GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Klabu ya Dodoma Jiji imemsainisha kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu kwa mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo msimu ujao akitokea Coastal Union ya Tanga.
Mmoja wa viongozi wa timu hiyo ameiambia Mwananchi kwamba bado wanaamini Ajibu ana uwezo mkubwa uwanjani hivyo ataongeza nguvu katika kikosi chao.
"Usajili huo unafanywa chini ya kocha Mecky Maxime, ambaye anawafahamu vyema wachezaji wazawa kwani amecheza na kufundisha timu mbalimbali kwa muda mrefu.
Ameongeza: "Ajibu ataungana na wachezaji wengine kambini tayari kwa maandalizi ya msimu ujao na bado hatujakamilisha usajili tunaendelea kumalizia wengine waliobakia ambao tupo nao kwenye mazungumzo ya mwisho."
Kiongozi huyo anaamini kikosi cha Dodoma Jiji msimu ujao kitakuwa na ushindani mkubwa kutokana na aina ya wachezaji ambao wanawachukua akiwemo Ajibu na Joash Onyango anayejiunga nao kwa mkopo.
Chanzo: mwananchi_official
Marafiki zako Wote wa Ilala pamoja na Ndugu zako wa Kwenu Ilala Bungoni jirani na Msikiti Mkuu, wa pale Ilala Boma ilipo Timu yako ya Ashanti ( Wahuni Asilia ) na bila kumsahau Rafiki yako wa karibu Saluraka ( aliyeko Ujerumani sasa ) Mtoto wa Mwalimu Mbaga waliumia na wanaendelea Kuumia kwa Kitendo chako cha Kuikataa Ofa Kubwa uliyoipata ya kwenda TP Mazembe kwa Tajiri Moise Katumbi Chapwe huku sababu Kubwa ukisema kuwa ukienda kule hutakuwa unaimbwa sana katika Media za Tanzania na hutokula Bata kama unazokula Dar es Salaam.
GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema hakuna Mchezaji aliyekuwa na Kipaji na mwenye Kipaji kikubwa Tanzania ambapo hata akina Chama, Pacome na Wengineo hawana kama tu angejitambua na pia angepata Management nzuri kama Ibrahim Ajib Migomba ila Utoto, Makundi mabaya na Starehe ( Anasa ) za Dar es Salaam zimekuharibu na leo umepoteza kabisa Thamani yako. Tanzania ingeenda Kujivunia mno Wewe baada ya akina Mbwana Ally Samata kama ungeenda TP Mazembe ila kama Kawaida Wahenga walisema kuwa Bahati huwa haiji mara mbili. Naomba wengine msirudie hili Kosa.