Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Sawa
Ila Kama mambo ya MUNGU huyajui Ni vema kunyamaza.staki maswali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Kama mambo ya MUNGU huyajui Ni vema kunyamaza.staki maswali
Kuna gharama za kusafisha figo kila wiki,kwa wiki 180000 (Hizi kwa upande wa Lugalo hospital),mpaka hali ya figo itengemae.Kwani ugonjwa wa figo ili mtu asife anahitajika awe na milioni ngapi
Naskia ameokoka, Yesu anaponya , ndio maana huskii akiomba helaDah so sad,hivi Steve B nae na ugonjwa wake wa figo umeishia wapi,manake ugonjwa wa figo kama huna hela una kufa.
MkuuKuna video imeniumiza na kunisikitisha kupitia Grobal TV Online ambapo mama Kanumba anaeleza kwa uchungu sn jinsi mdogo wake Kanumba Seth alivyopata ugonjwa wa ajabu uliopelekea kupalalaizi kuanzia kiunoni mpaka miguuni.Mama anaomba msaada wa gharama za matibabu ambazo anadaiwa pale Muhimbili na Wheelchair. So sad, wakuu tutafte namna ya kumsadia japo bahati mbaya hakutoa mawasiliano yake. Nimeeleza kwa ufupi maeleza kwa kina ingiene youtube
Pole mkuu
Sweet MankaUna uhakika Hana huruma?
Kweli kaokoka lkn kama hujui mchango wake wa gharama za matibabu una simamiwa na madj wenzake,huku John Dilinga ndiye mweka hazina.Jamaa ana hitaji hela amefikia hatua ya kuuza mpaka gari yake hali yake si nzuri .Naskia ameokoka, Yesu anaponya , ndio maana huskii akiomba hela
so sad, Mungu amponye, aisee , eeh Mungu turehemu!Kweli kaokoka lkn kama hujui mchango wake wa gharama za matibabu una simamiwa na madj wenzake,huku John Dilinga ndiye mweka hazina.Jamaa ana hitaji hela amefikia hatua ya kuuza mpaka gari yake hali yake si nzuri .
MamboSweet Manka
Afungue Fundraiser page watu wamsaidieKuna video imeniumiza na kunisikitisha kupitia Grobal TV Online ambapo mama Kanumba anaeleza kwa uchungu sn jinsi mdogo wake Kanumba Seth alivyopata ugonjwa wa ajabu uliopelekea kupalalaizi kuanzia kiunoni mpaka miguuni.Mama anaomba msaada wa gharama za matibabu ambazo anadaiwa pale Muhimbili na Wheelchair. So sad, wakuu tutafte namna ya kumsadia japo bahati mbaya hakutoa mawasiliano yake. Nimeeleza kwa ufupi maeleza kwa kina ingiene youtube
unapohisi mtu hajui mambo ya Mungu na wewe unayajua zaidiSawaIla Kama mambo ya MUNGU huyajui Ni vema kunyamaza.
Dah,pesa bila elimu shida sana,namuona kijana wa bilionea erasto baada ya miaka mitano ijayo.Mamilioni ya kanumba aliyoaacha yalishaisha???
Siwezi nikakaa kimya ninapoona Mungu anakufuriwa.unapohisi mtu hajui mambo ya Mungu na wewe unayajua zaidi
kaa kimya nyamaza Muache.
Akikuuliza ndio mueleweshe ukiona hajakuuliza jikalie zako kimya.
wewe kama nani?Siwezi nikakaa kimya ninapoona Mungu anakufuriwa.
Ilikuwa lazima nikuambie.
Mungu ana MAJARIBU magumu sana
tena sana wakati mwingine unajiuliza KWANINI
HIVI mama kanumba akiwa anamuomba MUNGU imagine maombi yake yatakuwaje
Mama anasema hata steven sikumuuguza hivi you can sense kile mama anapitia
Ndani ya moyo wake,halafu kuna mtu ataniambia Mungu hakosei!!!!
naomba mniache kidogo sometimes MUNGU hana huruma.
Takataka
Huna akili Wewe,Kwa Hiyo wote waliogongwa au kubakwa hawapendwi na Mungu?Mungu angekuwa hana huruma kwa kauli yako hii ungepalalizi na wewe sasa hivi au ungegongwa na basi la mwendokasi muda huu tu nakwambia au ungebakwa na watu wasiojulikana alafu wakaposti picha zako ila hayatokei haya sababu MUNGU ANA HURUMA SANA NA SISI VIUMBE!