Mdogo wake Elton John, Jeoff Dwight

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe uko serious na JF kiasi hiki? Huku ni story na ubwakuu tyuuh.

Poleeeeeeeeeh bas, wee jua mie mdada, wala usiumie kwa hili. Mweeeeh.
 
Ukute wee sasa ndo huna file langu,. Ila wenzio ndo wanalooooo. Poleeeeeeeh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nisiongee sana nisije nikajikuta natupia picha zako hapa bure nikala ban
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe uko serious na JF kiasi hiki? Huku ni story na ubwakuu tyuuh.

Poleeeeeeeeeh bas, wee jua mie mdada, wala usiumie kwa hili. Mweeeeh.
Nlkua na mpango wa kukutafuta siku moja ila kwa sasa hahahahaaaa🤣🤣🤣🤣 daaaah! Nimeghairi yani wewe ni dume na unapelekewa moto! Eeh mungu utunusuru sisi vijana wako watiifu mbele zako....
 
Nisiongee sana nisije nikajikuta natupia picha zako hapa bure nikala ban
Tumaa hizo ulizonazooo. Watu wanataka evidence bhanaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tumaa hizo ulizonazooo. Watu wanataka evidence bhanaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sheria za jf haziruhusu kudisclose picha za watu humu
 
Nlkua na mpango wa kukutafuta siku moja ila kwa sasa hahahahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaaah! Nimeghairi yani wewe ni dume na unapelekewa moto! Eeh mungu utunusuru sisi vijana wako watiifu mbele zako....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa had machoziiiii.
Kumbe kuumia kote huku, ulitaka 1 day unitongozeee.
Uzinzi utawapelekaaa pabayaaa lol.

Walaa hata sihitaji kutongozwaa eti, na sio shda zangu. Poleeeeeee bhanaaaa.
 
Hapana sio huyo, yeye hajiachii hivyo..kajanja sana haka kademu,kanawadanganya wenzie ni shoga kumbe ni demu tena ana staha vizuri tu.
Muongo Muongo mbon Mimi nmeweka picha hapo umeona sijapigwa ban na Paw wewe emu acha zako km una picha weka huna pita kushoto acha kujitia ujuaji mwenyewe kakukataa,
 
Hapana sio huyo, yeye hajiachii hivyo..kajanja sana haka kademu,kanawadanganya wenzie ni shoga kumbe ni demu tena ana staha vizuri tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee wadanganyee tyuuh wenzioo, mwsho wake wakupopoeee, mie sipoooo.
 
Muongo Muongo mbon Mimi nmeweka picha hapo umeona sijapigwa ban na Paw wewe emu acha zako km una picha weka huna pita kushoto acha kujitia ujuaji mwenyewe kakukataa,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] boraaa hata usemeee wee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…