Habari za muda huu wanaJf.
Kama kichwa kinavyojieleza,nina mdogo wangu anasoma "Bachelor of Project planning and community dvt" anatafuta taasisi ya kufanya mafunzo kwa vitendo(field) mkoa wowote Tanzania.Hivyo basi nimekuja kwenu naamin nitapata msaada wenu members wa humu juu ya hili suala.
Natanguliza shukran.