Mdogo wangu anaacha kusoma C.O ili akasome short course ya flight Operator

Mdogo wangu anaacha kusoma C.O ili akasome short course ya flight Operator

Mtafutieni diploma ya mambo ya anga, kama Aicraft maintainance ama nyinginezo zifananazo na hizo hapo NIT, Ila C.O sishauri atateseka tu mtaani, ni bora aje ateseke ila alisoma kitu anachokipenda na sio ile mliyo mlazimisha ninyi

Ama VETA akasome Skills kama UMEME, PLUMBING ama kingine kitakachompa nafasi ya yeye kujiajiri bila kutegemea ofisi za watu zimuajiri

Samahani kama nimetoka nje ya mada
Diploma ameshachelewa kuapply
 
kama anapenda aviation sawa, ila kwa CO nafas zipo kuna serikal na mashirika binafs pia anaweza kupiga private facilities ila iyo ya aviation akikosa serikalin ndege binafsi labda akamate tetere na mbayuwayu;
natania tu
 
Mhh miaka ya siku hizi, kozi za afya ndo mpango hata kama utakosa ajira ya serikalin ukijichanganya kitaa haulali njaa ila hizo kozi zingne sijui short course za kimagumashi!

Anyhow afanye anachokipenda, ila ndo kama ingekuwa mdg wang ni kumkalisha chini akomae na CO, afu sio lazima Degree asome udaktar kuna kozi nyingi anaweza kusomea digree kupitia diploma yake ya CO.

Anyway mwisho wa siku kumbuken hizo kozi zingne zikibuma nyie ndo ndugu zake mtaendelea kuwa nae,
Cha kushauri akomae na CO hatakuja kulala njaa akimaliza kitaa connection bado zpo nying tu!

Akili kumkichwa!
 
Na hiyo flight operator Ada sh ngapi na chuo kipo wapi?
 
Okay hapa uneiongelea CO tu...vipi kuhusu hiyo flight ooeration? Una ujuzi nayo?
 
NAcTE wamebadili mfumo wamewema wakipuuzi sanaa kwasasa amna SUP Ukifeli ndo imetoka iyo
 
Habari humu, mdogo ameshachaguliwa kujiunga C.O pale TTCIH morogoro, ila anataka aache ili akasome short course ya miezi mi3 flight operation pale TCAA uwanja wa taifa.
Kwa wanaoifahamu hii kozi, vipi ajira zake ndani na nje?
Wanasema Kupata nje dubai ni rahisi.

Points za dogo kuacha medicine ni hizi
1.Muda (Medicine mpaka aje amalize diploma na degree na ajira ni miaka 10)
2.Opportunity (Anasema hata MD wapo kitaa sikuizi)
3.Ada (Kila mwaka Mil 3 kwa miaka 8 Vs mil 4 ya miez mi3)
4.Umri (Ameenda age kidogo ana 24)
3.Anapenda urubani hivyo itakuwa ni channel mojawapo.
Je, Yuko sahihi?

Ushauri tafadhali, maana chuo asiporipoti kufikia jumapili baada ya mechi ya yanga wanamcancell nafasi yake.
Natanguliza shukrani[emoji120]
Sishauri asome hizo kozi za kuunga unga. Akasome CO.

Hiyo hoja ya miaka mingi muulize tokea kaanza primary mpaka sekondary katumia miaka mingapi? Hiyo haikua miaka mingi?

By the way kwanini una msingizia ndugu yako wakati muhusika ni wewe?
 
Hyo kozi unaijua?
 
Back
Top Bottom