Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2

Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2

mwaega

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
201
Reaction score
261
Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2
CHEMISTRY.... C
BIOLOGY.....C
GEOGRAPHY...D

MATH.....F

Naombeni msaada japo amechaguliwa form 5, je nimpeleke huko au nimpeleke chuo na chuo gani? naamini kupitia uzi huu watu wengi wataneemeka na kufarijika.

ASANTENI

NB: PICHA HAIHUSIANI NA MSAADA WENU
 
Attachments

  • 467126565_8589091567805945_1396948136634579639_n.jpg
    467126565_8589091567805945_1396948136634579639_n.jpg
    47.5 KB · Views: 39
Nakushauri mpeleke popote kule patamfaa tu, maana yeye na wewe hamjui nini mnakitaka.

Nocte:
Ushauri wowote unategemea na kile mhusika anapendelea kwanza.
muhusika nikimuuliza anajibu nisaidie kaka sioni wapi niende naona giza ndio maana nikaja kwenu
 
Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2
CHEMISTRY.... C
BIOLOGY.....C
GEOGRAPHY...D

MATH.....F

Naombeni msaada japo amechaguliwa form 5, je nimpeleke huko au nimpeleke chuo na chuo gani? naamini kupitia uzi huu watu wengi wataneemeka na kufarijika.

ASANTENI

NB: PICHA HAIHUSIANI NA MSAADA WENU
Mpeleke kozi ya kichina chap.. Kisha akasome sheria au uhasibu
 
Kwanza muulize yeye anatamani kuwa nani, kufanya kazi gani ama kusomea nini.
Then from there, come back na majibu yake ili tukupe ushauri mujarab kabisa.
 
Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2
CHEMISTRY.... C
BIOLOGY.....C
GEOGRAPHY...D

MATH.....F

Naombeni msaada japo amechaguliwa form 5, je nimpeleke huko au nimpeleke chuo na chuo gani? naamini kupitia uzi huu watu wengi wataneemeka na kufarijika.

ASANTENI

NB: PICHA HAIHUSIANI NA MSAADA WENU
Mpeleke kule moyo wake unapenda,asije akakulaumu baadae!
 
kusoma ni kuruka, maisha baada ya kuhitimu ni kutua,

aende kusoma chuo kozi angalau yenye uhakika kwenye soko la ajira, asije akafsnya kosa la kusomea kitu anachokipenda hakina soko.

kozi nazoweza kushauri kwa matokeo yake ni Wildlife Management chuo cha MWEKA kipo Moshi kazi ni za TANAPA, uhasibu (accounting) nako kuna uwanja mpana wa ajira, unesi
 
wazo zuri sana maana kuna nafasi nyingi sana huko
 
Kwanza muulize yeye anatamani kuwa nani, kufanya kazi gani ama kusomea nini.
Then from there, come back na majibu yake ili tukupe ushauri mujarab kabisa.
hili kila siku namuuliza ila hana jibu hajui anatakaje au anataka nini
 
Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2
CHEMISTRY.... C
BIOLOGY.....C
GEOGRAPHY...D

MATH.....F

Naombeni msaada japo amechaguliwa form 5, je nimpeleke huko au nimpeleke chuo na chuo gani? naamini kupitia uzi huu watu wengi wataneemeka na kufarijika.

ASANTENI

NB: PICHA HAIHUSIANI NA MSAADA WENU
Akasome diploma kwenye hizi kozi 1. Radiology ama diploma ya pharmacy
Aanze na hizi moja wapo Zina future nzurii...
 
Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2
CHEMISTRY.... C
BIOLOGY.....C
GEOGRAPHY...D

MATH.....F

Naombeni msaada japo amechaguliwa form 5, je nimpeleke huko au nimpeleke chuo na chuo gani? naamini kupitia uzi huu watu wengi wataneemeka na kufarijika.

ASANTENI

NB: PICHA HAIHUSIANI NA MSAADA WENU
Mwambie aende hiyo form 5 akimaliza hapo atakuwa na option nyingi zaidi
 
Nakushauri, mpeleke chuo cha kilimo chochote mfano Uyole akasome either certificate etc. ushauri huu nimeutoa kulingana na mwenendo wa hali ya nchi na masomo kijana aliyofaulu.
 
Jambo linalo sumbua jamii ya sasa hasa vijana wanao maliza shule ni msukumo wa kutaka mafanikio kama wanavyo ona mitandaoni na kuelezana wao kwa wao.

Mshauri mtoto wako au ndugu yako akitaka afaidi na aende mbele zaidi baada ya form four basi aendelee advance level, akifika asome kwa bidii maana ni mbegu inayo chukua muda kuchepua ila ikistawi si rahisi kuangushwa.

Baada ya hapo anatakiwa aelezwe mazingira ya mbeleni na hii aombe sana akutane na destin helper kwa lugha ya kizungu maana chuo ndio maisha yana tengenezwa lakini chaguo lina fanyika advance level

Sasa kwanini asome advance wakati kuna shortcut ya kumaliza na kupata mshahara haraka maana wengi ndio tunalo angalia:-

1. Kwa taaluma na mtiririko wa elimu ya chuo kuna baadhi ya course/kozi taswira yake ina anzia form five na form six hasa kwa hayo masomo alio chukua, kwasababu maisha ya chuo hasa bachelor degree yanahitaji kijana alie wiwa kusoma sana na msingi mzuri pamoja na ari, yote yanajengwa advance.

2. Advance ndio muda mzuri wa kupanga nini cha kusoma na kufanya maishani ila hapa inahitajika mtu wa kumshape na kumuonesha dunia kwasababu ni sehemu pekee kijana ana jifunza utulivu na machaguo ya maisha kama akiwa na nidhamu nzuri.

3. Advance kutamsaidia kufupisha mlolongo wa kupata first degree yake kwa tafiti zangu ndogo wengi waliosoma diploma, kuendelea degree huwa ni kazi kwa namna fulani, na mara nyingi ni kutokana na uharaka wa kuyavamia maisha wakijua ukimaliza basi kazi ni mapema bila kujua mishahara ama kipato ndio kitafanya uishi maisha ya aina gani

4. Hii ya mwisho japo zipo nyingi akifaulu vizuri advance ana jitengenezea mazingira bora na mepesi ya kuwa enrolled chuo chochote hapa duniani kwasababu duniani kote tuna tambua baada ya high school ni unversity .

Kwa namna hii kijana aende asome pesa ataikuta mbele kwa sasa hata akiipata hato ifanyia cha maana sana

Kuhusu kusoma lugha za kigeni ni jambo zuri ila huwa lina thamani kama ukiwa na taaluma yenye msingi mzuri na mzito lugha anaweza ipenda akimaliza form six aanze kuisoma kama hobby yake halafu akiingia chuo ana endeleza kujifunza, zipo institutes nyingi zinafundisha hizo lugha Tanzania hasa kichina

Imagine ana maliza degree na muda huo ana ujuzi wa lugha ama skills tofauti hapo soko litamuhitaji kwasababu ya hizo skills na degree yake kuliko hata angekuwa na diploma.

Diploma anakimbilia maisha kabla ya muda mwambie maisha ni hatua na ngazi zake ni ndefu basi ajifunze kupanda kwa utaratibu kila kitu kina wakati wake asihitaji jambo kabla ya wakati mbeleni atadaiwa alilo liacha

Jingine baada ya advance machaguo ni mengi sana mpaka atashindwa yeye kikubwa awe mtulivu asome!
 
Back
Top Bottom