TANZIA Mdogo wa Zacharia Hans Pope afariki dunia, ikiwa ni ndani ya wiki ya maombolezo ya kakake

Hawakuwa na wake na watoto?!

Sijawahi sikia wakitajwa popote..
 
Yawezekana Kaka alimuambukiza COVID-19 aliyokuwa nayo na hii pia iwe ni wake up call kwa Ndugu au Watu wengine ambao walikuwa karibu na Marehemu Zachariah Hans Poppe ( alias Mapama )
Tatizo kubwa mnalo endeleza na serikali yenu ni hili...

Mnasema kuna covid19, kila mtu maarufu akifa mnasema amekufa kwa covid, alafu kwenye kuugiza, msiba na kuzika mnajazana kama wote.

Mkiulizwa why?.
Mnakuja na alama ya upendo, eti yaani tusimzike ndugu yetu // wewe umekuwa nani kutuzuia, // kwani wewe hautakufa, // acha upuuzi bwana, ...
 
Hudhani kama serikali ingekuwa ikijali uwepo na madhara ya ugonjwa huu kwa watu hali ingeweza kuwa tofauti?

#COVID19 - Waziri Gwajima, takwimu za Covid-19 mnaandaa au mnapika?

Kwanini mathalani serikali inaendelea kuficha takwimu za ugonjwa huu kinyume cha mapendekezo ya tume ya wataalamu wabobezi iliyoiteua yenyewe?
 
Mkuu Marehemu Zacharia si alikuwa jeshini? Tena aliondolewa kwenye cheo cha u-kapteni? Sema funzo ni kuwa ukiona umeondolewa kazini, usikae na kuliaia;tafuta opportunities nyingine....
Hata baba yao alikuwa RPC Kagera
 
Mkuu nilichoandika na reply zako havishabihiani.

Siyo kuwa hata Jaji Siyani asingekuwa na mamlaka aliyo nayo hata Kingai angedai kuwa hamwelewi wakili Kibatala?

Ukipenda kuangalia kushabihiana kupo hapa;

* Unawalaamu watu kwa kutokujali uwepo wa ugonjwa matokeo yake maambukizi yanaendelea.

** Nilichoandika mimi wa kulaumiwa ni serikali ambao hawataki kutoa hata takwimu za ugonjwa kiasi walioaminishwa na serikali yenyewe kuwa ugonjwa haupo hawaamini kuwa upo.
 
Unaona nyumba ya jirani inateketeakwa moto, unaona kwako moshi alafu unasema nasubiri moto ndipo nihakikishe ni moto maana kwa jirani ndipo kunaungua !.

Brazaj, siyo lazima mwanasiasa aje akwambie nje kuna giza jiongeze mwenyewe uende ukahakikishe kweli kuna giza, hii habari ya kusema mwanasiasa alinambia hakuna ugonjwa nawe unategemea jibu jipya mh🤔!.
 
Ninaamini mimi kama mimi nimefanya na ninafanya yote kujikinga na ugonjwa huu.

Hata hivyo ninaamini siko salama kutokana na ubinafsi wa serikali hii:

Madhara ya Awamu ya Tano yanayofumbiwa Macho

IMG-20210725-WA0007.jpg

Waliopotosha watu wakati ule ndiyo hao hao waliopo leo. Matumbo yao mbele.

Vipi wenye uelewa mdogo ambao upotoshaji ulishawakaa?

Ugonjwa huu haupigwi vita kibinafsi. Hili ni janga ambalo watu wote wanapaswa kushirikishwa.
 
Kuna vitu kwenye nafasi za kiuongozi huzijui ila nakupa tu dokezo, ukichaguliwa na kiongozi (boss wako) kushika wadhifa flani huwezi kwenda kinyume naye.

Ila hapa jukwaani una nafasi ya kupinga sababu isn't real life we face that why mnajifanya "ooh wale waliosababisha", HAPANA nao wana sababu na kuna kitu tunasema "Mapambano ya kuwepo na kuishi ni kwa watu wenye nguvu au mamlaka" sasa wewe hata huna watoto wanaopambana dhidi yako unataka kina dorothy gwajima afanye nini?.
 
Okay hao watu wana damu ya business imagine Hanspope alipotoka gerezani alipewa lori moja aanzie maisha lakini amekufa kaacha malori zaidi ya 100

Hawarogani hawa.....km nyani weusi...ukaribu karibu wa kijinga nooo!! Hapo ni kazikaxi tuuu.....weusi mtoto wa mjomba...sijui shangaxi...hapo ndo uchawi huanzia hapo
 
What does uyahudi have to do with mafanikio yake?

Wayahudi wote wametoboa?

Kuna ubaya gani kama wangekua wayahudi kweli na kukiri ni wayahudi?

Bado miafrika mnashobokea hizi story. Smh
Ukishazungumzia wayahudi lazima Wabongo wenye mitazamo yao, wanaaanza kumwaga cheche.
 
Back
Top Bottom