Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Usilitaje bure Jina la Bwana Mungu wako. What goes around comes around. Hata kama kwako unaona hana huruma bado anabaki kuwa Mungu. Mungu hachunguziki hivyo usijaribu kujiuliza maswali ya kwa nini ameruhusu hiki na kuzuia kile, ukifanya hivyo lazima tu utamchukia
Mungu ana MAJARIBU magumu sana
tena sana wakati mwingine unajiuliza KWANINI
HIVI mama kanumba akiwa anamuomba MUNGU imagine maombi yake yatakuwaje
Mama anasema hata steven sikumuuguza hivi you can sense kile mama anapitia
Ndani ya moyo wake,halafu kuna mtu ataniambia Mungu hakosei!!!!
naomba mniache kidogo sometimes MUNGU hana huruma.
Mungu angekuwa hana huruma kwa kauli yako hii ungepalalizi na wewe sasa hivi au ungegongwa na basi la mwendokasi muda huu tu nakwambia au ungebakwa na watu wasiojulikana alafu wakaposti picha zako ila hayatokei haya sababu MUNGU ANA HURUMA SANA NA SISI VIUMBE!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona yeye yupo kijijini sasa hilo gari la mwendo kasi litamkuta wapi.
Nenda kweny page ya @bintikigoma katoa mawasiliano ya kweli yenye majina ya mama KanumbaKuna video imeniumiza na kunisikitisha kupitia Grobal TV Online ambapo mama Kanumba anaeleza kwa uchungu sn jinsi mdogo wake Kanumba Seth alivyopata ugonjwa wa ajabu uliopelekea kupalalaizi kuanzia kiunoni mpaka miguuni.
Mama anaomba msaada wa gharama za matibabu ambazo anadaiwa pale Muhimbili na Wheelchair.
So sad, wakuu tutafte namna ya kumsadia japo bahati mbaya hakutoa mawasiliano yake.
Nimeeleza kwa ufupi maeleza kwa kina ingiene youtube
Uzur hata wao lazma wafe #Mungu fundiMaisha haya kubabake yani kijana mdogo na shupavu kama yule washampiga ndele.
Ama kweli hujafa hujaumbika leo mzima kesho yako huijui.
Tumuombe Mungu sana
Mswahili wa tandale huyo!palalaizi ndio nini wewe? ndio maana mashabiki wa simba mnaitwa mbu mbu mbu
Kilaza hajielewi uchawi una msumbuwaMungu angekuwa hana huruma kwa kauli yako hii ungepalalizi na wewe sasa hivi au ungegongwa na basi la mwendokasi muda huu tu nakwambia au ungebakwa na watu wasiojulikana alafu wakaposti picha zako ila hayatokei haya sababu MUNGU ANA HURUMA SANA NA SISI VIUMBE!
Yoyote nitayopitia ninaamini Mungu yupo na anatenda je tukubali kwa. Mazuri tu na mabaya tusipokee? Eeeh Mungu wangu unitendee vile utakavyo sawa na rehema zako nami nitakuhimidi na kukukiri
palalaizi ndio nini wewe? ndio maana mashabiki wa simba mnaitwa mbu mbu mbu
Muacheni Mungu aitwe Mungu. Anakupa figo zenye afya bureKuna gharama za kusafisha figo kila wiki,kwa wiki 180000 (Hizi kwa upande wa Lugalo hospital),mpaka hali ya figo itengemae.
Tadhali sana Waswahili wa Tandale tumekukosea nini?Mswahili wa tandale huyo!
Anaokota okota tu maneno mtaani!
Ukimuuliza nini maana ya "paralysis" anaweza asikujibu!
Palalaizi! Teh..
Heeee kaeni kimya basii tufikirie kifo cha huyu ndugu yetu mdogo wake na kanumba.. Dah alikuwa na roho nzuri saanaSiwezi nikakaa kimya ninapoona Mungu anakufuriwa.
Ilikuwa lazima nikuambie.
Wewe ndiye mtoa roho?Heeee kaeni kimya basii tufikirie kifo cha huyu ndugu yetu mdogo wake na kanumba.. Dah alikuwa na roho nzuri saana
Mbona watu wengine mnajifanya nyie ni TUKI?palalaizi ndio nini wewe? ndio maana mashabiki wa simba mnaitwa mbu mbu mbu
Sio masharti ya nanihii kweli...!!
We jamaa aisee nimejikuta nacheka tuBila shaka hii dharau yako mungu ameipokea .. unamtukana aliyekuumba kisa mdogo wa kanumba anaumwa? Unamtunishia msuli mwenyezimungu eeh?? Haya Ngoja tukuachie janga lako