Mdogo wake Kanumba apooza ghafla

Mdogo wake Kanumba apooza ghafla

Maisha haya kubabake yani kijana mdogo na shupavu kama yule washampiga ndele.

Ama kweli hujafa hujaumbika leo mzima kesho yako huijui.
Tumuombe Mungu sana
What makes you say he has been bewitched?? Are you trying to insist that everyone who gets sick is as a result of witchcraft even after scientific proof of how these diseases come to exist? Bro, you are sadly mistaken if your answer is yes.
 
Mungu ana MAJARIBU magumu sana

tena sana wakati mwingine unajiuliza KWANINI

HIVI mama kanumba akiwa anamuomba MUNGU imagine maombi yake yatakuwaje

Mama anasema hata steven sikumuuguza hivi you can sense kile mama anapitia

Ndani ya moyo wake,halafu kuna mtu ataniambia Mungu hakosei!!!!

naomba mniache kidogo sometimes MUNGU hana huruma.
Usimtukane Mungu kisa watu usio wajua
Akili zake hazichunguziki. Maarifa yake Ni yaajabu mno. Unaweza kutwa nae anatamani Sana kumsaidia mama Kanumba ila......
 
Inasikitisha sana!!!

Maskini kwa mtindo huu huyu mama atakuwa hana maisha maana normally mtoto kwa mzazi hata kama hamsaidii sana ila uwepo wake tu unampa faraja mzazi sasa wanapoondoka mmoja mmoja kama hivi inampa wakati mgumu sana,Mungu amuongoze huyu mama na amrehemu mwanae huko alipo.

RIP.
 
Mungu ana MAJARIBU magumu sana

tena sana wakati mwingine unajiuliza KWANINI

HIVI mama kanumba akiwa anamuomba MUNGU imagine maombi yake yatakuwaje

Mama anasema hata steven sikumuuguza hivi you can sense kile mama anapitia

Ndani ya moyo wake,halafu kuna mtu ataniambia Mungu hakosei!!!!

naomba mniache kidogo sometimes MUNGU hana huruma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mungu ana MAJARIBU magumu sana

tena sana wakati mwingine unajiuliza KWANINI

HIVI mama kanumba akiwa anamuomba MUNGU imagine maombi yake yatakuwaje

Mama anasema hata steven sikumuuguza hivi you can sense kile mama anapitia

Ndani ya moyo wake,halafu kuna mtu ataniambia Mungu hakosei!!!!

naomba mniache kidogo sometimes MUNGU hana huruma.
Mungu hana huruma. Kwa sababu hayupo.
 
Back
Top Bottom