Mdogo wake Kanumba apooza ghafla

Mdogo wake Kanumba apooza ghafla

Usilitaje bure Jina la Bwana Mungu wako. What goes around comes around. Hata kama kwako unaona hana huruma bado anabaki kuwa Mungu. Mungu hachunguziki hivyo usijaribu kujiuliza maswali ya kwa nini ameruhusu hiki na kuzuia kile, ukifanya hivyo lazima tu utamchukia

Dah umenikumbusha kuna wimbo waliimba nadhan kurasini sda..MUNGU HACHUNGUZIKI
 
Mungu ana MAJARIBU magumu sana

tena sana wakati mwingine unajiuliza KWANINI

HIVI mama kanumba akiwa anamuomba MUNGU imagine maombi yake yatakuwaje

Mama anasema hata steven sikumuuguza hivi you can sense kile mama anapitia

Ndani ya moyo wake,halafu kuna mtu ataniambia Mungu hakosei!!!!

naomba mniache kidogo sometimes MUNGU hana huruma.
Mungu angekuwa hana huruma kwa kauli yako hii ungepalalizi na wewe sasa hivi au ungegongwa na basi la mwendokasi muda huu tu nakwambia au ungebakwa na watu wasiojulikana alafu wakaposti picha zako ila hayatokei haya sababu MUNGU ANA HURUMA SANA NA SISI VIUMBE!
Mbona yeye yupo kijijini sasa hilo gari la mwendo kasi litamkuta wapi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiranga
 
Kuna video imeniumiza na kunisikitisha kupitia Grobal TV Online ambapo mama Kanumba anaeleza kwa uchungu sn jinsi mdogo wake Kanumba Seth alivyopata ugonjwa wa ajabu uliopelekea kupalalaizi kuanzia kiunoni mpaka miguuni.

Mama anaomba msaada wa gharama za matibabu ambazo anadaiwa pale Muhimbili na Wheelchair.

So sad, wakuu tutafte namna ya kumsadia japo bahati mbaya hakutoa mawasiliano yake.

Nimeeleza kwa ufupi maeleza kwa kina ingiene youtube
Nenda kweny page ya @bintikigoma katoa mawasiliano ya kweli yenye majina ya mama Kanumba
 
palalaizi ndio nini wewe? ndio maana mashabiki wa simba mnaitwa mbu mbu mbu
Mswahili wa tandale huyo!

Anaokota okota tu maneno mtaani!

Ukimuuliza nini maana ya "paralysis" anaweza asikujibu!

Palalaizi! Teh..
 
Mungu angekuwa hana huruma kwa kauli yako hii ungepalalizi na wewe sasa hivi au ungegongwa na basi la mwendokasi muda huu tu nakwambia au ungebakwa na watu wasiojulikana alafu wakaposti picha zako ila hayatokei haya sababu MUNGU ANA HURUMA SANA NA SISI VIUMBE!
Kilaza hajielewi uchawi una msumbuwa
 
Yoyote nitayopitia ninaamini Mungu yupo na anatenda je tukubali kwa. Mazuri tu na mabaya tusipokee? Eeeh Mungu wangu unitendee vile utakavyo sawa na rehema zako nami nitakuhimidi na kukukiri

Amen!
 
I'm a doc, I know what paralysis mean. I thought(Palalaizi) would sound familiar to most majority. Sorry for any inconvenience.
 
Back
Top Bottom