LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Umeshindwa kuelewa kwamba ile ilikuwa kejeli?Mwanzo alinikana na kunipinga kuwa Ajibu hakai hapo na anakaa Singida sasa imekuwaje tena nae Kakubali kile kile?
Duh are u serious?
Ajibu kwao Singida na anaishi Chanika..
Haji Manara kwao sio Ilala, ni Kariakoo...
Wanao kukaririsha uwe unawauliza vizuri mkuu ili usiendelee kutoa maboko