Mdogo wangu hataki kwenda Chuo. Je, kwa matokeo haya aende Advance Combination gani?

Advance sio upotevu wewe njia Rahisi ya kwenda kuchukua digrii
Cha msingi mtu asome digrii yenye soko

Sasa akishapata hiyo degree ndiyo ataelewa ninachokimaanisha.

Mkiambiwa muwe mnaelewa.
 
cbg private
 
HGK

Kwa mitihani ya miaka hii, kupata C kwenye masomo yote ya sayansi inamaanisha siyo mkali sana.
Akilazimisha kusoma sayansi lazima atage kidato cha sita.
 
Tanzania utakuta mtoto anataka asome masuala ya afya anaulizwa kama alisoma Physics, unajiuliza Physics na afya wapi na wapi?
Fizikia inacheza jukumu muhimu sana katika utaalamu wa hospitalini na afya. Kwa mfano, inatumika katika kutambua na kutibu magonjwa kwa njia kama vile upigaji picha za X-ray, CT scan, MRI, na matumizi ya mionzi katika tiba ya kansa. Pia, inasaidia kuboresha vifaa vya matibabu kama vile mashine za ultrasound na kuhakikisha usalama wa mionzi kwa wagonjwa na wafanyakazi wa afya.
 
Acha nitie neno maana bado Mapema anaweza kubadilisha comb hata mwezi wa 9 au hatapopata Ujumbe huu.

Uwaga napenda mtu achague Combination akiwa hajaona matokeo yapo vipi? Binafsi hapo naona ndy unakuwa uhalisia wa Mwanafunzi kuna masomo Unaweza kuwa unayajua vzr ila matokeo yakaja tofaut na matarajio yako.
Unaweza kuona Comb imekubali CBG kumbe weapo kabla ya matokeo hayo ulikuwa unafanya vzr Mathematics, Geography, Kiswahili na History so Kwa kuwa Advance unasoma comb yoyote Ile kulingana na masomo yaliyopo kwenye Cheti chako (Matokeo yako) ukiwa Una Pass na kuendelea hapo unaweza Angalia uliwaza kusoma nn km EGM, HGE, HGK unaweza kwenda kusoma na ukafurahia Maisha yako Kwa kuwa ni masomo unayo ya mudu vzr.
 
Mkuu, tumia Google ili ujiepushe na aibu kama hizi.
Najua hujasoma fizikia na hujui inahusika na nini, lakini hujakatazwa ku-google ujue application yake kwenye masuala ya afya.
Asante.
Halafu sasa anavyoongea kwa ujasiri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…