Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Advance sio upotevu wewe njia Rahisi ya kwenda kuchukua digrii
Cha msingi mtu asome digrii yenye soko
Sasa akishapata hiyo degree ndiyo ataelewa ninachokimaanisha.
Mkiambiwa muwe mnaelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Advance sio upotevu wewe njia Rahisi ya kwenda kuchukua digrii
Cha msingi mtu asome digrii yenye soko
cbg privateNina ndugu yangu kapata matokeo haya HIST-D GEO-C BIO-C ENGL-D CIV-C CHEM-C LITE-D KISW-C MATH-D
Amepata Division III Point 23 hajasomea PHYSICS na amepangiwa chuo cha Human Resources Management hataki kwenda Chuo Je, aende Advance kwa Combination gani?
Msaada jamani.
ni kweli advance ni kupoteza muda tuKwa hiyo advance anaenda kufanya nini?
Aende chuo cha ufundi akapate fani ya haraka.
Advance ni upotevu wa rasilimali tu.
Physics ina application kubwa sana kwenye kozi za afya; kwa mifano measurement, heat/temperature na pressure ni topics zenye application.Tanzania utakuta mtoto anataka asome masuala ya afya anaulizwa kama alisoma Physics, unajiuliza Physics na afya wapi na wapi?
Watuulize tuliosomani kweli advance ni kupoteza muda tu
hiyo ni kweliWatuulize tuliosoma
HGKNina ndugu yangu kapata matokeo haya HIST-D GEO-C BIO-C ENGL-D CIV-C CHEM-C LITE-D KISW-C MATH-D
Amepata Division III Point 23 hajasomea PHYSICS na amepangiwa chuo cha Human Resources Management hataki kwenda Chuo Je, aende Advance kwa Combination gani?
Msaada jamani.
Ulisoma kombi gani advance na chuo ukasomea kozi gani?ni kweli advance ni kupoteza muda tu
Mshauri akasome fani gani ambayo ni bora kuliko kupoteza rasilimali advance.fani
Fizikia inacheza jukumu muhimu sana katika utaalamu wa hospitalini na afya. Kwa mfano, inatumika katika kutambua na kutibu magonjwa kwa njia kama vile upigaji picha za X-ray, CT scan, MRI, na matumizi ya mionzi katika tiba ya kansa. Pia, inasaidia kuboresha vifaa vya matibabu kama vile mashine za ultrasound na kuhakikisha usalama wa mionzi kwa wagonjwa na wafanyakazi wa afya.Tanzania utakuta mtoto anataka asome masuala ya afya anaulizwa kama alisoma Physics, unajiuliza Physics na afya wapi na wapi?
Mkuu, tumia Google ili ujiepushe na aibu kama hizi.Tanzania utakuta mtoto anataka asome masuala ya afya anaulizwa kama alisoma Physics, unajiuliza Physics na afya wapi na wapi?
Mechanics hasa kwenye viungo bandia.Kwan ndani ya course za Afya wanaendelea kusoma Physics......? Na n topic gan wanasoma
Tafta mume wako mwenyewe acha kujifanya unawajua sana waume wa wenzako.Mkuu, tumia Google ili ujiepushe na aibu kama hizi.
Najua hujasoma fizikia na hujui inahusika na nini, lakini hujakatazwa ku-google ujue application yake kwenye masuala ya afya.
Asante.
😁😁 Usipanic, chukua ushauri huo; jifunze kutumia Google ili uepuke kujichoresha.Tafta mume wako mwenyewe acha kujifanya unawajua sana waume wa wenzako.
Tafta mume uolewe, acha kufuatilia waume za watu. Wewe huna unachokijua ambacho mimi sikijui so huna cha kunishauri.😁😁 Usipanic, chukua ushauri huo; jifunze kutumia Google ili uepuke kujichoresha.
Mimi najua kwa nini wanafunzi wanapaswa wafaulu fizikia ili wadahiliwe kwenye vyuo vya afya. Wewe unajua? 😁Tafta mume uolewe, acha kufuatilia waume za watu. Wewe huna unachokijua ambacho mimi sikijui so huna cha kunishauri.
Halafu sasa anavyoongea kwa ujasiri 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mkuu, tumia Google ili ujiepushe na aibu kama hizi.
Najua hujasoma fizikia na hujui inahusika na nini, lakini hujakatazwa ku-google ujue application yake kwenye masuala ya afya.
Asante.