Mdogo wangu Ajib uliniumiza mno pale ulipokataa kwenda TP Mazembe iliyokuwa ya Moto kwa Signing Fee ya Milioni 350 na Mshahara wa Milioni 15 kwa Mwezi

Mwanzo alinikana na kunipinga kuwa Ajibu hakai hapo na anakaa Singida sasa imekuwaje tena nae Kakubali kile kile?
Umeshindwa kuelewa kwamba ile ilikuwa kejeli?

Duh are u serious?

Ajibu kwao Singida na anaishi Chanika..

Haji Manara kwao sio Ilala, ni Kariakoo...

Wanao kukaririsha uwe unawauliza vizuri mkuu ili usiendelee kutoa maboko
 
Nachojua Ajibu, anasimamia Mali za Babaake, migodi kadhaa na biashara zingine, kwasasa wamebaki wawili tu! yeye na dadaake. So ilikuwa ngumu kwake kwenda tp. Akaacha Mali Hazina msimamizi... Halaf jamaa hachezei njaa yeye mpira kwake burudani tuu
 
Nani aliyekudanganya kuwa Haji Manara Kwao ni Kariakoo tu pekee? Nyumba zao zote unazijua?

Sasa nakujulisha tena Haji Manara wana makazi mengi hapo Ilala na tena ambapo ndipo kaishi mno pia ni Buguruni Malapa nyuma kabisa na Ghorofa ambapo ipo Ofisi ya Tigo.

Na hata hiyo Nyumba iliyo jirani na Kwao Ibrahim Ajib pia ni Makazi yao akina Manara.

Eti ulikuwa Unanitania tu. Mimi naweza kuwa na Utani na Mtu Mpumbavu na Mnafiki kama Wewe?

Unakazania tu Ajib Kwao Singida na sasa anaishi Chanika. Hivi Mtu huwezi ukawa umezaliwa na Kukulia mahala fulani kisha baadae ukahamia eneo jingine?

Kuna mahala Mimi nimezungumzia Mkoa ambao Ajib anatokea Kiasili mpaka kila mara ukazanie kuutaja Mkoa wa Singida?

Nimemaliza.
 
Acha Uwongo na kama huna uhakika wa Jambo nyamaza waache wanaojua wakujulishe.

Bado ana Kaka zake Wawili ila kwa bahati mbaya sana wote ni Waraibu ( Watumiaji ) wa Dawa za Kulevya na zimewaathiri mno hata Kiafya.

Na Ajib ndiyo kidogo alipona huko na Mpira kumuinua hadi kuwa Family Breadwinner. Ana Makazi pia Kigamboni.
 
nikikuambia huniwezi japo Kutwa unajifanya kutaka Kushindana na Mimi hapa.

Nani aliyekudanganya kuwa Haji Manara Kwao ni Kariakoo tu pekee? Nyumba zao zote unazijua?
Ni kweli kabisa mkuu kina Haji wana nyumba nyingi sana. Ya Kariakoo karibu na Sheli ya Big Bon nyuma ya nyumba yao na kina SumaLee karibu na ofisi za Abdulswammadu, Buguruni nyuma ya Kimboka karibu na nyumba yao Sanifu Lazaro Tingisha karibu na alipojenga George Masatu baada ya kudhulumiwa nyumba na mkewe , Ilala Mtaa wa Arusha karibu na kwa Zulfa Gurumo mtoto wa marehemu Mzee Gurumo, Ubungo Msewe karibu na alipojenga nyumba Pawa Mabula jirani yao anaishi Mama ake na Jike Shupa , Tabata Kimanga karibu na alipokuwa anaishi Mr.Blue nyuma yake kuna zile nyumba mbili ambazo Mohamed Hussein Machinga alidhulumiwa na alie kuwa mke wake yule trafiki ambae kwao ni Kigogo karibu na kwa kina Monalisa nyuma yao ndio alikuliaga Arafat Ngumi Jiwe alie kuaga baunsa wa Dully Sykes, Kiwalani karibu na alipojenga Mohamed Mwameja nyuma yao kuna kituo cha mafuta kinacho milikiwa na Arafat makamu wa Rais wa Yanga pembeni yake ni kwao na Young Lunya ambao nyumba yao inapakana na nyumba ya kina Piggy Black , Mbande karibu na alipojenga Mtanga wa Bongo Movie nyuma yake anaishi Mwalimu Mbaga ambae alimlea mdogo wako Ibrahim Ajibu, Manzese karibu na nyumbani kwao Madaraka selemani pembeni yake kuna gym aliyo kuwa anafanyia mazoezi Thomas Mashali, Ubungo Msewe, jirani na alipojenga Ostaz Juma na Musoma nyuma yake ipo sheli ya Rizwani, Kinondoni Mkwajumi karibu na alipojenga nyumba mzee Zamoyoni Mogella, Magomeni Mikumi karibu na ofisi za NBS coach jirani yake ndipo ilipo nyumba ya Mzee Magoma wa Yanga, Bugarika Mwanza
Sasa nakujulisha tena Haji Manara wana makazi mengi hapo Ilala na tena ambapo ndipo kaishi mno pia ni Buguruni Malapa nyuma kabisa na Ghorofa ambapo ipo Ofisi ya Tigo.
Ni kweli kabisa mkuu na Tandale kwa mfuga mbwa pia Haji Manara kaishi sana, nyumba yao ipo nyuma ya ofisi ya Airtel
Na hata hiyo Nyumba iliyo jirani na Kwao Ibrahim Ajib pia ni Makazi yao akina Manara.
Kweli kabisa mkuu hata ile nyumba aliyokulia Bakari Nondo Mwamnyeto pia ipo karibu kabisa na nyumba yao nyingine kina Haji Manara pembeni yake zipo ofisi za Ismail Aden Rage.
Eti ulikuwa Unanitania tu. Mimi naweza kuwa na Utani na Mtu Mpumbavu na Mnafiki kama Wewe?

Sa Mura ndio umekasirika Muraa
Unakazania tu Ajib Kwao Singida na sasa anaishi Chanika. Hivi Mtu huwezi ukawa umezaliwa na Kukulia mahala fulani kisha baadae ukahamia eneo jingine?

Kuna mahala Mimi nimezungumzia Mkoa ambao Ajib anatokea Kiasili mpaka kila mara ukazanie kuutaja Mkoa wa Singida?
Amezaliwa Singida amekulia Singida. Dar ameletwa mwaka 2009 kujiunga na academy ya Simba. Unamjua alie mleta?
Nimemaliza.
 
Vijana wetu hua wanakosa washauri sahihi. Miaka ikienda ndipo anaikumbuka hiyo fursa
 
Na nadhani kwao yeye ndio hajapitia swala la unga. Kaka zake wale wateja labda wawe wameacha kipindi hiki
Walipelekwa Rehab kipindi fulani ila sina uhakika kama walipona hasa kwani tatizo lao Kubwa wale ambao wanawazunguka ni Makundi yale yale ya Watumiaji. Uko sahihi Kwao Mtoto pekee kabisa aliyesalimika kuwa Mrahibu ( Mtuamiaji ) wa Ngada ( Dawa ) za Kulevya ni Yeye Ajib japo nae pia ana Ulevi wake fulani fulani ila kwa sasa nauhifadhi.
 
Ulevi wake ule mzito sana mkuu πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…