Mdogo wangu anaacha kusoma C.O ili akasome short course ya flight Operator

NAcTE wamebadili mfumo wamewema wakipuuzi sanaa kwasasa amna SUP Ukifeli ndo imetoka iyo
Sio kweli mzee..sema tu system walioweka sasa ndo mbaya ukipata Supp pepa ya mwezi wa 8 unatakiwa usubiri hadi september hii itawakosti sana watakaosoma muhula 2022/2023 na kuendelea kama ilivyo kwa Pharmacy hivyo huwezi kuendelea utakua umepoteza mwaka.
 
Aombe kupostpone co kwa family problems kama inaruhusiwa bado siku hizi. Aende hiyo short course ya miezi mitatu kisha ndani ya huo mwaka atazame ajira akipata bingo akikosa mwakani anarudi CO akiwa na akili timamu.
Ukimlazimisha aende CO na hapendi anaweza feli akalaumu familia sababu sio kozi nyepesi hiyo.
Ahsante
 
Iyo kozi kaz zake ndio zikoje?? Mi nasktikaga sana nikiangalia ndugu zangu au wadogo zangu hakuna ata ambae amefanya bidii kwny masomo, natamabigi sana nimsomeshe ndugu mmoja paka apate kazi ila ndio hvyo meng mahun dem wangu nae hvyo hvyo madogo yake hayakusoma
Duh sijui, mwenyewe ndo nlkuwa naulizia
 
Habari humu, mdogo ameshachaguliwa kujiunga C.O pale TTCIH morogoro, ila anataka aache ili akasome short course ya miezi mi3 flight operation pale TCAA uwanja wa taifa.
Kwa wanaoifahamu hii kozi, vipi ajira zake ndani na nje?
Wanasema Kupata nje dubai ni rahisi.

Points za dogo kuacha medicine ni hizi
1.Muda (Medicine mpaka aje amalize diploma na degree na ajira ni miaka 10)
2.Opportunity (Anasema hata MD wapo kitaa sikuizi)
3.Ada (Kila mwaka Mil 3 kwa miaka 8 Vs mil 4 ya miez mi3)
4.Umri (Ameenda age kidogo ana 24)
3.Anapenda urubani hivyo itakuwa ni channel mojawapo.
Je, Yuko sahihi?

Ushauri tafadhali, maana chuo asiporipoti kufikia jumapili baada ya mechi ya yanga wanamcancell nafasi yake.
Natanguliza shukrani[emoji120]
Hello, naomba nijaribu kukujibu kuhusu Flight Operations Officer or Dispatc Course but on choice ya akasome nini bahati mbaya nitaacha achague mwenyewe.
Mimi ni Muhadhiri wa masomo ya Anga na Utengenezaji ndege so nitajaribu kukupa uhalisia (nitajaribu kutumia lugha mama pale istilahi ninapozipata).
Flight Ops kwq kiswahili tunaweza ita marubani wa ardhini, nikiwa na maana kabla ya ndege kuanza safari zake lets assume From JNIA Dar to Maputo Internationa Airport which takes 3 hours and 17 minutes, na safari inatakiwa ianze jioni.
Sasa kabla ya safari lazima tujue safari inabeba watu wangapi in KG, mizigo KG ngapi, uzito wa ndege yenyewe tupu ni KG ngapi, maji kwaajili ya matumizi ndani, na chakula ni KG ngapi pamoja na mafuta ya safari ni KG ngapi (in aviation uzito ni jambo la msingi na ukikosea ndege haiwezi inuka hata runway iwe KM 5, JNIA inarunway 2 ambazo tunaziita 4 na ndefu ina 3KM), then ndege ipite njia gani( as angani kuna njia nyingi na zinaweza ongeza gharama za mafuta na uendeshaji kwa ujumla, kuna sehem hazipitiki kabisa and tuzingatie anga lipo kama bahari sio kila sehem ni safe kupita) mruko uwe futi ngapi kutoka usawa wa bahari, hali ya hewa ikoje, speed iweje, marubani gani warushe ndege (ili wasipitilize masaa as yanamatter sana plus wanaiweza route husika) as safari lazima ziende mda wote, sasa Dispatchers au Flight Operations Officer haya ndio majukumu yao.
Rubani hawezi fanya kila kitu, Air Traffic Controller (trafiki wa angani) ataongoza ndege tu.
Dispatch tunamtegemea aandae mpango huu then atawabrief marubani, kuwa nawapa safari ya kwenda sehem flan, mnabeba mizigo kilo flan, abiria idadi yao wako kadhaa, nawapa mafuta kilo flan, mtapaa futi kadhaa kutoka usawa wa bahari, upepo na hali ya hewa inategemewa kuwa hali fulani hivyo mjiandae na changamoto flan, therefore turnaround ni 30minutes refuel na mtarudi tena na hamtoruka leo tena sababu ya matakwa ya kisheria ya leseni zenu kutoka mamlaka ya usimamizi wa usafiri wa anga.

Tuje upande wa mafunzo
Disptach ni kozi ya leseni meaning lazima ufanye mafunzo kwenye chuo chenye ithibati ya kutoa mafunzo, then ufanye practical training(field) miezi 3 ndo ufanye mtihani wa leseni na ufaulu (in aviation passmark ni 70 and above) mdo apate leseni. Mafunzo yanatolewa na vyuo tfauti kama CATC (terminal 1), Regional Aviation (Terminal 1), Swissport (Terminal 1) pamoja na NIT (mabibo).
Personally nashauri NIT kwa sababu zifuatazo (sio tangazo la nafasi za masomo wakuu ni mawazo binafsi)
Mtaala wao ni mrefu as aviation unasoma kwa masaa lets assume AirLaw ina kama karatasi 400 inatakiwa usome na kuelewa na kufaulu kwa wiki 1 tu then Meteorology etc, sasa pale kozi ji ndefu kdogo ikiwa miezi 6 badala ya 3 kama wengine, wao wameingiza mpka Flight Simulator ambayo marubani huanzia kurisha ndege humo angalau masaa 5 salama ndo waende kwenye ndege, hii husaidia kuwapa Dispatch touch ya urubani kwenye kufanya maamuzi( nchi nyingine Dispatch lazima awe na leseni ya urubani angalau PPL -Private Pilot Licence) ili ajue anachokifanya, but pia ada ni nafuu, and wanaleta ndege mwezi ujao wa 11 so wanafunzi watapata Industrial Attachment kiurahisi na wameongeza masomo kama computer na lugha ili kuongeza ufanisi wa watahiniwa.
And kwa sasa vyuo vingi vinataka awe amesoma na kufaulu masomo ya sayansi kidato cha 4 (kufaulu maana yake awe na angalau D on Physics, Math na Geography) japo kuna vyuo hawazingatii sana ila mamlaka ya usimamizi wa usafiri wa anga wanataka iwe sheria. Pia umri angalau miaka 18 n awe na Passion ya aviation (hapa ndo maana nikasema atafanya maamuzi mwenyewe), je toka akiwa mtoto ndege zikipita juu anashangaa na kuita ndege ya baba?
Isije akaenda kisa kazi then ikawa shida mbeleni. Na ajiandae na misuli mirefu, maana watasoma kama marubani wa level ya leseni ya juu ATPL but kwa muda mfupi sana (as mtaala mpya wa CASSOA for East Africa)

Ajira zake zikoje?
Ajira wanaajiliwa na mashirika ya ndege, as kila ndege lazima iwe dispatched (with exception with General Aviatiob au ndege ndogo kama pale Terminal 1 japo baadhi zinao) ila airline ni lazima.
Ushindani wa ajira upo kote, na tunajua tunamashirika mangapi. Natamani niongee mengi ila nitaonekana nipo kimatangazo sana. Natambua sekta ya anga haina wataalamu sana na fursa zake nyingi ni siri na za kimya kimya
Karibuni kwa maswali na hoja
Screenshot_20221028-182132_Instagram.jpg

View attachment 2400629
 
Karibuni kwa maswali na hojaView attachment 2400625
View attachment 2400629
Nzur hiyo
 
Thanks a lot mkuu, Mungu akubariki sana.
Ada ya hapo NIT ni shillingi ngapi?
 
Na hiyo flight operator Ada sh ngapi na chuo kipo wapi?
Kuna mjinga mmoja alienda soma hiyo course, alilipia ada 2.5mil kwa miezi 3

Mjinga yule akafeli, zile hela ndo waliuza kiwanja yeye akaona akasomee, akawadanganya kuwa anasomea urubani.

Mjinga yule anajuta muda huu na bichwa kama embe
 
Tatizo hujaweka gharama kiasi gani
 
Kuna mjinga mmoja alienda soma hiyo course, alilipia ada 2.5mil kwa miezi 3

Mjinga yule akafeli, zile hela ndo waliuza kiwanja yeye akaona akasomee, akawadanganya kuwa anasomea urubani.

Mjinga yule anajuta muda huu na bichwa kama embe
Hahaha jaman...
 
anzisheni mradi wa nguruwe ausimamie mtakuja kunishukuru baada ya miaka 8
Napenda sana huu mradi nina ndoto za huu. Naamini ningekuwa nimeanza kitambo ningekuwa mbali sana. Tukutane inbox mkuu
 
Back
Top Bottom