Mdogo wangu anaacha kusoma C.O ili akasome short course ya flight Operator

Diploma ameshachelewa kuapply
 
kama anapenda aviation sawa, ila kwa CO nafas zipo kuna serikal na mashirika binafs pia anaweza kupiga private facilities ila iyo ya aviation akikosa serikalin ndege binafsi labda akamate tetere na mbayuwayu;
natania tu
 
Mhh miaka ya siku hizi, kozi za afya ndo mpango hata kama utakosa ajira ya serikalin ukijichanganya kitaa haulali njaa ila hizo kozi zingne sijui short course za kimagumashi!

Anyhow afanye anachokipenda, ila ndo kama ingekuwa mdg wang ni kumkalisha chini akomae na CO, afu sio lazima Degree asome udaktar kuna kozi nyingi anaweza kusomea digree kupitia diploma yake ya CO.

Anyway mwisho wa siku kumbuken hizo kozi zingne zikibuma nyie ndo ndugu zake mtaendelea kuwa nae,
Cha kushauri akomae na CO hatakuja kulala njaa akimaliza kitaa connection bado zpo nying tu!

Akili kumkichwa!
 
Na hiyo flight operator Ada sh ngapi na chuo kipo wapi?
 
Okay hapa uneiongelea CO tu...vipi kuhusu hiyo flight ooeration? Una ujuzi nayo?
 
NAcTE wamebadili mfumo wamewema wakipuuzi sanaa kwasasa amna SUP Ukifeli ndo imetoka iyo
 
Sishauri asome hizo kozi za kuunga unga. Akasome CO.

Hiyo hoja ya miaka mingi muulize tokea kaanza primary mpaka sekondary katumia miaka mingapi? Hiyo haikua miaka mingi?

By the way kwanini una msingizia ndugu yako wakati muhusika ni wewe?
 
Sishauri asome hizo kozi za kuunga unga. Akasome CO.

Hiyo hoja ya miaka mingi muulize tokea kaanza primary mpaka sekondary katumia miaka mingapi? Hiyo haikua miaka mingi?

By the way kwanini una msingizia ndugu yako wakati muhusika ni wewe?
Hyo kozi unaijua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…