Mdogo wangu Shetta naomba nikukumbushe kitu muhimu sana " Mtoto wa kike huwaga ni mzuri sana kwa baba akiwa bado haja vunja ungo"

Umenifurahisha! Nina wawili mmoja aliniponyoka ila wa pili nilimdhibiti kwa kuwa karibu naye beneti, ninadhani kama alianza ni baada ya Masters. Kitu ambacho LIKUD amesahau kusema ni kuwa tatizo la Sheta ni kum-expose binti yake kwa mi-hamas, bila yeye sheta kujua.
 
Hongera sana mkuu na pole kwa huyo alie kuponyoka ukishare nasi alivyo kuponyoka japo kwa ufupi tunaweza kujifunza kitu.

I agree with you dogo kumfanya binti yake kuwa too much visible from.yhw point of mafisi's observation
 
Shukrani mkuu kwa bandiko lako lenye hoja chokozi, tunduizi na fikirishi.
Inauma ila ndio ukweli mchungu.
Ngoja nianze kubalanzisha shobo maana ulichokisema nilikiona kwa dada zangu na dingi.

N.B Watanzania hawapendi ukweli mchungu na unao uma.
Masista wamemzingua dingi? Tupe kisa japo kwa ufupi tujifunze
 
In a history of not letting others to live their life, nobody has have been successful.

Go ahead to not let others live their life. The ball is on your court.

Is it selfishness? the ball on your court once again!
Sawa mzungu ila kwanini usinge Anza wewe na mfano kwa kuniacha niishi na maoni yangu?
 
Ndo hapo ninapo muhurumia huyu mtoto, atapewa ngwengwe mapema kabisaa.
God forbid!!
Ill tatizo unajua lipo wapi? Siasa na ushirikina goes hand in hand.

Wafanyabiashara na wanasiasa wengi wana abudu katika madhabahu za KISHIRIKINA.

Moja kati ya mambo ambayo huelekezwa katika madhabahu hizi ni pamoja naπŸ‘‡

Kutembea na watoto wa kike wadogo ( under age girls ) kwa lengo la kuchukua nyota zao kupitia " ibada" ya tendo la ndoa.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…