.

Pili mkwe hawezi kuja bila taarifa kwako kwanza, alipaswa akushirikishe wewe ndiye ulipaswa kutuma nauli.
Huna mke wewe
 
Kaka shida watoto wa watu.
Utalipishwa gharama za matibabu bure.
Utaangaika na haki ni ya kwako.
Ila umefanya vzr ujampiga mtot wa mtu ila ungesima katk uwanaume kuwa huyo bint leo aondoke pale wakt uanfanya namna Bora ya kuachna na mke wako
 
Kwanza Naona umetaja makabila. Huyo dada sio mkurya halisi itakuwa Ni zile jamii za kikurya ingawa Ni wababe dada zetu inabidi uwe ngangali yaani mbabe zaidi yake ndipo maisha yataenda.

Pili wakurya halisi Kama babmkwe Kuja kwa binti yake huwa Ni ngumu mkuu labda Hawa borntown. Ila Kama baba anakuja kwa kijana wake wa kiume anakuja na yenyewe sio kuwa Ni always and oftentimes.

Hiyo nguvu ya dogo imetokea kwa sister yake ndio akampa power.
Pili ujue Kuna kuoana yaani wote mkatendana ,Kuna kuoa Kama mwanaume ukabeba majukumu yote na tatu Kuna kuolewa na mwanamke.
Hapa nimemaanisha kuwa hapo home Ni Nani akabeba familia mabegani. Nani akabeba load kubwa almost 100%.

Sijui Kama unanielewa Kama mwanamke naye akabeba load fulani kwa asilimia fulani so anakuona huna effects kwake, ilo duka Ni Nani alitoa mtaji likafunguliwa.

Kama huyo mkeo Ni mkurya Ni wa Kijiji gani. Pia muulize yeye Ni ghesaku gani. Kwani vitu Kama viwili ama vitatu nikiuliza mtu najua kuwa huyu ni yule real kurya kabisa yaani pure substance na sio impure ,yaani Ni full element purity yake Ni 100%.

Ila wapo wenye kiburi Kama wametokea vijijini fulani Kama machame Kuna Wana mbavu na kiburi yaani humbabaishi.

Hapo mie nakushauri ucheki namna uachane naye kweli Mana dogo akishapata kazi like USA embassy akawa anakula hela ya maana aka drive like 200M usafiri najua utapata shida mno. Atamfungulia sister yake biashara kubwa utashangaa.

Fanya hivi nitumie namba ya shemu wako pm mkuu Kama hutojali ama umnanihii huyo shemu wako ili heshima ishike mkondo.
 
tumia hekima mdogo mtu asepe soon na mkeo mkalishe umueleze , kama haelewi : note hili fanya haya kama una uchumi wako mwenyewe na hutegemei msaada wa mkeo , nje hapo kama mkeo ana mchango wa uchumi kwako jifanye kama hujasikia
 
USIPUUZE HILI.

Haraka tafta mwanasheria andikisha kisiri mali zako 3/4 yaan robo tatu ya mali zako kwenye majina ya rafiki ama ndugu unaemwamini, then hiyo robo inayobaki acha andika kwa jina lako ambayo hata hao washenz yaan mkeo na shemeji yako wakitaka kugawana na wew usipoteze pakubwa.

Acha uboya huyo mke ni mwehu awezi karibisha mijitu nyumbn kwako hovyo hivyo, hana akili wew pia hauna akili maana umekosa maamuzi kama mwanaume.

Just imagine unatukanwa ndani ya nyumba yako[emoji23], IHIIIII BHAAAGHOOSHAAA NINGEUA MTU...
 
Uko sahih kbsa awamshe alfu awatetemeshe Hadi asbh wasema kusudio lao Ni nn uko sahih sana
 
Simama kama mwanaume; dukani ajiri kijana na akutambue wewe ndio bosi pekee, weka vikwazo vya kiuchumi hapo nyumbani, kwa siku acha 500 ya matumizi, we kula hotelini/mgahawani; usicheke cheke na mkeo wala ndugu zake, we ukifika nyumbani kunja sura; ndani ya siku 5 ataomba msamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…