ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Weka mifano dhahiri,ili unachokisema kiwe na mashiko.Unajua siasa na watoto wa kike?Kubali tuu kwamba wazazi kwenye malezi wanatofautiana na kwamba hicho unachokisema siyo rule of thumb, wengi tuu wamefanikiwa kwenye makuzi ya mabinti zao.