Mdogo wangu anahitaji mpenzi

Mdogo wangu anahitaji mpenzi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bikra kaitolea wapi
 
Mpooo? Mdogo wangu amemaliza chuo, ana miaka 22 bado bikra, anahitaji mpenzi sio wa kumchezea, yupo Dar. Pls kama huna nia usi pm.
sifa;
  • Asiwe mvaa milegezo
  • Asiwe mvuta sigara,bangi na madawa
  • Asiwe mlevi
  • Asiwe muhuni.
Ulimkagua au alikwambia? Amemaliza chuo cha madrasa au chuo cha taaluma? Hili debe lazima lina walakini.
 
Bkra[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Syo muhimu sana
Maana n ya sku mja tu
 
Itakuwa bikra ya kutengeneza ba juice ya malimao hiyo.....zipo nyingi tu hizo na ukizingatia bikra si kigezo cha ndoa
 
Mpooo? Mdogo wangu amemaliza chuo, ana miaka 22 bado bikra, anahitaji mpenzi sio wa kumchezea, yupo Dar. Pls kama huna nia usi pm.
sifa;
  • Asiwe mvaa milegezo
  • Asiwe mvuta sigara,bangi na madawa
  • Asiwe mlevi
  • Asiwe muhuni.
Huyo wa Dar atakua chakubimbi aendelee tu wa mikoani hatufai
 
Katika Siku zote Leo ndo unauza kitu kipya sio used. Huyo mdogo wako Ni itel toleo gani
 
Mpooo? Mdogo wangu amemaliza chuo, ana miaka 22 bado bikra, anahitaji mpenzi sio wa kumchezea, yupo Dar. Pls kama huna nia usi pm.
sifa;
  • Asiwe mvaa milegezo
  • Asiwe mvuta sigara,bangi na madawa
  • Asiwe mlevi
  • Asiwe muhuni.
Bado kuna huitaji kama upo mi nipo mkuu.

Sifa zote ninazo tena mpka na Nyongeza.
 
Back
Top Bottom