Mdogo wangu amepata GPA ya 2.9 Shahada ya Sheria, atapata ajira kweli huyu?

Alikuwa chuo gani. GPA ya 2.9 ni ndogo ila sio reflection ya uelewa wake na uwezo wake wa kuchanganua mambo. Kwanza ajira zinatolewa kwa GPA ndogo ya hapo, taasisi kubwa ndio zinataka 3.5 na kuendelea
Duuuh! Inategemea na kozi, huwezi kusema mtu kapata 2.5 kwenye mechanical ukafananisha na 2.5 ya kwenye law
 
Pass ndo cheti ila GPA inakusaidia kwenye upgrading.

Kazi zipo tele ila hata wenye GPA za 5 hawana kazi
 
Mh 2.9 alikua anasoma kwel mbona hayuko competent ajihusishe na kilimo au ufugaji ila akaze sana msuli tuna wasomi wengi na wana ufaulu mzuri sana na wapo kitaa hivyo ajaribu akiona anakataliwa afuate ushauri wangu.
Umenikumbusha dada mmoja tulikuwa karibu sana chuo yeye kila UE, test zote yaan had quiz lazima atumie kibomu yeye matokeo yake ilikuwa A, B tupu c chache mno, yaan ana GPA nzuri UPPER SECOND lakin hajui hata baadhi ya definitions ukimuuliza. Ukiangalia cheti chake utafurahi na roho yako lakin hana anachojua kusema ukweli. So siyo kila anaepata GPA ya chini hakusoma wengine walijitahd walisoma lakin ndo hawakufanikiwa kufanya vizuri. Yule dada mpaka leo haya akiambiwa kuna kazi hii hapa anakataaga kwenda kuifanya anasema labda waanze kumfundisha upya

Sent from my SM-G930V using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wewe unasoma kumbe? Unasoma kozi ipi?!
 
Nni kakwambia ajira ya sheria inahusiana na G.P.A

Mwambie aende law school na afaulu

Ajifunze legal grafting

Akipata muhuri wala haitaji ajira wala kwenda kubishana mahakamani, anatulia ofsini zinakuja hela zenyewe za mikataba na affidavit
 
[emoji38][emoji38], sawa msomi wetu was kiwango cha Uprofesa. Karibu UDASA tupige ulabu, tuongee kiswanglishi kidogo na nadharia nyingi za research na academic issues kwa wingi ila innovation na creativity tuwaachie policy makers, wenye elimu ya kawaida na mipunga mirefu bila kusahau unyunyu wa ma-v8 VXR, Prado TX L n.k.
 
GPA HAI CLAIM JUSTICE WALA HAISHINDI KESI...MAHAKAMANI PALE MFANO HUA UNAPELEKA CHETI AU TRUTH..GPA INATUMIKAJE HAPO.... cha muhimu taaluma unayo hata ajira zikitoka kuna usaili..pale ndio watapima unanini kichwani sio gpa...mtu unapataje 4.9 gpa ya law..hivi una muda hata wa ku experience maisha ili uweze kutofautisha equality na justice ambavyo darasani hamfundishwi na utatakiwa kafanyia kazi hvyo vitu,, zaidi kwamba umekesha laibrary kusoma marehemu wale na ma theory zao kutwa kuchwa ukafaulu kwa 4.9 na ukashindwa kui deliver
 
Mh 2.9 alikua anasoma kwel mbona hayuko competent ajihusishe na kilimo au ufugaji ila akaze sana msuli tuna wasomi wengi na wana ufaulu mzuri sana na wapo kitaa hivyo ajaribu akiona anakataliwa afuate ushauri wangu.
Kwa hiyo huko kwenye sheria amebuma kilimo atakiweza kweli, mbona mnadharau sanaa nyie vijana nani alilwambia watu waliofail kwenye kilimo ataweza , tueshimu taaluma za watu
 
Watu wenye tu jipiei tudogo mnajua sana kujifariji!
 
Mh 2.9 alikua anasoma kwel mbona hayuko competent ajihusishe na kilimo au ufugaji ila akaze sana msuli tuna wasomi wengi na wana ufaulu mzuri sana na wapo kitaa hivyo ajaribu akiona anakataliwa afuate ushauri wangu.
Ahahaaaaa
 
Eti wadau huyu ataajiriwa kweli au aendelee na mambo mengne?
Awe anashinda mahakamani kuomba kesi ndogo nfogo...kupitia local firms.....la sivyo ajiandae kutafuta kazi halmashauri wakitangaza......akikosa akafundishe form 6 huko....
 
Mnaosema GPA sio ishu mnapotosha umma. Mlishawahi kuona KPMG, PWC au Deloitte wanaajiri mwenye GPA ndogo?
 
Mimi wa 2.5 mbona nilipata Tena Kuna jamaa nilisomanae alikuwa na 4.7 ila Bado anasota. GPA sio kipimo Cha akili Bali nikipimo Cha bidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…