muhusika nikimuuliza anajibu nisaidie kaka sioni wapi niende naona giza ndio maana nikaja kwenuNakushauri mpeleke popote kule patamfaa tu, maana yeye na wewe hamjui nini mnakitaka.
Nocte:
Ushauri wowote unategemea na kile mhusika anapendelea kwanza.
Best advice.Peleka veta ama garage
Mpeleke kozi ya kichina chap.. Kisha akasome sheria au uhasibuMdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2
CHEMISTRY.... C
BIOLOGY.....C
GEOGRAPHY...D
MATH.....F
Naombeni msaada japo amechaguliwa form 5, je nimpeleke huko au nimpeleke chuo na chuo gani? naamini kupitia uzi huu watu wengi wataneemeka na kufarijika.
ASANTENI
NB: PICHA HAIHUSIANI NA MSAADA WENU
Mpeleke kule moyo wake unapenda,asije akakulaumu baadae!Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2
CHEMISTRY.... C
BIOLOGY.....C
GEOGRAPHY...D
MATH.....F
Naombeni msaada japo amechaguliwa form 5, je nimpeleke huko au nimpeleke chuo na chuo gani? naamini kupitia uzi huu watu wengi wataneemeka na kufarijika.
ASANTENI
NB: PICHA HAIHUSIANI NA MSAADA WENU
wazo zuri sana veta kozi nyingi na nzuriPeleka veta ama garage
wazo zuri sana maana kuna nafasi nyingi sana hukokusoma ni kuruka, maisha baada ya kuhitimu ni kutua,
aende kusoma chuo kozi angalau yenye uhakika kwenye soko la ajira, asije akafsnya kosa la kusomea kitu anachokipenda hakina soko.
kozi nazoweza kushauri kwa matokeo yake ni Wildlife Management chuo cha MWEKA kipo Moshi kazi ni za TANAPA, uhasibu (accounting) nako kuna uwanja mpana wa ajira, unesi
tatizo yeye mwenyewe hajui anataka nn ndio maana nahangaika kumsaidiaMpeleke kule moyo wake unapenda,asije akakulaumu baadae!
hili kila siku namuuliza ila hana jibu hajui anatakaje au anataka niniKwanza muulize yeye anatamani kuwa nani, kufanya kazi gani ama kusomea nini.
Then from there, come back na majibu yake ili tukupe ushauri mujarab kabisa.
Akasome diploma kwenye hizi kozi 1. Radiology ama diploma ya pharmacyMdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2
CHEMISTRY.... C
BIOLOGY.....C
GEOGRAPHY...D
MATH.....F
Naombeni msaada japo amechaguliwa form 5, je nimpeleke huko au nimpeleke chuo na chuo gani? naamini kupitia uzi huu watu wengi wataneemeka na kufarijika.
ASANTENI
NB: PICHA HAIHUSIANI NA MSAADA WENU
Mwambie aende hiyo form 5 akimaliza hapo atakuwa na option nyingi zaidiMdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2