Mdogo wake Kanumba apooza ghafla

Mdogo wake Kanumba apooza ghafla

Kuna video imeniumiza na kunisikitisha kupitia Grobal TV Online ambapo mama Kanumba anaeleza kwa uchungu sn jinsi mdogo wake Kanumba Seth alivyopata ugonjwa wa ajabu uliopelekea kupalalaizi kuanzia kiunoni mpaka miguuni.Mama anaomba msaada wa gharama za matibabu ambazo anadaiwa pale Muhimbili na Wheelchair. So sad, wakuu tutafte namna ya kumsadia japo bahati mbaya hakutoa mawasiliano yake. Nimeeleza kwa ufupi maeleza kwa kina ingiene youtube
Mkuu
grobal online tv naipataje ?
 
Kweli kaokoka lkn kama hujui mchango wake wa gharama za matibabu una simamiwa na madj wenzake,huku John Dilinga ndiye mweka hazina.Jamaa ana hitaji hela amefikia hatua ya kuuza mpaka gari yake hali yake si nzuri .
so sad, Mungu amponye, aisee , eeh Mungu turehemu!

So sad jamaa katutoka, ila kuna jambo la kujifunza, maisha mazuri kwa watu wengi na starehe za muda mfupi ndio huishia hivyi, sihukumu, ila tujitafakari
 
Kuna video imeniumiza na kunisikitisha kupitia Grobal TV Online ambapo mama Kanumba anaeleza kwa uchungu sn jinsi mdogo wake Kanumba Seth alivyopata ugonjwa wa ajabu uliopelekea kupalalaizi kuanzia kiunoni mpaka miguuni.Mama anaomba msaada wa gharama za matibabu ambazo anadaiwa pale Muhimbili na Wheelchair. So sad, wakuu tutafte namna ya kumsadia japo bahati mbaya hakutoa mawasiliano yake. Nimeeleza kwa ufupi maeleza kwa kina ingiene youtube
Afungue Fundraiser page watu wamsaidie
 
SawaIla Kama mambo ya MUNGU huyajui Ni vema kunyamaza.
unapohisi mtu hajui mambo ya Mungu na wewe unayajua zaidi

kaa kimya nyamaza Muache.

Akikuuliza ndio mueleweshe ukiona hajakuuliza jikalie zako kimya.
 
Takataka
Mungu ana MAJARIBU magumu sana

tena sana wakati mwingine unajiuliza KWANINI

HIVI mama kanumba akiwa anamuomba MUNGU imagine maombi yake yatakuwaje

Mama anasema hata steven sikumuuguza hivi you can sense kile mama anapitia

Ndani ya moyo wake,halafu kuna mtu ataniambia Mungu hakosei!!!!

naomba mniache kidogo sometimes MUNGU hana huruma.
 
Mungu angekuwa hana huruma kwa kauli yako hii ungepalalizi na wewe sasa hivi au ungegongwa na basi la mwendokasi muda huu tu nakwambia au ungebakwa na watu wasiojulikana alafu wakaposti picha zako ila hayatokei haya sababu MUNGU ANA HURUMA SANA NA SISI VIUMBE!
Huna akili Wewe,Kwa Hiyo wote waliogongwa au kubakwa hawapendwi na Mungu?
 
Back
Top Bottom