Mdogo wangu Shetta naomba nikukumbushe kitu muhimu sana " Mtoto wa kike huwaga ni mzuri sana kwa baba akiwa bado haja vunja ungo"

Na Mimi nalijua hilo mkuu ndio maana hata siwashangai wanao pingana na bandiko langu
Hata mtoto wa kiume akisha balee tu na kupata girl friend wake,basi hata kwao anapasahau kabisa, yeye na girl wake tu,na anaweza iba hata pesa home ili mradi akamuhonge mtu wake!!
 
Huu ndio ukweli,tuupokeeni.
 

Yes very right mkuu bora awe na classmate wake kitoto chenzake
 
K
Kwa hiyo mkuu una maana kwamba Jokate alivyogonga nyundo 25 ndio akajirudi km alivyosema Likud hapo?
 
Duh u have spoken my mind mkuu
 
Kati ya siku ambayo nimesoma bandiko JF sijaelewa ni leo. Wakuu mnazungumzia nini?
 
Mtoto kuwa rebellious wakati wa balehe ama foolish age ni kitu cha kawaida sana na uliyoyaongea yote ni uhalisia mtupu Ila si kila binti anapitia phases ulizozitaja kwa sababu balehe humjia kila mtu kwa namna yakr..

Personally, hadi nilipofikia kuna mabinti nimewaona wapo focused na sio wazinguaji kabisaa na hata kama wapo submissive kwa boyfriends wao lakini bado wanabaki daddy's girls.

Shetta anachokifanya kwa binti yake ni kumjengea misingi anayoiamini binti yake, akiifuata au akaiacha na kuanguka. At least hatokuwa na deni nae kuliko kumuacha tu wakati ana position ya kufanya kitu flani
 
Wakati huo Kaole, ukiwatazama Lulu na Kanumba ungeweza sema ni mtu na baba yake lakini kilichotokea!!

Sasa ufuska ulokua kwenye siasa, kwingine kote wakasome, huko kuna fisi hawapatikani sehemu nyingine yoyote duniani.

Kama anaweza angempeleka tu kusoma Ulaya ambako sheria zipo tight, hata akifanya mahusiano itakua na watoto wenzie sio na watu kama kina Kishimba au Msukuma.

Akishakua na akili ya kujitegemea atajiingiza mwenyewe kwenye siasa kama atahitaji.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Wewe unaweza kuruhusu binti yako wa form 2 awe na boy friend?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…