Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu


Kuna mawili
  1. Huenda ulitaka kumdonoa akakukwepa
  2. Huenda alitaka umdonoe hukumuelewa
 

Wewe ni mwanaume au mwanamke?
 

Umeoa au umeolewa?
 
Itakua mkeo anakuchukulia poa sana (dharau) hata mbele ya mdogo wake na humfanyi chochote. Hiyo ndio imempa kiburi mdogo mtu nae akudharau. Mimi ningemnasa vibao hapohapo bila kupepesa macho na kumtimua muda huohuo
 
Mkuu hapo sijaelewa kabisaaa maana kwa jinai ulivyondika hapa inaonekana wewe ni kijana wa aina gani alafu inaonekana mwanamke amekuzidi ngumu na akili kwa kiasi kikubwa sanaa.

Inabidi uwe na sauti kwenye nyumba usikubali huo upuuzi wa mwanamke kukuendesha.

Kwanza kabisaa me simlaumu huyo shemeji ila namlaumu huyo mke wako maana yeye ndio anampa kichwa mdogo wako.

Cha kufanya anza kwanza na mke wako kaa nae chini ongea nae kwa heshima na sio kwa dharau. Hivi unadhani mke wako angekuwa anakuheshimu huyo mdogo wake angekuletea dharau?

Inaonekana mke wako hana heshima kwako hata kidogo ndio maana ana nuna nuna kila wakati bila mpango wowote.

Una safari ndefu sana hapo mkuu ila jitahidi utakuwa sawa tu....
 
Nakamata fimbo nakacharaza ako katoto uyo kakuona kakumudu kuliko dada ake na pia kashapat mwanaume wa kumpa jeuri sasa mtimue atajasema umemtongoza
Hapo mkuu umesema kweli. Watoto wa kike hawana dogo. Tena kama huyo anaweza kusema hata alitaka kumbaka na akimtimua anaweza kumchafua kua amemtongoza akakataa ndio maana
 
Aisee mimi nyumbani kwangu huwa ni Putin mtupu,....yaani huyo shemeji yako ndo ingekuwa mimi ningemgeuza Ukraine fasta
 
Binafsi nakupongeza haujafanya maamuzi ya kukurupuka maana dunia ya sasa kupiga/kupigana sio sifa au ndio uanaume ,maana unaweza kupiga wote ukaua ukaanza kujuta na future yako ikawa ndio imeisha.

Sema unazingua ungelamba wote makofi na kuwacharaza bakora we mwanaume gani unakuwa Kama Charlie Chaplin?
 
Unadhani serikali kupageuza tarime ya wakurya kanda maalumu walikuwa wajinga?
Kule ni wababe hasa, na ambao hawajakeketwa wanatombana hasa, kama huwa unampapasa anakuona kama mvulana.

Pia
Jaribu kubali mifumo ya kidplomasia, tumia ya pompeo kuzuia watu kuja kwako na fukuza wanaohatarisha usalama wa familia yako. na demokrasia, tumia nadharia za anko magu, anaeleta fyokofoko dili nae muda huo na zuia mikutano ya hadhara(vikao vya mkeo na ndgze), ukiona dalil za uasi kama mkiru "pascan kimyakimya".0
Waamshe kifidifos uwaanzishie kes ya uhujum na uhain.

Nb, kama misur huna watakupga mpaka uchakae ukiwakolomea, but katafute pande la nondo uwagonge miguu na makof. Wakisalenda tembeza mikanda kama mp wa kaboya.
 
Me naona mkeo na huyo binti lao moja haiwezekani shemeji atamke kuwa utoe talaka mgawane mali ni kama vile walishakaa chini na mkeo kuzungumza kuhusu kuachana na wew ni kama amewahi kufikisha ujumbe.

Au sababu wameshaona mali ndo wanapata jeuri kuwa makini ndugu yangu usije juta mbeleni.
 
Marriage is a scum
 
Nimecheka tu ulivyomwandikia sms wakati mpo wote??
 
Muulize mkeo kama ni kweli anataka kugawana kwel, akisema kweli. Uza mgawane kuanza upya sio ujinga. Huyo hutaweza kukaa Naye, atakushinda Tu.

Anayosema mdogo wake na ujasiri wa kukwambia ni madhara ya chuki aliyojazwa na dada ake Yan mkeo. Hiyo combination mpaka ije ikuue ndo ushike adabu, chukua hatua mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…