Tajiri umesema ukweli kabisa Tajiri, GPA kubwa (best academics merits) na kupata kazi na kuwa na uwezo mkubwa kichwani ni njia tatu tofauti kabisa,
Kuwa watumishi aina mbili yaani
(1) Academicians (mtaaluma)
Hawa wanapimwa kwa best academics achievements professional experience kwao sio assets saana kwao, mara nyingi wenyewe hawako vizuri kwasababu wanasoma kwajili ya knowledge delivery Hawa ndio lecturers wetu na cheo Cha mwisho kabisa upande wa Academicians ni professor, kama unataka kuwa academician kwa GPA Yako HAIWEZEKANI, pia huwa hawana pesa, MISHAHARA YAO YA KAWAIDA mfano the highest salary pale udsm ni 6M
OUTPUTS Yao ni Knowledge delivery
(2) professionals hawa wanapimwa na professional working experience hapa GPA haisadi kabisa Tajiri hapa ni KNOW HOW na mara zote genius wako hapa mara nyingi intelligent people huwa wana academics mbovu kwasababu huwa wanafanya mambo ambayo lecturers hajui hivyo kumpa marks ndogo kwa sababu hajui kile alichokiandika,
WANAPIMWA KWA PROFESSIONAL WORKING ACHIEVEMENT AND EXPERIENCE, PIA KUMBUKA GOOD ACADEMICS RECORDS AND MARKS US THE OUTPUTS OF PREPAREDNESS AND ENVIRONMENT WHILE INTELLIGENCE UNAPEWA NA MUNGU NATURALLY.
hapa as longer as una bachelor degree certificate unapata kazi yaaani hapa GPA sio issue kabisa Haina maana kabisa.
Hapa ndio Kuna pesa na mishahara mikubwa hapa officer anayeingia unakuta analipwa mil 5 hapa Tanzania, Kaka yangu alipata gpa ya 3.2 Mzumbe university ila now Yuko ameajiriwa kama data scientist United nations HQ new York city.
Kama unataka pesa na career capacity improvement and advancement nenda professional category while kama unataka maisha ya kawaida na kupelekwa Ulaya kusoma nenda academician category.
NOTE: NI MWAKA WA KUMI SASA BEST STUDENTS WETU UDSM YUPO kitaaa Hana kazi ya maana na maalum anasuburi interview ya watu wachache eti kwa sababu ana GPA kubwa. Kupanga ni kuchagua your life your choice.
Conclusion.
Hiyo GPA ni kubwa saana Tajiri kubwa saana sio tuuu TRA Bali hata United Nations new york HQ anapata kazi permanent contract as longer as ameonyesha anauwezo wa kufanya kazi husika.